tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kugawa gawa Mikoa Tanzania

    Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo. Na kuna kila dalili...
  2. JamiiForums Tanzania Nuksi imeshaanza kwa waliofanya 'Pre Seasons' zao nje ya Ardhi ya Tanzania

    Mzee wangu Kocha 'Jeans Hiyo Hiyo' usikasirike hapo ulipowekwa kwa sasa kwani umewekwa Kimtego ila muda wowote unarejea Kikosini. Mshambuliaji tunayekupenda na Kukubali kuliko wote walioko Kikosini ila hupangwi kwa Chuki ya Kocha na Kiongozi Mwandamizi Klabuni usihofu huenda kwa matokeo mabaya...
  3. JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania ndio wachumia tumbo na Wazalendo ndiyo vilaza hawaelewi kitu

    Hii ndio Tanzania yetu ukishapata kitengo, uongozi au nafasi ni muda sahihi wa kupokea rushwa, kufanya biashara magendo, ubadhirifu na uhujumu uchumi Viongozi na Watumishi hawana uchungu na hii nchi. Wazalendo ndio maskini wa kutupwa na wengi ni wajinga hawana uelewa wa kuhoji zaidi ya kujiita...
  4. JamiiForums Tanzania Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

    Tanzania na Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu zimetiliana Saini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 30 sawa na shilingi bilioni 70 za Tanzania kwa ajili ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Msongo wa kV 220 kutoka Benaco hadi Kyaka na Upanuzi wa Kituo...
  5. JamiiForums Tanzania Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Kwa mujibu wa Matangazo ya BBC Dira ya Dunia ya Leo Jioni walionteka Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) Melchiory Dominic (Raia) wa Tanzania na Mwenzake Raia wa Burkina Faso wanahitaji Kikombozi (Ransom ) cha Dola za Kimarekani 70,000 kwa Wote Wawili (yaani Dola 35,000) kwa kila Mmoja ili wawaachie...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Waziri Mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika?

    Wakuu ni kwa nini nchini kwetu waziri mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika na hali yeye siyo kiongozi wa baraza la mawaziri wala aliyewateua kama kwa nchi kama Uingereza?
  7. JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

    Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB & Watengwa, Nako2Nako, Juakali, hadi hawa waliopo kwenye chati kina PMawenge. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda...
  8. JamiiForums Tanzania Kuwatumia vibaya Diamond na Ali Kiba kwenye siasa za Simba na Yanga ''kutaua" soka la Tanzania

    Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja. Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini. Miaka...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa taifa la watu wekundu

    Kuna hali sijui kama wenzangu wameshaiona. Hali hii inatokana na mabadiliko ya kihistoria na yawezekana na sababu nyengine ambazo ni nje ya uwezo na matakwa yetu. Katika miji mingi ya nchi yetu kwa sasa huwezi kusema kuwa Tanzania ni nchi ya waafrika weusi. Ukitaka watu wa rangi hiyo inabidi...
  10. JamiiForums Tanzania Nani Anamiliki Akaunti Ya Tanzania Leaks?

    Wakuu kuna Akaunti inavuma Sana kule X(Twitter) na inavujisha Siri npzito nzito za wanasiasa. Hata mjadala wa sakata la bandari kwa mara ya kwanza ulianzia kwenye hiyo akaunti. Nadhani ni mbadala wa Kigogo wa awamu ya tano. Mmililiki anaonekana ni mtu mzito ndani ya serikali, ambaye hakubaliani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimewaza nikaona kuwa Tanzania huwa tunaingia mikataba iwe mizuri au mibaya kipindi karibu na Uchaguzi.Je kuna uhusiano?

    Nimekuwa nikisikiliza maoni ya watu mbali mbali wasomi, wazalendo, wa chama tawala na wa vyama vingine pia. Wanazuoni na wananchi wa kawaida. Kwa ujumla kihistori na kwa haraka haraka mikataba mingi ya inayohusu Rasilimali za Taifa na Watanzania huwa inaingiwa kipindi karibu na Uchaguzi. Bado...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

    Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Tanzania imejaa na viongozi wafuatao.... 1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine. 2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani. 3. Viongozi ambao wana...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

    President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo. Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao...
  15. JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  16. JamiiForums Tanzania Utofauti wa Rwanda na Tanzania

    kwa waliotembelea Kigali (though not the whole Rwanda), kuna kitu kikubwa sana nimejifunza toka kwao, ambacho muda unavyoendelea wanaweza kufikia level zile za nchi za ulaya kabisa kwenye suala la usafi. 1. Tanzania usafi wa mazingira tupo nyuma sana, wenzetu wameweka misingi iliyokwisha ingia...
  17. JamiiForums Tanzania Ali Seif mmiliki wa Kagera Sugar na mmiliki mpya wa Tongaat South Africa amelipa kodi Tanzania?

    Mjomba mtata wa Oman,Mmiliki wa Superdoll anaacha kulipa kodi Tanzania anaenda kuwekeza Afrika kusini, je, huu ni Uzalendo? NBC mliipiga mkapata mtaji,lakini hamlipi fadhila kwa Taifa letu. Kila siku danadana ila kwenye majarida ya kimataifa anaandikwa kwa wino mweusi "billionaire" sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na Dar 5 tu, wasingehaika na Zanzibar!

    Wanaohangaika na kanchi kadogo ka Zanzibar ni kwa sababu kwenye nchi ya watu milioni 60 kuna mji 1 tu ambao > 85% ya economic activities zinafanyika ndio maana wengi wanakuwa obsessed na Zanzibar. Kama kungekuwa angalau hata na Dar kama 5 Tanzania nzima imetawanyika Kusini, Kaskazini Magharibi...
  19. JamiiForums Tanzania Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  20. JamiiForums Tanzania Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…