tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Senior Risk Officer at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) September, 2023

    Work reference no: 007/2023 Position: Senior Risk Officer Supervisor: Head of Risk and Compliance Responsibility: The purpose of this role is to establish, implement and enforce a robust bank wide Risk Management Framework and systems covering Legal and regulatory. Ensure risks facing the...
  2. JamiiForums Tanzania Field Officer Supervisor at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) September, 2023

    Work reference no: 008/2023 Position: Field Officer Supervisor Reporting to: FAST Product Manager Responsibility: Setting/Agreeing targets with Field officers Agreeing daily activity plan with Field officer Monitor Field Officer Performance on regular basis. Continuously coach and train FOs...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
  4. JamiiForums Tanzania Afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Botswana anaonekana mitaani na mahakamani mkoani Kilimanjaro akizurura na gari la Ubalozi!

    Ninasikitika sana! Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau? Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana. Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani...
  5. JamiiForums Tanzania Mtikisiko wa kutisha unaendelea Chama cha Walimu Tanzania

    Kama tulivyowahabarisha hapo awali juma hili hili kwenye jukwaa hili hili, Chama Cha Walimu Tanzania kimeendelea kupigwa vita na waliokuwa viongozi wa awali huku wakiendelea kupata msaada mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali ambao kwa sasa wamekwishaungana kwa ajili ya...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
  7. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

    Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania? Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii! Niwatakie jumapili njema.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent

    Wakuu poleni na majukumu. Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania. Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

    Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha Sasa wameenda na Zimbabwe. Kwa uzoefu...
  10. JamiiForums Tanzania Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Tanzania na Ireland Kushirikiana Katika Michezo (Soka la Wanawake na Uchoraji)

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - TANZANIA NA IRELAND KUSHIRIKIANA KATIKA SOKA LA WANAWAKE NA UCHORAJI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na Balozi wa Ireland hapa nchini Mhe. Mary O' Neill na kukukubaliana kushirikiana katika Sekta ya michezo hususan soka la...
  12. JamiiForums Tanzania Tume ya TEHAMA: Mahakama za Tanzania zinatumia Akili Bandia tangu Mwaka 2022

    Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Tehama Tanzania, Kundwe Moses Mwasaga amesema Tume imeandaa Kongamano la Saba linalotarajiwa kufanyika tarehe 16-20 Oktoba 2023 Kongamano hilo litatanguliwa na mijadala, siku ya kwanza itakuwa ni Siku ya Wanawake kwenye TEHAMA, ambapo wanatarajia kusherekea...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

    Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona. Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana...
  14. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango atoa msimamo wa Tanzania UN

    Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa mengi yameonyesha wasiwasi kuhusu kupotea kwa amani katika jumuiya ya kimataifa. Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amelieleza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mnatumia njia ndefu sana za kumtafutia Sababu za Kumuondoa CEO wa 'Umeme Tanzania?

    Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania. Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

    Swali mezani: Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza? In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania: Examine your leadership status

    1. A leader is a servant to all. If you don't have the heart to serve others without looking for a reward, you are not yet a leader. 2. If you can't withstand criticism and can't withstand and survive the havoc of hate speech, you are not yet a leader. [Kukosoa siyo uchochezi] 3. If you...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Yazindua Kiwanda Kikubwa cha Vioo Afrika Mashariki na Kati

    Tanzania Yazindua Kiwanda Kikubwa cha Vioo Afrika Mashariki na Kati Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) amesema uzinduzi wa kiwanda kikubwa cha vioo Afrika Mashariki na Kati ni hatua muhimu katika kuendeleza sekta ya viwanda nchini Tanzania. Akizungumza katika uzinduzi...
  20. JamiiForums Tanzania Riadha Tanzania | Special thread

    Wakuu nimeona nianzishe huu uzi uwe kama kijiwe chetu cha kujadili na kushauriana mambo mbalimbali kama familia ya riadha. Mwenye maoni, kero, dukuduku na jambo lolote la riadha tutatumia huu uzi. Nina uhakika riadha ndo mchezo pekee hapa nchini uliowahi kuweka alama zisizofutika duniani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…