tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mika Mwamba, Producer Mzungu aliyeibua vipaji vingi Tanzania

    MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda) Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya get down - Prezo ft Naziz (Kenya) Twenzetu - Chege Baby Gal + wange - Mad...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

    Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya Dodoma - Warangi Manyara - Wambulu (wairaqw) Singida - wanyaturu na wanyiramba
  3. JamiiForums Tanzania Rwanda kumleta Gen Patrick Nyamvumba kama balozi Tanzania

    Pamoja na kuwa Paul Kagame kutokuwa na rafiki wa kudumu muda wote lkn Nyamvumba anawekwa kundi moja na Kabarebe kama marafiki wa muda mrefu na Kagame. Nyamvumba anatajwa kama rafiki wa Kagame toka enzi za NRA Kampala. Former army chief and Minister of Internal Security Gen Patrick Nyamvumba...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Moyo wa kujitolea wa madaktari wa China wathaminiwa na wagonjwa waliotibiwa na kupona wa Tanzania

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania iliishukuru serikali ya China kwa kutuma timu za madaktari wa kwenda kusaidia kutoa huduma za afya kwa watu wa nchi hiyo. Imekuwa ni desturi ya serikali ya China kutuma timu za madaktari katika nchi za Afrika kila baada ya miaka miwili. Kupitia ushirikiano huu...
  5. JamiiForums Tanzania Expression Of Interest To Goods And Services Providers at 92U Tanzania Limited February, 2024

    Expression Of Interest To Goods And Services Providers 92U Tanzania Limited, a company incorporated in the United Republic of Tanzania with company number 153849897 (the Company), is seeking expressions of interest from reputable and qualified providers for drilling services relating to its...
  6. JamiiForums Tanzania Project officer at Tanzania Natural Resource Forum (TNRF) February, 2024

    Position: Project officer – Land use Planning Expert /GIS Expert Deadline for Application: 02 March, 2024 Expected Start Date: Immediately Duty Station: Dar es Salaam Reporting To: Technical Advisor (Forestry)/ TNRF Executive Director PURPOSE OF THE POSITION To provide technical oversight on...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi ukiwa Waziri Tanzania usipokuwa Bilionea umejitakia tu Mwenyewe kwa Ujinga wako

    Kuwa na kiasi cha Pesa cha Kuanzia Shilingi Bilioni Moja katika Akaunti zao ni jambo la kawaida mno kama ilivyo katika Kushindana Kwao kuitafuta Shilingi Trilioni ili wawe na uhakika wa Maisha yao ya Kiujumla na Fedha ya uhakika ya kuwarejesha tena Bungeni kwa Kushinda katika Majimbo yao kila...
  8. JamiiForums Tanzania Swali kwa serikali: Hawa Wachina walioweka madubwi kila kona Tanzania nao ni wawekezaji?

    Sijasomea uchumi ila kwa hesabu za haraka haraka tu mchina akizunguka mitaa 5 tu ya Dar es salaam anakusanya mpaka sh. Milioni 100 za Watanzania kupitia madubwi au mabonanza wengine huyaita. Mtaa mmoja una slots machines 20-50. Mchina anaweka sarafu za sh. 200, ambazo zinakuwa sarafu 300 sawa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Taifa langu Tukufu Tanzania

    Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania. Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo na akalia sana na kumbukizi zinatuambia akikaribia kuipumzisha roho yake akasema Anatuombe wa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana. Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
  13. JamiiForums Tanzania Njiti za kiberiti kutoka Tanzania, TBS wapo kweli?

    Hizi ni njiti za kiberiti Tanzania na TBS wapo! Hii ndio bidhaa ya Tanzania, sitotaja brand ila hizo ni njiti zinazozalishwa Tanzania. Hata kabla ya kuiwasha imeshajikunja, hata kwenye kuiwasha lazima ukaze mkono isijipinde na kuwaka ni kimbembe! Tanzania kushindana na mataifa mengine kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  15. JamiiForums Tanzania Matajiri wa Tanzania wakalia kuti kavu, badala ya kununua dola mil 1 kwa Tsh 2.3 bil sasa wananunua Tsh 2.9 bil

    Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo, kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka, na huenda wakafirisika baada...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  17. JamiiForums Tanzania Ukimzikiliza huu mama unaona uajabu wa wanasiasa wa Tanzania ambao wanadhani lazima washinde na wasiposhinda wanatukana

    https://twitter.com/MSNBC/status/1761567158432125272?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1761567158432125272%7Ctwgr%5E846d6e646e81a2ca35613cddb03e9e5a11890929%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fnews.yahoo.com%2Fmajority-south-carolina-republicans-oppose-220610110.html
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji CHADEMA ili iweze kujirejeshea heshima kama taifa huru na imara barani Afrika

    Tanzania kama taifa licha ya ukongwe wake toka tupate uhuru ni dhahiri kwamba mifumo ya utawala imekuwa ikibidi kuwa mibovu kila kukicha. Hii hali imekuwa ikichangiwa sana sana na uchu wa viongozi waliowahi kushika nyadhifa kubwa serikalini kutaka uzao wao urithi nafasi na kufuata nyayo zao...
  19. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania yaliasisiwa na waliopigania uhuru wa Tanganyika

    Salaam kwenu. Ni kweli lengo la kupigania Uhuru wa Tanganyika, lilikuwa kuwafanya wananchi ama raia kuwa huru kuchagua aina ya uongozi na viongozi wanaotaka, kujiamulia mambo yao ya Kiuchumi, Kisiasa na Kiutamaduni bila kuingiliwa na kikundi ama mataifa ya nje. Lakini tujiulize hapa, baada ya...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 waitaja NMB kama Benki bora zaidi Tanzania

    Benki ya NMB imeshinda tuzo tatu kutoka Taasisi ya Chartered Institute of Customer Management zikiitambua Benki kama kinara katika utoaji huduma bora na wezeshi nchini. NMB imepata heshima hiyo kupitia tuzo za ‘Mwaka za Umahiri wa Huduma kwa Wateja 2024 (Annual Tanzania Service Excellence...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…