tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Fencorp, David Richard Investment na prince kreative kudhamini Miss Tourism Tanzania 2023

    FENCORP ya Marekani, DAVID RICHARD INVESTMENT NA PRINCE KREATIVE za Tanzani, watadhamini Miss Utalii Tanzania 2023. Kwa kuanzia wanadhamini ushiriki wa Tanzania katika fainali za Miss Tourism Africa 2023, zitakazo fanyika Lagos Nigeria Oktoba 2, 2023
  2. JamiiForums Tanzania David Richard aanzisha kampeni ya #CHAGUA-TANZANIA: Kuifanya Tanzania kuwa mahali pa Uwekezaji wa kuvutia

    Tanzania, nchi iliyoko Afrika Mashariki, imekuwa ikitambuliwa kama mojawapo ya maeneo ya uwekezaji yenye fursa nyingi barani Afrika. Hii ni kutokana na rasilimali zake tajiri, mazingira mazuri ya biashara, na ukuaji wa uchumi ulioendelea. Sasa, David Richard, mfanyabiashara mwenye tajriba na...
  3. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli. Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii ! Kuna kitu kinaitwa  KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Algeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria. Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kufuzu huku Algeria ikikamilisha ratiba ikiwa na alama zake...
  5. JamiiForums Tanzania Nimepitia Nicknames zote za Nchi za Afrika na Kuvutiwa zaidi na ya Tanzania

    Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine. Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma, Tanzania. Kwa heshima kubwa, ninaleta pendekezo langu kuhusu njia mpya ya kushughulikia changamoto ya uhaba wa mafuta na uhaba wa dola nchini. Tatizo hili litaathiri uchumi wetu na maisha ya wananchi wetu kwa muda mrefu, na naamini pendekezo...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine. Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania. Kwa nini Rais wa...
  8. JamiiForums Tanzania Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  9. JamiiForums Tanzania iStore Tanzania: Je, hawa ni authorised apple reseller?

    Habari wakuu. Ninataka kuagiza bidhaa ya apple online kutoka hawa jamaa. Je, kuna mtu alishawahi kununua kwao? Ni kweli wao ni wauzaji wa bidhaa za apple waliyoidhinishwa na kampuni ya apple, nisije nikaingia mkenge?
  10. JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye uwekezaji mkubwa kutoka nje, Tanzania yashika nafasi ya 8 Afrika

    Uwekezaji wa mitaji ya biashara kutoka Nje kwenye sekta mbalimbali unazidi kukua Afrika ambapo kati ya Nchi 10 zinazoongoza Afrika Tanzania inazidi kufanya kweli Kwa kushika nafasi ya 8. My Take: Kwa Mwendo huu Rais Samia amewaachia mbaaali sana watangulizi wake kwenye swala la uchumi. Hongera...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa gesi asilia tuliyonayo, Tanzania si ya kulalamikia mafuta

    Ukweli tuuseme, kwenye hili la Gas, mwendazake aliturudisha nyuma sana kwenda kuifuta mikataba ya utafutaji na uzalishaji Gas. Ni kama Tumeanza upya kipindi hiki. Tanzania kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kuitumia kuzalisha umeme kwa wingi, tunaweza kuitumia na kuibadilisha ikawa nishayti zingine...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama...
  13. G

    JamiiForums Tanzania SAFIRISHA NA MO CARGO KUTOKA CHINA,INDIA NA DUBAI KUJA TANZANIA KWA BEI NAFUU

    KARIBU Mo cargo Company Limited, has the right and affordable Logistic Solutions to your Cargo be, it small or big. With our in-depth domestic experience ( East and Central Africa ) in Clearing and Forwarding and considerable overseas experience on Imports/Exports , are able to tailor made our...
  14. JamiiForums Tanzania Primary School Teacher at Williamson Diamond Limited (WDL)

    Position: Primary School Teacher Location: Williamson Diamonds Limited, Mwadui, Shinyanga Grade: C2 Report: Head Teacher Role Description: The role is responsible to educate and motivate pupils as per the National Curriculum framework and using creative resources to contribute to their...
  15. JamiiForums Tanzania GESI Specialist at Jane Goodall Institute (JGI)

    Position: GESI Specialist Work Station: Kigoma Project: Tumaini Kupitia Vitendo (TKV) Reporting Line: Deputy Chief of Party Key Responsibilities and Duties: o Lead the development and implementation of a comprehensive Gender Action Plan (GAP) to integrate GESI considerations into all aspects...
  16. JamiiForums Tanzania Marketing Manager at FINCA Microfinance

    Position: Marketing Manager ESSENTIAL DUTIES Develop comprehensive marketing strategies and plans aligned with the bank’s goals and objectives. Maintain and enhance the bank’s brand image and reputation. Ensure consistent branding across all communication channels, including print, digital...
  17. JamiiForums Tanzania Marketing Manager Creative at NMB Bank

    Position: Marketing Manager Creative Job Location: Head Office, HQ Main Responsibilities: onceive and develop effective ideas and visual communication concepts for above and below-the-line advertising in line with the Branding and Marketing strategy. Develop still graphics, motion graphics...
  18. JamiiForums Tanzania Midwife Supervisor at Médecins Sans Frontières (MSF)

    Position: Midwife Supervisor Direct Reports: Midwife Activity Manager. Location: Nduta Camp Kibondo. For National Staff Only Minimum Educational Qualification: · Bachelor degree in Midwifery or Diploma of Midwife · Must be Registered by Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) with Valid...
  19. JamiiForums Tanzania Nurse Aid at Médecins Sans Frontières (MSF)

    Position: Nurse Aid Direct Reports: Nurse Team Supervisor Location: Nduta Camp (Kibondo, Kigoma Region) National staff Only Minimum Educational Qualification: · Certificate in Nursing and Midwifery. Experience: · Desired: Experience as nurse aid, or similar · Must be Registered by Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania HSE Officer at Besix Ballast Nedam (BBN)

    Position: HSE Officer Reports To: H3SE Manager Employment Duration: September 2023 to May 2025 Job Type: Full Time Location: Tanga Port Purpose and scope of assignment The main objective of HSE Officer is to monitor health, safety and environment, assess risks and offer proper advise to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…