tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania: Century of Electrification in 15 Years!

    Fifteen years ago, the World Bank predicted Tanzania would need a century to achieve 100% rural electrification. In 2026, Tanzania, through REA, achieved universal village grid electrification. Every official mainland village now has core electricity infrastructure. Extending electricity to...
  2. What is happening to Tanzania?

    We are the people. We are the taxpayers. We are the voters. We are the citizens. AM NOT GOING TO PRETEND EVERYTHING IS NORMAL?! 😑 And yes, I love Tanzania. β€οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ THAT is exactly why this shit hurts so much. We cannot keep normalising things that should never be normal. I’m angry . I’m fucin...
  3. Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  4. K

    Nchimbi, Huwezi Kuwa Askari Unayeitelekeza Tanzania Wakati wa Mapambano Kama Sasa

    Ndugu Nchimbi kwanza nikupe pongezi nyingi kwa kuondoka kifungoni. Awali nilitangaza humu kwamba ningefungua masikio yangu yote nisikilize uliyokuwa ukiyaseama baada ya maneno uliyosema kuhusu waTanzania waidai katiba kwa nguvu zao zote.. Maana yangu ya kufungua masikio, nilitaka niwe na...
  5. K

    The Cost of 2015: How Magufuli’s Running Mate Choice Set Tanzania on a Path to Ruin

    Hello everyone, I hope you are all doing well. Today, I would like to share an in-depth analysis looking at Tanzania’s current political and economic trajectory through a historical lens. This piece evaluates how strategic decisions made a decade ago have structurally reshaped our democratic...
  6. Tanzania, Comoro kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania ina dhamira ya kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo na Serikali ya Jamhuri ya Comoro, ili kuleta manufaa ya pamoja kwa wananchi wa nchi hizo mbili. Mhe. Balozi Omar...
  7. π—ͺπ—”π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—ͺ𝗔 π—˜π—™π—§π—’π—’π—•π—”π—Ÿπ—Ÿ π——π—œπ—©π—œπ—¦π—œπ—’π—‘ π—šπ—”π—‘π—œ π—‘π—œ π—‘π—šπ—¨π— π—¨ ⚽

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio πŸ‘‹. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa πŸ˜€. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
  8. Uchumi wa Tanzania

    Ukisikia uchumi wa hili taifa unakuwa inabidi utafakari na kunywa maji mengi sana maana dah!
  9. Baada ya kujiuziru siasa ndo tunajua sio raia wa Tanzania, ngoni migration ndo iliwaleta baba na mama yake Tanzania, arudi kwao Sasa.πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ«·

    Visa, vitimbi vinaanza Sasa, file zito jekundu lipo MEZANI kwa Bwana. Pamoja yakuwa ana cheo cha UBALOZI lakini sio raia. Pamoja yakuwa aliwai kuwa waziri wa mambo ya ndani ILA sio raia. Baada kujiuzuru siasa ndo tunabaini sio raia( kamuuze mzee ulimwengu baada ya kujiuzuru ukuu wa WILAYA...
  10. Pendekezo la Katiba: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inayopendekezwa | Muundo wa Dola Lenye Mihimili Minne ya Kitaifa

    Naanza Kwa Wino Mzito wa salamu, "Kwa Haki, Mshikamano, Uzalendo na Uwajibikaji wa Pamoja", wote Twaitikia "Ndio Tamaduni zetu Watanzania". Ndugu wa Tanzania, kutokana na hoja mbali mbali za Kikatiba, Itaji la muda mlefu la Katiba mpya na uitaji wa Mchango wa kisomi na Kitaaluma kwenye...
  11. Waziri Mkuu Mwigulu: Tanzania ni kinara katika masuala ya haki, lakini pia ni kinara wa kuhimiza wajibu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kila Mtanzania anapaswa kutimiza wajibu wake bila kuogopana, akisisitiza kuwa Tanzania ni kinara katika kuheshimu haki na kuhimiza uwajibikaji. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Agosti 25, 2026 wakati akishiriki katika...
  12. There is a DEVIL in our beautiful country Tanzania. All Tanzanians wemust unite and fight this devil.

    Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani. Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much. Too much arrogance Too much innocent blood shed Too much theft It is time my fellow tanzanians
  13. NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

    NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
  14. Kuna nchi siku hizi ni kama wapo kwenye Tamthilia ya Game of thrones

    Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ Waliowahi kuiona watanielewaπŸ˜‚ Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
  15. Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  16. S

    Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  17. Tuweke historia sawa- Viongozi waliowahi kujiuzulu Tanzania

    1) Mwaka 1962- Mwalimu Julius Nyerere - Mwalimu Alijiuzulu nafasi yake ya "Waziri mkuu wa Tanganyika" miezi michache tu baada ya uhuru. Alimwachia kijiti Rashid Mfaume Kawawa na kurudi vijijini kujenga na kuimarisha chama cha TANU. Kabla ya muungano 2) Mwaka 1977- Ali Hassan Mwinyi -...
  18. Tanzania yatumia UNCCD COP17 kutafuta teknolojia na uwekezaji wa kurejesha ardhi

    Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
  19. Tanzania yakopeshwa Billion 459 kutoka korea kusini

    Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa Source: Africaninsider
  20. CCM ikitoka madarakani Simba na Azam ndio zitakuwa timu kubwa na watani wajadi Tanzania

    Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao. Sasa itoshe kusema in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…