tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Match Day Leo Jumapili 21.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya pili katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya Zambia a.k.a Chipolopolo. Zambia hawakupata mwanzo mzuri katika Mashindano haya walipokubaliana na Congo DR kwa sare ya 1-1 Jumatano. King...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mvua za Tanzania zina maajabu kweli kweli!

    Mvua za Tanzania ni za maajabu kweli kweli! Zinanyesha Maji yake yanakwenda kujaa kwenye mashamba ya miwa na kusababisha uzalishaji wa sukari kushuka na hivyo bei ya sukari kupanda hadi kufikia Tshs.5,000/= kwa kilo 1. ( Rejea maelezo ya Waziri Bashe)! Wakati huo huo mvua zinazonyesha Maji...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda

    It is very funny! 1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa. 2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

    Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam.. Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa . Kweli game ngumu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuwatoa wajenzi Malawi kuwaleta Tanzania wanahitaji vibali gani?

    Habari zenu jukwaa. kuna kiwanja nilishawahi kukipata na kukipigia fensi, nataka niaze ujenzi mwezi wa sita. Dhumuni kuu la kuwaleta mafundi wamalawi ni ile sifa yao wanayojulikana kuwa nayo HONESTY / UAMINIFU japo soo wote, lakini pia huko Malawi gharama zao za ufundi zipo chini. vitu gani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania dhidi ya shillingi ya Kenya

    Hii ni habari njema sana. Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya Kitanzania. Leo hii shillingi moja ya Kenya inabadilishwa kwa shillingi 15.52 ya Kitanzania. Hii ni...
  7. JamiiForums Tanzania How the proposed amendment to the advocates act ,2023- of tanzania will impact private legal practise and undermine rule of law

    On 17th January 2021 the government submitted a proposed bill written Laws Miscellaneous Amendment No.2 of 2021 of which, among other things it propose to amend the Advocate Act Cap 341 R.E 2019. Keys areas that are proposed to be amended within the Advocate Act (a) Amendment of section 2 of...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
  9. JamiiForums Tanzania Express of Interest (EOI) for the Provision of Transport and Logistics Services for WFP Tanzania January, 2024

    Express of Interest (EOI) for the Provision of Transport and Logistics Services for WFP Tanzania (2024 – 2025). Express of Interest (EOI) for the Provision of Transport and Logistics Services for WFP Tanzania (2024 -2025). The United Nations World Food Programme (WFP) is a humanitarian...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania: The Personal Data Protection Commission's Board should be independent from any interference - Minister

    Hon. Nape Nnauye "The Minister of Information, Communication and Information Technology, Hon. Nape Nnauye, has officially launched the Board of the Personal Data Protection Commission, urging it to perform its duties in accordance with the law, regulations, and guidelines set, and not based on...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya tanzania

    Wanajukwaa habarini za wakati huu. Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya hapa kwetu Tanzania. Nataka niende ughaibuni (taifa X huko America kaskazini) nikajitafte kidogo na huko maana bongo land kwetu wanga wamekuwa wengi (natania 😅) Naamini...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM)

    Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134. Tanzania ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 mwenye taarifa za miradi ya maendeleo Tanzania tukutane hapa!

    Wakuu, happy new year 2024. Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane: 1. Uwanja wa ndege wa Msalato 2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar 3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama 4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
  14. JamiiForums Tanzania UNICEF yasema Tanzania na nchi nyingine zenye Kipindupindu zisipodhibiti Ugonjwa shule zitafungwa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa. Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

    Zambia: Kama kuna timu ambayo tunaenda kuokota points za bure ni ya Tanzania ila kwa Morocco tutajitahidi tupate angalau sare au suluhu kisha huko mbele tutajua nani ataenda. Congo DR: Morocco tukijitafuta tuna uwezo wa kuwafunga au basi tukiwashinda tutatafuta sare au suluhu ila kwa Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Nigeria ilianza kuchimba mafuta 1956, bado inauza mafuta ghafi nje na kununua yaliyosafishwa. Tanzania tutatoboa na gesi?

    Nigeria ni nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani nyuma ya Angola, ilianza rasmi uchimbaji mafuta na kuyauza nje kibiashara mwaka 1956, kufikia mwaka 2000 mapato ya mafuta ghafi yalikuwa 98% ya mapato yote Nigeria iliyopata kwa kuuza bidhaa na huduma nje ya nchi. Pamoja na mafuta ghafi kuwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China zapigana jeki katika kukuza na kutangaza sekta zao za utalii

    Utalii nchini Tanzania umekuwa ni moja ya sekta muhimu ambayo inaingiza mapato mengi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini. Ni jambo lisilopingika kwamba Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na vivutio vingi vya asili zikiwemo mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini Cha...
  19. JamiiForums Tanzania Sky Sports News Watupiga Spana Japo Wengi Wanaona ni sifa

    Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!. POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika. Soma mwenyewe hapo 👇🏾
  20. JamiiForums Tanzania Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…