tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tamaduni na mila za kufikirika (ajabu) Tanzania na duniani

    "Anayesoma ana mengi sana asiyoyaelewa, asiyesoma hana asichoelewa". Kama umewahi kusikia kuona au kukutana na mila ambayo kwako ilikuwa ni ya ajabu au haijakukalia sawa lakini ulipoiona au kuikuta ilikuwa ni kitu cha kawaida, itupie uzi huu. Pia tupia hapa mila ambazo kwako au kwenu ni...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Billionaire kutoka Abu Dhabi aongozana na watu 680 kufanya utalii. Je, Tanzania tunaweza kuvutia utalii huu?

    Bhisho Bulembu Eastern Cape, Republic of South Africa REKODI HII YA RAIS WA UAE MTAWALA WA ABU DHABI Katika mwezi Aprili mwaka 2023 mji mdogo wa Bhisho Bulembu jimbo la mashariki la Cape ambapo kulikuwa na uwanja wa ndege pekee wa,nchi ya Bantustan nchini Afrika ya Kusini uliotelekezwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?

    Wenzetu Malawi wameshaanza kutumia huduma ya starlink toka mwezi July sisi Tanzania tunasubiri nini au waziri wa mawasiliano anakazia ni nini hasa?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

    Kumekucha tena, Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya. Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya. Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, Oktoba 5, 2023 Updates. Mchezo umenza 12' Tanzania Prisons Wanaongoza...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim ni Rais wa Tanzania ambaye haikuwa riziki

    DOKTA Salim Ahmed Salim, alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilikuwa kipindi cha uhaba mkubwa wa bidhaa. Nguo, viatu, sabuni, dawa za meno, vilikuwa adimu. Alikalia kiti baada ya kifo cha Edward Moringe Sikoine, aliyeendesha vita ya uhujumu uchumi. Mazingira ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ya sasa ikiwa CCM itaendelea kubaki madarakani basi sitamsomesha mwanangu hapa

    Ukweli ni mtupu tuna wapotezea mda watoto wetu kwenye hii nchi isiyotaka waelewa na wenye kuona mbali. Angalia tu kuanzia serikali ya ccm,wajinga wanapewa nafasi kubwa kuliko welevu. Japo elimu tunayo ila Ijawahi kusaidia taifa hata kubuni njiti ya kiberiti. Tunawo wataalamu wakila nyanja ila...
  9. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kenya ndiyo iwe mpinzani wa Tanzania

    Tanzania inapakana na nchi nyingi tu ila inakuwaje Kenya na Tanzania inakuwa kama Simba na yanga,
  10. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu kutuhumiwa kwa ubaguzi akiwa kwenye taasisi ya kanisa inaleta picha gani kwa mustakabali wa Tanzania?

    Zaman tuliaminishwa kwamba Prof ni mtu msomi na mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mema na mabaya. Leo hii profesa akiwa ndani ya taasisi ya dini ambapo tunaamini analelewa kiroho anapotuhumiwa kuwabagua binadamu na kuelekezwa wasipewe huduma hata ya chakula ni fedhea sana kwa kanisa na wasomi...
  11. JamiiForums Tanzania Huenda Makomandoo wa Ihefu FC wakawa ndiyo Watu Waaminifu na Waadilifu Tanzania nzima

    Unaambiwa tokea Jumatatu waliamua Kukesha kuulinda Uwanja Wao wa Highland Estates Mbarali na Kuwakatalia Waliowafunga wasiingie Uwanjani Kuroga na Kufukia Mauchawi yao. Jana Jumanne Makomandoo wa Ihefu FC waliokuwa Wakiulinda Uwanja walionyeshwa Fedha ili Wawaruhusu Waganga na Wachawi Wao (...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanasemaje kuhusu mvua za El Nino?

    Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea. Tunaona halmashauri nyingi wapo busy...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  14. JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa anayejenga Reli ya SGR adaiwa kuyumba kifedha, Serikali yatafuta mbadala kukamilisha ujenzi

    Mawaziri wa Fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Mradi wa Reli ya Standard Gauge (SGR) baada ya Mkandarasi Mkuu Kampuni ya #YapiMerkezi ya Uturuki kuonyesha dalili za kuwa na changamoto ya kifedha. Gazeti la The East African limedai...
  15. JamiiForums Tanzania Petroli Bei Juu Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita. Tanga, Petroli ni Tsh...
  16. B

    JamiiForums Tanzania General Manoj Pande wa jeshi la India yupo Tanzania kwa ziara ya kikazi

    Ziara ya general Manoj Pande kutoka India nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aIzo8AkcGxE Mkuu wa jeshi la ardhini la India, General Manoj Pande awasili kwa ziara ya kikazi Tanzania. General Manoj Pande amekutana na waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Lawrence Tax, na mkuu wa majeshi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Kushirikiana Katika Eneo la Ufadhili wa Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amafanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle yaliyojikita katika kuendeleza Sekta za wizara hiyo. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Oktoba 3, 2023 jijini Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Ndumbaro...
  18. JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  19. JamiiForums Tanzania Nakukumbusha: Zuhura na Salim Kikeke walikuwa miongoni mwa waliokosoa utawala wa Magufuli wakiwa BBC Swahili

    Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

    Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme . Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…