tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani

    10 October 2023 Kampala, Uganda OPERESHENI KIMBUNGA YA TANZANIA YAFIKISHWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani. Mwesigwa Rukutana & Co. Advocates pamoja na OSH Advocates mawakili wa walalamikaji 1240...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Umma Tanzania kutumia rasilimali finyu za Taifa kwenye mambo yasiyo vipaumbele

    Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk. Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii kutumia fedha za umma kushughulikia masuala kama haya badala ya kutumia fedha hizi kufanya tafiti za...
  3. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo. Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara kubwa ya ngumi East Africa ukitaka kufanya biashara ya ngumi na upate hela isiyo na longolongo basi...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kutumia (inunue) minibuses kwa ajili ya kusafirishia viongozi kwenye ziara kama wafanyavyo China

    Ili kuepukana na gharama za ununuzi wa magari ya ghali kila mwaka kwa ajili tu ya kusafirishia viongozi mbalimbali ni vyema sasa serikali ikaja na utaratibu mpya. Nina shauri serikali kuanza kununua minbuses maalumu kwa ajili ya kubebea viongozi katika safari kama ziara mbalimbali ili kuepuka...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
  6. JamiiForums Tanzania Taa za kuongozea magari Tanzania [Traffic lights]

    Naomba hapa nizungumze kiujumla jumla. Hizi taa za kuongozea magari Tanzania, hususan Dar es Salaam, ni za kazi gani hasa? Kuna mambo nadhani huwa tunayalazimisha ambayo kiuhalisia hayapo kwenye DNA yetu. Machache kati ya hayo ni ustaarabu na ufuataji wa sheria tunazojiwekea sisi wenyewe...
  7. JamiiForums Tanzania Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

    The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and...
  8. JamiiForums Tanzania IMF: Serikali za Afrika ziache kuchukua Mikopo kwa dhamana ya Rasilimali za Nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #KristalinaGeorgieva ameunga mkono wito wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaozitaka nchi za Afrika kuacha utaratibu wa kufungamanisha Mali Asili za Nchi kipindi zinapoingia mikataba ya Mikopo. Kwa upande wake Rais wa #AfDB, Dkt...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilibadalisha Msimamo wa Tanzania kuhusu Palestina!

    Salamu, Dunia inaenda kasi sana! Tulipokuwa wadogo tukifuatilia na kufundishwa harakati za ukombozi Afrika na dunia, tulijifunza (lau kidogo) uhuru na haki ya Wapelestina. Tulisoma kuhusu Yassir Arrafat na Palestine Liberation Army (PLO). Wakati huo, kama ilivyokuwa kwa POLISARIO cha Sahara...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Mining Cadastre Portal ni mfumo wa kuisababishia nchi hasara badala ya faida

    Mh. Waziri hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa wizara hii muhimu kwa Taifa hili. Pamoja na hongera nyingi ila ninaomba kukujulisha kuwa wizara yako imeshindwa kuisimamia Tume ya Madini nchini, kwasababu baada ya kuteuliwa yapo mambo ambayo kwa muda mfupi yameanza kuharibika tena kwa haraka na...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kama Gari: Safari ya Maendeleo na Uongozi Imara

    Katika anga ya kisiasa na kijamii, kulinganisha nchi na gari kunatoa mtazamo mzuri wa kuelewa uhusiano wa watu na utawala. Tufikirie Tanzania kama gari kubwa linaloelekea kwenye safari ya maendeleo. Kama gari lenyewe, viongozi wetu wanaweza kulinganishwa na dereva, mawaziri na maafisa wa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  13. JamiiForums Tanzania Kamishina Kafulila: Biashara kati ya Tanzania na India ni zaidi ya Dola Bilioni 24 ndani ya miaka 10

    KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani. India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mitandao ya simu nchini wana vifurushi kausha damu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu Tanzania ina vifurushi vinavyofanana na kingine kila mtandao na spidi yake. Sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua...
  15. JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums anayehoji kwanini Rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo lazima awe ni Mkatoliki anatuaibisha 'Lake Zone Geniuses' wote

    Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili ) Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na...
  16. JamiiForums Tanzania Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

    Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, tuendelee kuamini Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini?

    Katika siku za karibuni tulipewa taarifa na Mamlaka ya Hewa kuwa kutakuwa na mvua ya el Nino na hivyo wananchi wachukue tahadhari zote kuhusiana na mvua hizi. Walitutahadharisha kuwa mvua hizi zingeanza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu. Leo ni tarehe 8 Oktoba, 2023 na kuna joto kali sana na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

    Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
  19. JamiiForums Tanzania Tazama Tanzania amani tulio nayo

    Kweli... Mungu hatupi vyote sisi watanzania. Leo yametokea Mashambulizi ya Kivita huko Israel kutoka kwa Palestina. Huku kuna Ukrain dhidi ya Mrashia. Pale kuna Mapinduzi ya Serikali sehemu mbali mbali hapa Afrika Kule Marekani watu wanamiliki silaha nje nje kama simu za Iphone. Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Hadi kijana wa Tanzania anamaliza form four anatakiwa ajue haya yafuatayo...

    Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in... Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…