tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania yakopeshwa Billion 459 kutoka korea kusini

    Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa Source: Africaninsider
  2. CCM ikitoka madarakani Simba na Azam ndio zitakuwa timu kubwa na watani wajadi Tanzania

    Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao. Sasa itoshe kusema in...
  3. L

    Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

    Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia. Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi. 1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo. 2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
  4. Bank gani Tanzania ina unafuu?

    Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu. Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
  5. Tanzania itajengwa na wachina

    Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne. Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara. Wazawa walie tu. Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake". Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu...
  6. Hizi ndizo ngoma za asili nzuri zaidi Tanzania.

    Japo kila watu na ladha zao. Kwa duniani ngoma za Japan(Taiko) hazina mpinzani. Hawa jamaa wapo serious sana na swala la ngoma. https://youtu.be/1HHic-ylhOE?si=zNbIbbQyO7OqByCn Kwa Afrika Waburundi hawana mpinzani. Hawa hata kwa dunia huwezi kuwatoa top 5. Hawa jamaa wanazunguka dunia nzima...
  7. Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  8. Full Time: Yanga 4-0 JKT Tanzania | KMC Complex | 12:00 Jioni | Yanga wanaendelea kuwaumiza wapinzani

    Yanga SC imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa KMC Complex saa 12:00 jioni. Magoli ya Yanga yamefungwa na Kangwanda, Shadrack Boka, Peter Shalulile na Ibrahimu Bacca, huku Yanga ikiendelea kuwaumiza wapinzani wake...
  9. Mradi wa JNHPP: Fursa Mpya za Maendeleo Tanzania

    Samia Amkosha, Mbowe JNHPP! JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania. “Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
  10. Tanzania yaipiku Kenya kama mzalishaji mkubwa wa umeme. Aibu kwa Muhongo, Nape, Zitto

    Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi. Nje ya nchi gazeti la economics lilikuwa linakuja na makala ndefu kuonyesha kuwa huo mradi ni white elephant na utasababisha madhara...
  11. Je tunamhitaji Tundu Lissu kwenye siasa za Tanzania au Hatumuhitaji?

    Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa utekelezaji na ukamilifu wa ujenzi wa bwana la Umeme la Julius Nyerere,pia nauzingatia mchango wa Hayati Rais John Magufuli kama mwanzilishi wa utekelezaji wa ndoto za Hayati Baba wa Taifa,Julius Nyerere kuwa Stigglers Gorge Rufiji liwe bwawa la...
  12. Tabiri, kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari ya Tanzania, 29/10? Siku 365 za Samia ikulu, au siku 365 za mauaji Tanzania?CHAGUA.

    Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika? Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi? Ukichagua cha...
  13. Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

    📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima. Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo: 🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD) ♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
  14. Tanzania to Begin Voluntary Repatriation of Citizens from South Africa on August 26

    Tanzania will begin the voluntary repatriation of citizens living in South Africa’s KwaZulu-Natal province on August 26, with the first group returning aboard an Air Tanzania Company Limited (ATCL) flight from King Shaka International Airport in Durban. The Tanzanian High Commission in Pretoria...
  15. Wasira: CCM Itahakikisha Uchumi Wa Tanzania Unaendelea Kuwa Imara

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM inalenga kuhakikisha uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia saba ifikapo mwaka 2030, huku ukichochea ongezeko la kipato na kuboresha maisha ya wananchi. Wasira amesema hayo leo (Agosti 21,2026) wakati...
  16. UNICEF Yaipongeza Tanzania Kwa Maendeleo ya Afya, Lishe na Ustawi wa Watoto

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) limeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua kubwa zilizopigwa katika kuboresha afya, lishe, elimu na ustawi wa watoto, na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo yaliyoainishwa...
  17. L

    Je vijana wa tanzania wanapata fursa za kuonesha innovations zao?

    Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na kuleta fursa za kipato lakini swali linabaki Kuna majukwaa sahihi ya kufukisha bunifu zao na je...
  18. Heko mahakama huru za Tanzania kwa kusikiliza mashauri, kuamua na kutoa haki kwa uwazi

    Hongera mawakili na wanasheria mbalimbali nchini, kwa weledi, umahiri na umakini katika kusikilizana kupeana fursa za kujieleza kisheria, kutafakari na hatimae kufikia hitimisho la mashauri mabalimbali pasina kuacha shaka na bila kupoteza wakati kwa pande zote husika. WaTanzania wote tuna imani...
  19. A

    KERO Responded Wanaohusika kudai fedha za ‘parking’ kwa kusimamisha magari barabarani, wamekuwa kero kwa Wananchi!

    Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina kera sana kupoteza muda wa Wananchi. Wananchi kweli anapaswa hulipia lakini kwanini wasiweke njia nzuri...
  20. Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi kuwadhulumu pesa zenu

    Nyie dada zetu mmelogwa? Ina maana nyie hamna akili za kuweza kutumia au kutunza pesa zenu wenyewe hadi mumkabidhi mwenzenu Mariam awawekee? Inashangaza sana. Kwa msiofahamu ni kuwa kwa sasa mtandaoni kumeibuka wanawake wengi wakiwemo wafanyabiashara wakubwa kama Nipher Cosmetics wanaomlaumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…