Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo.
Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi.
Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote.
Nchi hii imekuwa ngumu sana!
Wakuu na wajuzi wa mambo naomba kuuliza swali.
Binafsi tangu nimepata akili zangu, sijawahi ona hata maandamano moja iliyoitishwa ama kuratibiwa kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ama kulaani jambo fulani lilifonaywa na Serikali kisha hiyo maandamano ifanikiwe. Hapa sizungumzii maandamano ya...
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
Walinzi wote wa Tundu Lissu
Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
Mzee Hashim...
asubuhi
bango
chadema
karatu
kesho
kufungwa
kukamatwa
lissu
nchi
nchi nzima
ofisi
picha
polisi
tamko
tanzania
tundu
tundu lissu
unyama
viongozi
wengine
It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing .
Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya?
Maji shida? umeme shida? Usafiri...
Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA.
Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye...
Nimefanikiwa kufika nchi kadhaa na sikuwahi kuona watu wa nchi hizo wakisikiliza au kufurahia nyimbo zilizoimbwa kwa lugha za nchi zingine wasizozijua.
Lakini hapa kwetu miaka nenda rudi tangu nakua miaka ya 70 nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakisikiliza nyimbo za Kizungu na ukiwafuatilia...
Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania.
Mfano...
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa ya JWTZ kusema litafanya msako kwenye nyumba za wananchi kutafuta wenye mavazi yanayofanana na za kwako. JWTZ hawajasema kama kuna mali zao zilizoibwa, hivyo hizo wanazotaka kutafuta ni za nani?
Kama kuna yanayomilikiwa na watu yanayofanana na za kwako, nani...
Bashe na mama Samia wanafanya kweli, bila longolongo:
Dar es Salaam. Serikali imetia saini makubaliano yenye thamani ya dola milioni 400 (kama Sh1 trilioni) yenye thamani ya Benki ya Dunia (WB) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa ajili ya kufadhili programu mbalimbali za kilimo...
Sasa kama mnalisifia na mnalipenda Jeshi la Marekani kwa Utaratibu wake wa hasa Uniforms (Sare ) zao na Uvaaji wa Raia wa hizo Sare zao na Uzuri wa nchi yoo kwanini hasa hamhamii huko mkaishi na badala yake Sote tu tuko hapa hapa Dar es Salaam Tanzania tunasaka zetu Nyoka tu ili Kupambana na...
Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu namna mitumba hiyo itavyokuwa inaingizwa nchini, haya ndio baadhi ya maswali ninalojiuliza na mpaka sasa sina majibu.
Je, wewe hapo uliopo, unaamini tunao wataalamu wa kukagua vifaa kama hivyo?
Je, si kweli kuna wakati itahitajika teknolojia katika...
Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo na wanaishi maisha yao yote kwa kulima?
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), litaendelea kutoa elimu na kuwafikia wadau wengi zaidi ili wafahamu mchango wake katika uchumi wa nchi.
Hayo yamebainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania, Godfrey Malekano alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam...
Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria.
Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini.
Waziri Jerry amewahimiza...
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana...
Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin
Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti".
Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo itapangwa nazo Kundi Moja na Kutia Aibu.
Kwa Mfumo wa Soka la Uganda, Vipaji vilivyopo na Commitment...