tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Logistics Assistant G5 (Commodity Accounting & Reports) at WFP Tanzania

    Position: Logistics Assistant G5 (Commodity Accounting & Reports) Type of Contract: Fixed Term Appointment Duty Station: Dodoma Liaison Office Duration: 12 months Standard Minimum Qualifications Education: Completion of secondary school education. A post-secondary certificate in the related...
  2. JamiiForums Tanzania Key Merchant Sales, Merchant Acquiring at Transsnet Financial Tanzania Ltd

    Position: Key Merchant Sales, Merchant Acquiring Duties and Responsibilities: Onboarding new Merchants with Company product and services. Train merchants on the benefit of our products, QR, POS Terminal, USSD, LIPA NAMBA, etc. Discover new business opportunities – including new markets, growth...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na utendaji wake mbovu. “Nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya nchi za kiafrika, ndani ya Sadc...
  4. JamiiForums Tanzania Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye mamlaka ya kutoa tamko la kiserikali Tanzania?

    Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile? Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza? Mfumo wa serikali upo vipi?
  6. JamiiForums Tanzania Kabla ya DP WORLD Tanzania ilikuwa imetulia, Sasa Tanganyika inalia😭

    Hili zimwi la Dp world ni la Dubai, lirudi Dubai. Bora amani kuliko hela za Mwarabu. Viongozi wasitumie vyeo vyao kufanikisha watakayo, kwa manufaa yao na familia yao na ndugu zao. Hili la Dubai ni mradi wa watu? Je, Tulio wakabidhi nchi wametusaliti? Amani na utulivu ni muhimu kiliko...
  7. JamiiForums Tanzania Senior Restricted Funding Compliance Advisor at WaterAid

    Position: Senior Restricted Funding Compliance Advisor Contract: Permanent, Full time Location: The role can be based anywhere that WaterAid has a country office, subject to right to work eligibility in the respective countries. Priority will be given to candidates based in countries within...
  8. JamiiForums Tanzania Assistant Storekeeper G3 at WFP

    Position: Assistant Storekeeper – G3 Type of Contract: Fixed Term Appointment Duty Station (City, Country): Dodoma Liaison Office Duration: 12 months Standard Minimum Qualifications Education: Completion of secondary school education. Experience: At least 3 years of logistics operations...
  9. JamiiForums Tanzania Board Directorship at Institute of Directors

    Position: Board Directorship The right candidates will have the minimum of the following profile: General An loDT member (or a commitment to qualify within 6 months of the appointment) Commitment to the loDT mission, values and objectives Meets the minimum requirements for a Board member as...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hakuna mtu yeyote Tanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa sababu ya kuikosoa serikali

    Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi, na Mdude. Katika maelezo hayo imeeleza kuwa hakuna Mtanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Sasa tutegemee wawekezaji kumiminika Tanzania. Wawekezaji wanawekeza kwenye amani, utulivu na usalama. Hongera Rais Samia

    Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye. Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tafuta wauuzaji wa water pump Tanzania

    Je, unatafuta muuzaji wa water pump Tanzania? National commercial Directory ndio mahali pa kwenda! Tuna orodha kamili ya wauzaji na wasambazaji wa water pump nchini Tanzania. Unaweza kuchuja matokeo yako kwa eneo, aina ya pump, na bei. Pia unaweza kusoma hakiki za wateja ili kupata muuzaji bora...
  13. JamiiForums Tanzania Kamata kamata Tanzania kwa wanaopinga mkataba wa bandari

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa Bujumbura, tarehe 4, Februari 2023. Picha na Tchandrou Nitanga / AFP. Polisi nchini Tanzania wamewakamata wakili mmoja na mwanasiasa wa upinzani, wakiwahutumu kwa kuchochea na kupanga maandamano kote nchini humo kwa lengo la kuiangusha serikali. Wakili...
  14. F

    JamiiForums Tanzania INDIA INSTITUTES OF TECHNLOGY: Kuna Mtanzania yeyote aliyesoma India anasoma vyuo vinavyosifiwa duniani?

    Habari wadau. Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india. Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of technology kwa kifupi IIT Nimejiuliza watoto wetu wa ki Tanzania waliojaa wanasoma india. Je na wapo...
  15. JamiiForums Tanzania Jamani madaktri wa macho nifanye nini katika hili?

    Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana hasa wakati nikitoka kulala au kukiwa na jua na usiku mwanga wa gari au pikipiki unaniumiza pia...
  16. JamiiForums Tanzania Driver II (8-Posts) at Tanzania Forest Services

    Position: Driver II (8-Posts) Duty Station: Lake Zone Required Qualifications Holder of Form IV Certificate and a Class “C1 or E” Driving License who has attended a Basic Driving Course offered by VETA or any recognized Institution with Driving experience of at least one (1) year without...
  17. JamiiForums Tanzania Beekeeping Assistant II (6-Posts) at Tanzania Forest Services

    Position: Beekeeping Assistant II (6-Posts) Duty station: Lake Zone Required Qualifications Holder of a Certificate in one of the following fields, Beekeeping, Botany, or Zoology from a recognized institutions Main Duties To Manage apiaries and Bee reserves To collect Beekeeping data To...
  18. JamiiForums Tanzania Forest Guard II (26- Posts) at Tanzania Forest Services

    Position: Forest Guard II (26- Posts) Duty Station: Lake Zone Required Qualifications Holder of Form IV/VI who has attended a training of National Service/Militia/Fire and Rescue or related training from a recognized institution. Main Duties To guard and prevent unauthorized entry into...
  19. JamiiForums Tanzania Forest Assistant II (20-Posts) at Tanzania Forest Services

    Position: Forest Assistant II (20-Posts) Duty Station: Lake Zone Required Qualifications Holder of Form IV/VI plus a Certificate in one of the following fields: Forestry, Mechanical Wood Industry, Forest Industries Technology or equivalent from a recognized institution. Main Duties To...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuondoa Visa kwa wageni inaweza kuwa na athari gani kwa usalama wa majirani zake?

    Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala ya usalama wa mipaka? Je, Kenya imejiridhisha juu ya Kuingia kwa watu wanaotaka kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…