tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Nguva Jike

    Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  2. K

    Nchimbi, Huwezi Kuwa Askari Unayeitelekeza Tanzania Wakati wa Mapambano Kama Sasa

    Ndugu Nchimbi kwanza nikupe pongezi nyingi kwa kuondoka kifungoni. Awali nilitangaza humu kwamba ningefungua masikio yangu yote nisikilize uliyokuwa ukiyaseama baada ya maneno uliyosema kuhusu waTanzania waidai katiba kwa nguvu zao zote.. Maana yangu ya kufungua masikio, nilitaka niwe na...
  3. K

    The Cost of 2015: How Magufuli’s Running Mate Choice Set Tanzania on a Path to Ruin

    Hello everyone, I hope you are all doing well. Today, I would like to share an in-depth analysis looking at Tanzania’s current political and economic trajectory through a historical lens. This piece evaluates how strategic decisions made a decade ago have structurally reshaped our democratic...
  4. Pfizer

    Tanzania, Comoro kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania ina dhamira ya kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo na Serikali ya Jamhuri ya Comoro, ili kuleta manufaa ya pamoja kwa wananchi wa nchi hizo mbili. Mhe. Balozi Omar...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗪𝗔𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗘𝗙𝗧𝗢𝗢𝗕𝗔𝗟𝗟 𝗗𝗜𝗩𝗜𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗜 𝗡𝗚𝗨𝗠𝗨 ⚽

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
  6. Anti-tozo

    Uchumi wa Tanzania

    Ukisikia uchumi wa hili taifa unakuwa inabidi utafakari na kunywa maji mengi sana maana dah!
  7. Sifi Leo

    Baada ya kujiuziru siasa ndo tunajua sio raia wa Tanzania, ngoni migration ndo iliwaleta baba na mama yake Tanzania, arudi kwao Sasa.😃😀🫷

    Visa, vitimbi vinaanza Sasa, file zito jekundu lipo MEZANI kwa Bwana. Pamoja yakuwa ana cheo cha UBALOZI lakini sio raia. Pamoja yakuwa aliwai kuwa waziri wa mambo ya ndani ILA sio raia. Baada kujiuzuru siasa ndo tunabaini sio raia( kamuuze mzee ulimwengu baada ya kujiuzuru ukuu wa WILAYA...
  8. mrxtz2026

    Pendekezo la Katiba: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inayopendekezwa | Muundo wa Dola Lenye Mihimili Minne ya Kitaifa

    Naanza Kwa Wino Mzito wa salamu, "Kwa Haki, Mshikamano, Uzalendo na Uwajibikaji wa Pamoja", wote Twaitikia "Ndio Tamaduni zetu Watanzania". Ndugu wa Tanzania, kutokana na hoja mbali mbali za Kikatiba, Itaji la muda mlefu la Katiba mpya na uitaji wa Mchango wa kisomi na Kitaaluma kwenye...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Waziri Mkuu Mwigulu: Tanzania ni kinara katika masuala ya haki, lakini pia ni kinara wa kuhimiza wajibu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kila Mtanzania anapaswa kutimiza wajibu wake bila kuogopana, akisisitiza kuwa Tanzania ni kinara katika kuheshimu haki na kuhimiza uwajibikaji. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Agosti 25, 2026 wakati akishiriki katika...
  10. Tochuku

    There is a DEVIL in our beautiful country Tanzania. All Tanzanians wemust unite and fight this devil.

    Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani. Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much. Too much arrogance Too much innocent blood shed Too much theft It is time my fellow tanzanians
  11. Dogoli kinyamkela

    NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿

    NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿
  12. The Dictator

    Kuna nchi siku hizi ni kama wapo kwenye Tamthilia ya Game of thrones

    Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌 Waliowahi kuiona watanielewa😂 Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
  13. Megalodon

    Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  14. S

    Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  15. Black cap

    Tuweke historia sawa- Viongozi waliowahi kujiuzulu Tanzania

    1) Mwaka 1962- Mwalimu Julius Nyerere - Mwalimu Alijiuzulu nafasi yake ya "Waziri mkuu wa Tanganyika" miezi michache tu baada ya uhuru. Alimwachia kijiti Rashid Mfaume Kawawa na kurudi vijijini kujenga na kuimarisha chama cha TANU. Kabla ya muungano 2) Mwaka 1977- Ali Hassan Mwinyi -...
  16. Parabolic

    Tanzania yatumia UNCCD COP17 kutafuta teknolojia na uwekezaji wa kurejesha ardhi

    Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
  17. Think2

    Tanzania yakopeshwa Billion 459 kutoka korea kusini

    Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa Source: Africaninsider
  18. Tajiri Tanzanite

    CCM ikitoka madarakani Simba na Azam ndio zitakuwa timu kubwa na watani wajadi Tanzania

    Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao. Sasa itoshe kusema in...
  19. L

    Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

    Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia. Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi. 1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo. 2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
  20. TUKUYU88

    Bank gani Tanzania ina unafuu?

    Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu. Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
Back
Top Bottom