tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Msingi wa siasa za Tanzania uko kidini, kamwe haiwezekani ukatenganisha dini na siasa za Tanzania

    Baada ya Serikali na CCM kubanwa kona zote kuhusu mkataba wa bandari na DP world, watawala na wapambe wao wakaona njia rahisi ni kuwagawa watanzania kidini mpango ambao nao umegonga mwamba. Hoja iliyobakia kwa watawala ikawa ni kuzifunga mikono na midomo taasisi za kidini zisijadili mkataba wa...
  2. JamiiForums Tanzania Plumber at Bonite Bottler Ltd

    Position: Plumber Qualification Applicant should be a holder of VETA level III/ Diploma in Plumbing and pipe fitting from a recognized Institution. Key skills & Abilities: Ability to assemble pipe sections, tubing and fittings Ability to fill pipes or plumbing fixtures with water Able to work...
  3. JamiiForums Tanzania Consultancy for In-depth analysis at UNICEF

    Position: Consultancy for In-depth analysis Job no: 564976 Contract type: Consultant Duty Station: Dar-es-Salaam Level: Consultancy Location: United Republic of Tanzania Categories: HIV/AIDS Specific objectives: i. To document characteristics of CLHIV identified through the FCA programme...
  4. JamiiForums Tanzania Head; Technology Risk at NMB Bank

    Position: Head; Technology Risk (1 Position(s)) Job Location : Head Office, Hq Main Responsibilities Risk Assessment & Management Develop short-term, medium term and long-term technology risk strategies for the bank. Oversee further, implementation of a technology risk management framework...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  6. JamiiForums Tanzania Supply Clerk at U.S. Embassy

    Announcement Number: DaresSalaam-2023-041 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Supply Clerk (All Interested Candidates) Open Period: 08/17/2023 - 08/31/2023 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE - 0805 5 Salary: TZS TSh21,317,834 /Per Year Work Schedule...
  7. JamiiForums Tanzania Sales Consultant at Asilia lodges and Camps LTD

    Position: Sales Consultant Department: Sales and Marketing Reporting to: Arusha Sales Manager DUTIES, RESPONSIBILITIES & PERFORMANCE STANDARDS Handling of safari requests from agents offering advice and proactive suggestions on itinerary planning. Assist the agent with all aspects of the...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ndiyo nchi pekee duniani yenye mkataba wa IGA na Dubai Emirate

    Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai. Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South...
  9. JamiiForums Tanzania Mamlaka ipi inajukumu la kufuatilia nyendo za Rais wa Tanzania na kumwajibisha.?

    Wataalamu. Mimi siyo mwanasheria. Napenda kujuzwa kwa Tanzania ni mamlaka ipi ina wajibu wa kufuatilia mienendo ya Raisi ili pale anapo kosea aambiwe au kuwajibika? Tumeshasikia huko kwa wenzetu Raisi anaweza kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka. Mfano jacob zuma, Trump etc...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

    Raisi Samia, kwa sababu ya mambo fulani yaliyojitokeza hupa JF Forums, niliahidi kutotoa post tena. Lakini kwa ajili yako nimeamua kuvunja mwiko huo. Nimefuatilia kwa makini sana yanayoendelea juu ya suala la DP World, jinsi lilivyoshughulikiwa Bungeni, na sasa kufikia hatua ya tamko la TEC. NI...
  11. JamiiForums Tanzania Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar. Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Hii hapa rap ya karne kwa African Hip Hop

    https://youtu.be/UiIa2i29PZ4 R.I.P Father Nelly wa Xplastaz Nimesikiliza hii nyimbo tangu nikiwa bwana mdogo mpaka leo nimekuwa broo! Nafikiri tukubaliane sasa kwamba kwa Hip Hop hii ndio rap bora zaidi kwa karne hii kwa African Hip Hop. Hii ngoma ilizingatia vigezo vyote. Mistari inaeleweka...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
  14. JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko competition+uchawi ni mkubwa. Mtaji wa kilimo kianzio kama million 5 upo, nataka nilime kwa kutegemea...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lakanusha Wanajeshi wa Ngazi ya Juu Kuongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
  16. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Mwaka 2014 TEC na Jukwaa la Kikristo Tanzania liloagiza kusitishwa Bunge la Katiba baada ya ccm kupora mchakato mzima.

    Mwaka 2014 Jukwa la TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na La Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona ccm imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi. Rais Kikwete akatumia busaea za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Itambue CCT (Christian Council of Tanzania )

    Kuna madhehebu 12 na Mashirika 12 yanayohusiana na Kanisa, ilianzishwa mnamo Januari, 1934. Mwenyekiti Rt. Mch Dr Fredrick Shoo. Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Makamu Mwenyekiti wa Kwanza Rt Dk. Stanly Hotay Askofu wa Dayosisi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna taasisi za umma Goigoi au tunawasimamizi wa taasisi za umma Goigoi?

    Nimeona viongozi wa kisiasa wakizilalamikia taasisi za umma Goigoi kwamba zinakwamisha ukuaji wa uchumi kati ya asilimia 1 hadi 5 kwa mwaka. Lakini ninavyojua mimi hakuna taasisi Goigoi ila kuna wanadamu waliopewa dhamana za umma ambao watumishi hao ni Goigoi 1. Ufanisi wa hizi taasisi...
  19. JamiiForums Tanzania TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

    Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA. Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA. TPA wapo...
  20. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu kuwa CDF Mstaafu Gen. Mabeyo ni Kiongpzi wa Jumuiya zote za Kikatoliki Tanzania

    Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel. Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…