tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 05 ya kujifunza maishani kutoka kwa mitume na manabii wa uongo nchini Tanzania

    1: Uwe msiri na usiwe unapatikana kirahisi wakati wote au kuwa adimu( do not be too available). Huwezi kumkuta nabii wa uongo anatembeatembea hovyo au anapatikana kirahisi. Watu wanatafuta kitu adimu sio kinachopatikana kila mahali. 2: Usijibujibu tuhuma. Usiongee au kujitetea unaposhambuliwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana jambo lisilo na Goli la Mkono kwa Tanzania (Watanzania) kuleta ushindi

    Ukifatilia katika mambo mengi hapa Tanzania iwe kwenye siasa, michezo, uchumi au hata mahakama au kesi, katika kila jambo ambalo Mtanzania yumo kama hilo jambo halitoi mwanya wa Rushwa, Upendeleo au kwa lugha ya Mh. Nape Goli la Mkono basi hilo jambo ni ngumu sana kufanikiwa. Nakumbuka enzi za...
  4. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola. Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

    Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine. Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

    Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017. Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Watumishi wa Move Tanzania Ltd. Mbaroni kwa kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. 563,351,698

    Shauri la Jinai namba 186/2023 - Jamhuri dhidi ya Ernest Odhul Omalla na Juma Salum Gululi ambao ni wamiliki wa Kampuni ya Move Tanzania Ltd, imefunguliwa leo Oktoba 18, 2023 mbele ya Mhe. Richard Kabate (PRM) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Washtakiwa wameshtakiwa kwa kosa la...
  8. JamiiForums Tanzania Zonal Manager (2 Posts) at Tanzania Investment Centre (TIC) October, 2023

    Position: Zonal Manager (2 Posts) Employer: Tanzania Investment Centre (TIC) Remuneration: TICS 11 Job Summary Identify, promote and facilitate investment opportunities in liaise with respective Regional Public and Private Sector Institutions through Regional Business Council (RBC) and...
  9. JamiiForums Tanzania Manager Of Legal Affairs at Tanzania Investment Centre (TIC) October, 2023

    Position: Manager Of Legal Affairs Employer: Tanzania Investment Centre (TIC) Remuneration: TICS 11 Duties and Responsibilities i. To receive, peruse and advise on submitted applications of strategic investment projects; ii. To provide advice to the applicants on proper submission of...
  10. JamiiForums Tanzania Manager Of Investment Promotion (Foreign) at Tanzania Investment Centre (TIC) October, 2023

    Position: Manager Of Investment Promotion (Foreign) Employer: Tanzania Investment Centre (TIC) Remuneration: TICS 11 Job Summary To promote investment opportunities with collaborations with diplomatic missions/ embassies and other stakeholders. Duties and Responsibilities i. To prepare...
  11. JamiiForums Tanzania Project Officer Intern at Tanzania Startup Association (TSA) October, 2023

    Position: Project Officer Intern Location: Dar es Salaam, Tanzania Duration: November 2023 to April 2024 Stipend: 500,000.00 TZS per month Reporting to: Senior Manager for Programs and Operations About the Organization: The Tanzania Startup Association (TSA) is a non-profit, membership-based...
  12. JamiiForums Tanzania Upinzania Tanzania ujitafakari

    Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:- 1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Unajua nini kuhusu "Psychological Manipulations",Jinsi ya kuziepuka Na sheria Ya Tanzania inasemaje kuzihusu?

    Habari Za Muda huu wanajamvi! Leo ni siku ambayo ningependa kushare kidogo kuhusu Aina ya mtu kuongozwa kiakili na kufikia kufanya maamuzi kinyume na matakwa yake (Psychological Manipulation). Kwa kwa kuanza Nini maana ya Psychological Manipulation? Psychological Manipulation ni aina ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania mwenyeji wa Kikao cha 77 cha Kawaida cha Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Arusha, Tanzania ITIFAKI YA UFUNGUZI YABADILISHWA DAKIKA ZA MWISHO Tanzania mwenyeji wa mkutano wa 77 wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu, waziri Dr. Pindi Chana ametangaza mabadiliko baada ya mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Samia Suluhu Hassan kutingwa na shughuli...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ina matumizi mabaya kwenye pesa za walipa kodi, utitiri wa mamlaka za udhibiti zisileta tija

    Lengo la sera ni kuondoa changamoto zinazoikabili jumua/jamii, mfano tunayo changamoto ya umeme katika taifa letu, bunge limekaa kikao cha kupitisha sheria/sera ya umeme kwa kumgaia udhibiti na mamlaka shirika la umeme kudistribute na allocate eletricity, halkadhalika EWURA, LATRA, CNA CAG vyote...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna namna naweza kuwashtaki Vodacom Tanzania kwa kuchelewesha muamala!?

    Wakuu, hivi kisheria hii imekaaje!? Kuna uwezekano wa kuwafungulia shauri mahakanani hawa watoa Huduma kama Vodacom Tanzania kwa tatizo la kuchelewesha muamala wangu wa MUHIMU!? Haya makampuni yamekuwa yakifanya kazi kwa mazoea sana... na kufanya wanachojisikia... Hivi hakuna sheria ya wajibu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tsunami kamwe haitokuja kutokea Tanzania kwa sababu zifuatazo (Jifunze usiogope)

    Habari Pasipo kupoteza muda, Hii elimu huwezi kuambiwa popote darasani, lakini kutokana na kazi zangu za kiufundi mimi Fundi SAMICO nimejifunza mambo mengi mno kuhusu hii dunia. Wakati dunia ikiumbwa kila kitu kilisetiwa mahala pake. Wakati mabara yakimeguka na kutengana yalimegwa kwa mpango...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna Tsunami Tanzania

    Hivi ndivyo Raia wa Tanzania wanavyogeuzwa kama chapati za Buza kwa Mama Kibonge .
  20. JamiiForums Tanzania Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…