tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza uzalishaji wa Dawa za Kufubaza Makali ya VVU (ARV)

    Ziara ya kimkakati iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini India, imezaa matunda katika sekta ya afya baada ya nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuanzisha kiwanda cha dawa, huku dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi ARV ni miongoni mwa zitakazozalishwa. Makubaliano hayo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Traffic: Uganda Vs Tanzania

    Hawa ndio Traffic wa Uganda dhidi ya Tanzania. Traffic wapi wanavutia zaidi kwa sare zao? Tanzania
  3. JamiiForums Tanzania Ndege made in Tanzania

    Ndege iliyotengenezwa Tanzania Airplanes Africa Limited (AAL), a Morogoro-based aircraft manufacturer, has unveiled the first aircraft assembled in Tanzania. The aircraft, Skyleader 600, was unveiled at the Tanzania International Manufacturers Expo 2023 (TIMEXPO), held at the Diamond Jubilee...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa ufafanuzi Umoja wa Mataifa (UN) kutetea hatua za kunusuru uhifadhi wa Loliondo na Ngorongoro

    Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani ambapo imetumia mkutano huo kuelezea hatua za Serikali kunusuru uhifadhi na maendeleo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania. Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa kundi tulilopo Tanzania huko AFCON 2024, namshauri haraka Rais Samia asiigharamie 'Mipesa' ya Walipa Kodi kwani haitotoboa na itaburuta mkia tu

    Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia. Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini benki za Tanzania zina huduma mbovu na ukiritimba mwingi, haziendani na nyakati za sasa

    Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ. Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote. Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Annexation of People's Republic of Kenya into the Great Tanganyika under the United Republic of Tanzania

    Referendum iandaliwe na serikali kivuli ya dubwana kubwa Tanganyika lililojificha nyuma ya muungano wa hovyo kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni wakati sasa ardhi na eneo lote la Jamhuri ya watu wa Kenya viwe sehemu ya Tanganyika Kuu. Dola ya wakenya ife. Madaraka yake...
  9. JamiiForums Tanzania AFCON: Tanzania kumenyana na Morocco, DR Congo na Zambia kundi F

    Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo. --- Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PhD za heshima kwa viongozi wetu Tanzania: Je, wana sifa za kimataifa?

    Sifa za kupata degree hizo za heshina (Honorary PhD) zinaweza kutofautiana, lakini katika viwango vya kimataifa/dunia lazima kuna na minimum qualification ili mtu yeyote aweze kupata tuzo hiyo. Baadhi yake ni hizi kwa msaada wa kutoka website mbalimbali. Ingawa hizi siyo exaustive, lakini kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR) Kufanyika Tanzania, Wadau watakiwa kujisajili kushiriki

    Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 77 wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR) ambao utafanyika Jijini Arusha kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano (AICC) kuanzia Oktoba 20, 2023 mpaka Novemba 9. 2023 ambapo vitafanyika vikao mbalimbali vikijadili masuala tofauti...
  14. JamiiForums Tanzania Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi nchi ya Tanzania itamaliza lini Ukarabati?

    Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya? Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga. Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njia yao ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani

    10 October 2023 Kampala, Uganda OPERESHENI KIMBUNGA YA TANZANIA YAFIKISHWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani. Mwesigwa Rukutana & Co. Advocates pamoja na OSH Advocates mawakili wa walalamikaji 1240...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Umma Tanzania kutumia rasilimali finyu za Taifa kwenye mambo yasiyo vipaumbele

    Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk. Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii kutumia fedha za umma kushughulikia masuala kama haya badala ya kutumia fedha hizi kufanya tafiti za...
  18. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo. Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara kubwa ya ngumi East Africa ukitaka kufanya biashara ya ngumi na upate hela isiyo na longolongo basi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kutumia (inunue) minibuses kwa ajili ya kusafirishia viongozi kwenye ziara kama wafanyavyo China

    Ili kuepukana na gharama za ununuzi wa magari ya ghali kila mwaka kwa ajili tu ya kusafirishia viongozi mbalimbali ni vyema sasa serikali ikaja na utaratibu mpya. Nina shauri serikali kuanza kununua minbuses maalumu kwa ajili ya kubebea viongozi katika safari kama ziara mbalimbali ili kuepuka...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…