tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  2. JamiiForums Tanzania Assistant Program Accountant at HJFMRI September, 2023

    Position: Assistant Program Accountant Report to: Program Accountant and HJFMRI Contracts and Partnership Officer Terms of Employment: One-year contract Salary: TGS C Major function of the position Under the supervision of the Program Accountant and guidance from the HJFMRI Contracts and...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho? Maana siku za dirisha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  5. JamiiForums Tanzania TIZAMA: Namna ya kuwapigia kura RAMADHANI BROTHERS ukiwa Tanzania kwenye mashindano ya America Got Talent

    Habarini ndugu zangu naomba tuwapigie ndugu zetu RAMADHANI BROTHERS wanaoiwakilisha TANZANIA 🇹🇿 kwenye mashindano ya America Got Talent. Tufanye hili jambo haraka iwezekanavyo ili waweze kushinda, ikumbukwe vijana hawa wameingia kwenye Fainali ya mashindano haya. Upigaji kura inafungwa saa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  7. JamiiForums Tanzania Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

    1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania. 2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700. 3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. 4. Zesco ama Zambia...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani

    Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani. Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
  9. JamiiForums Tanzania Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa baadaye

    .Mradi wa Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye. Utangulizi: Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata umaarufu katika sayansi na viwanda kwa zaidi ya karne moja. Lakini, je, wewe unajua kwanini gesi hii...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na waandishi wa Sheria Tanzania (Draftsmen)

    Hivi wasomi wa miaka hii mnasomeaga shule Gani.?Au shida ni hizi English medium zinaboronga elimu yetu. Yaani Kiingereza hatujui.. Kiswahili hatua! Wakuu naomba msome wenyewe kiambata hiki.
  11. JamiiForums Tanzania Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sheria mbaya zimechangia ukosekanaji wa Dola Tanzania

    Sheria mbaya za wakati wa Magufuli zimechangia sana ukosefu wa dollar 1. Vitendo vya kuingiza jeshi na Polisi kwenye biashara ni kitendo kibaya. Kitendo cha kuvamia maduka ya pesa za kigeni karibu yote na kuchukuwa pesa bila amri ya mahakama, bila kuwa na kesi za wizi kulitoa mwanya kwa wezi...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania Watembelea Ubalozi Misri

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA UBALOZI MISRI KATIKA KUPIGA KURA NCHI MWENYEJI MASHINDANO YA AFCON 2027 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 25, 2023 ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Ubalozi Cairo nchini Misri kabla ya siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini. Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya matukio; hongera CCM kwa kufaulu kujenga Taifa la namna hii

    Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu. Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
  16. JamiiForums Tanzania Internal IT Sales officer (one position) at Right Click Solutions Tanzania September, 2023

    Position: Internal IT Sales officer (one position) Duty Station: Mwanza-Nyamagana Job Description: · Issue Proforma Invoices and follow up for payment · Educate customers on how our products and solutions can benefit them. · Keep customers informed on their ordersand Manage...
  17. JamiiForums Tanzania Receptionist at WWF September, 2023

    Position: Receptionist Reports to: Operations Manager Duty Station: Dar es Salaam Supervises: None 1. Specific Duties: Answer telephone and direct calls to relevant destinations in the office and outside the office Take and relay messages to relevant staff and provide information to callers...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

    Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya. On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni...
  19. JamiiForums Tanzania Administrative Assistant at U.S. Embassy September, 2023

    Announcement Number: Dar es Salaam-2023-049 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Administrative Assistant (All Interested Candidates) Open Period: 09/20/2023 -10/04/2023 Format: MM/DD/YYYY...
  20. JamiiForums Tanzania Finance and Administration Officer at Transform Trade September, 2023

    Post: Finance and Administration Officer Location: Rufiji; Tanzania Contract Period: Fixed Term Contract (1 year- renewable contract upon satisfactory performance) Role Finance and Administration Officer. People, Prosperity and Planet Project. (Annual- renewable contract upon satisfactory...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…