tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Cape Town, Afrika Kusini ingekuwa Tanzania, yote ingekuwa ni Hifadhi

    Nimebahatika kutembelea miji mingi Duniani iliyoendelea nilichojifunza ni kwamba wazungu hawataki sisi tuendelee kwani wanachokifanya kwao kwetu wanakizuia, mifano mingi kuanzia kutenga maelfu ya square kilometers kwa ajili ya wanyama na “kutunza na kuhifadhi nature” mpaka uchafuzi wa mazingira...
  2. B

    JamiiForums Tanzania TANZANIA WON WORLD TRAVEL DESTINATION AWARD 2023

    15 December 2023 Dubai’s Burj Al Arab, Dubai UAE WORLD TRAVEL AWARDS GRAND FINAL GALA CEREMONY 2023 Tanzania won a World Travel Destination award for year 2023. https://m.youtube.com/watch?v=ERo7tdSy2iE Tanzania minister for livestock and fisheries Hon. Abdallah Ulega was very happy to receive...
  3. JamiiForums Tanzania Watu wote wenye furaha nchini Tanzania hawana akili

    Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania. Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu. Huu ni utafiti
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Inategemea Wahisani Kuendesha Bajeti ya Fedha

    Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 Katika fedha hizo Tsh trilioni 6.31 zitatumika kulipa deni la taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya maudhui ya vipindi vya redio nchini ni burudani na matangazo ya biashara

    Hi great Thinkers. Kwa utafiti wangu mdogo FM Radios za Tanzania zimejikita katika blabla kama ifuatavyo; 1. 40% ni matangazo ya biashara 2.30% ni habari za michezo 3. 20% ni Burudani. 4. 10% habari na elimu mbalimbali Ndiyo maana kuwa Radio presenter Tanzania ni kazi rahisi kuliko kazi zote...
  7. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania au ndiyo tabia za nchi za kiafrika kutopenda kutoa mrejesho wa matukio?

    katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya Benki ya Dunia yaonesha Tanzania inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa kulipa madeni

    Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imetoa taswira inayohusu nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zinazokabiliana na kuongezeka kwa mzigo wa kulipa madeni. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania na nchi zingine walitumia kiasi cha dola bilioni 443.5 kulipia deni la nje mwaka...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Waraka wa Kwanza wa Ukoo wa "WANYONGE" Walioko Tanzania

    1 kwanza kabisa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Wa Tanzania.Nipo na Christopher Kweka tunawasalimu. 2 Imekuwa ni siku Nyingi sana Tangu kuonana na nyinyi ukoo wangu nikaona si vyema kwakuwa kuna malalamiko nimesikia kati yenu mkizozana kuhusu elimu ya yule na kisomo cha Huyu,Mara...
  11. JamiiForums Tanzania Sakata la Ngorongoro ni kweli wazungu wana mapenzi ya dhati na Tanzania?

    Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro . Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa 1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ? Nchi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

    Maamuzi ya bunge la Ulaya kuhusu kuhamisha Wamasai Ngorongoro linakwenda kutaathiri kiuchumi. Tutaathirika kwa sababu tulitumia nguvu huku tukijua kabisa kwamba tunajipanga kuimarisha mahusiano na mataifa mengine. Bunge la Ulaya kwa zaidi ya asilimia 90 limesema maamuzi ya Tanzania siyo...
  13. JamiiForums Tanzania Finland nchi ya kwanza ya Nordic kujadiliana Kidiplomasia na Tanzania

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza imefanya majadiliano ya kidiplomasia na Serikali ya Finland kwa lengo la kuimarisha, kukuza na kudumisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kipaumbele kwa maslahi ya pande zote mbili. Pamoja na Tanzania kuwa na uhusiano mzuri na...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine? Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine?Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo lazima...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) na mipango ya kuinua uwekezaji hakika nimefarijika sana

    Leo nilikuwa nafuatilia mahojiano katika channel ya Zamaradi TV kati ya mtangazaji na Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania ndg Gilead Teri. Katika mahojiano hayo, Mkurugenzi alijikita zaidi katika kuangazia mageuzi makubwa yanayofanywa na kituo hicho na zaidi namna wanavyotembea kwenye...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Tanzania mwaka 2024 Kwa Kanisa

    Salaam, Shalom!! Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024. KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama kikundi Cha watu wakusanyikao kuliitia Jina la BWANA. UNABII KWA KANISA 2024, UTAGUSA YAFUATAYO. 1...
  19. JamiiForums Tanzania Senior Finance and Administration Officer at Savannas Forever Tanzania December, 2023

    Position: Senior Finance and Administration Officer Duties and Main Responsibilities The Finance & Administration Manager is expected to drive and manage best practices in finance, grant management, administration and human resources management to maximize efficiency and growth within...
  20. JamiiForums Tanzania Neema: Umasikini wa Tanzania wapungua kwa 19%

    Taarifa hii njema imetolewa na serikali ya Tanzania --- Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru amesema kuwa; "Uchumi wetu umekuwa ukikua kwa wastani wa asilimi 6% kwa miaka 20 iliyopita, hiki kiwango cha ukuaji ukikiangalia ni kiwango kikubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…