tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwasilisha Ombi CAF Matangazo ya Kiswahili

    TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari afariki akiwa na miaka 86. Aliwahi kuhudumu kama Balozi Tanzania mwaka 1973 - 1977

    Martti Ahtisaari Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari, ambaye alikuwa mpatanishi mashuhuri wa amani, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Martti ambaye pia alikuwa ni mshindi wa Tuzo ya Nobel mwaka 2008, alikuwa rais wa Finland kuanzia mwaka 1994 hadi 2000. Rais wa Finland, Sauli...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

    Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea. ======= Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year. Last year, the country exported...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania hatuendelei kwenye elimu?

    Ni matumaini yangu hamjambo ,mu wazima wa afya kabisa wakuu. Poleni na majukumu ila Mimi Kuna kitu kinazidi kunimaliza siku Baada ya siku na hicho kitu siendi mbali ila nipo kwenye suala.la mfumo wa elimu nchini. Mimi Tangu nimalize darasa la sana mwaka 2014 mpaka sasa sijaona mabadiliko...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  6. JamiiForums Tanzania Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Msada wa mwenye mawasiliano ya Kampuni ya Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) ya Nyengedi mkoani Lindi

    Kwema tafadhali mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi kiwandani hapo nahitaji mawasiliano yao kwenye site zao hayapo hewani naona kimya, hii kampuni ya Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) ipo Nyengedi mkoani Lindi. Natanguliza shukrani wakuu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

    Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli. Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
  9. JamiiForums Tanzania Ndege ya Kwanza kutengenezwa Tanzania yazinduliwa

    Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo. Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa ndani ya Nchi skyleader 600 imeoneshwa na kuzinduliwa rasmi kwenye maonesho ya wazalishajo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna safari ndefu na ngumu sana chini ya CCM

    Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi. Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Digital Rights Coalition: Official Statement Against Restriction of VPN Use In Tanzania

    The Tanzania Digital Rights Coalition, a united front of organizations committed to upholding and promoting digital rights, unequivocally condemns the recent statement issued on Friday, 13 October 2023 by the Tanzanian Communication Regulatory Authority (TCRA) restricting the use of Virtual...
  13. JamiiForums Tanzania Zuio la VPN: Kwanini Mamlaka zinaikimbia Teknolojia wakati dunia inaelekea huko?

    Wadau, bila shaka mmeliona tangazo la TCRA kuhusu onyo la matumizi ya Kipenya Mtando Binafsi (VPN), tangazo ambalo ni dhahiri linaonesha Mamlaka zinaogopa Teknolojia kuliko kuwekeza zaidi katika kutambua fursa zilizoko kwenye uwanda huo. Katika dunia ya sasa Mamlaka zinapaswa kuweka mazingira...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi ya Mungu na Kiimani Watanzania wana Baraka nyingi za Mungu na Anawalinda mno

    Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu ) Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14...
  15. JamiiForums Tanzania TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu. Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

    Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo. Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc. They mind their own business. They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani ..tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalam wa mfumo wa kuomba kibali cha mgeni kuishi nchini Tanzania (residential permit)

    Habari ya jioni wakuu. Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao. Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee. Kama unaweza kutukwamua...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina nchini Tanzania awashukuru wanaopaza sauti kulaani machafuko yanayoendelea

    BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…