tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Bondia Dula mbabe wa Tanzania ashushiwa kichapo kizito huko Uk

    Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  4. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika. Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa. Hivi wahusika mnajielewa...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Diaspora Tanzania Waonywa, Wasipojitambua Wataendelea kulaumu!

    Mjomba wangu Emma Maruma, mchagga. Baada ya kuishi Marekani kwa zaidi ya miaka 40,akiishi Houston Texas na kufanya kazi mbalimbali Serikali ya Marekani. Mjomba wangu Emma Maruma, akiwa na umri wa miaka 70, hatimaye alihamia Tanzania mwaka huu, akiishi katika nyumba yake kubwa ya vyumba vitano...
  6. Tman900

    JamiiForums Tanzania Ukabila, ukanda, udini, ubinafsi na siasa vitaigawa Tanzania siku za usoni, tuvikemee

    Ukitazama Muundo wa Kupata kazi sehemu Nyingi za Serikali, kumekua na Ukabila, Ukanda, Udini, Ubinafsi na siasa, hivi vimetawala Sana katika akili za watu wengi, ninachokiona kupitia hivyo, siku zijazo vitatumika kuligawa hili Taifa. Mfano wazanzibar walioko katika Vyombo vya usalama na sekta...
  7. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Zimwi la 'Udini' na utangamano wa Tanzania yetu

    Ni maoni yangu kwamba mazimwi matatu yanayouzinga utawala wa awamu ya sita ni (Ukabila) Uzanzibari na Utanganyika, Udini na Jinsia kuliko ilivyo maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kama ilivyo kwa "mazimwi" ni aghalabu kuzungumzwa kwa sababu ya hofu ya mazimwi yenyewe kujitokeza hadharani na...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nani kuivunja rekodi ya kiuchumi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli?

    Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wakileta siasa uwanjani, tutaombea timu za Tanzania zifungwe

    Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani. Ukiwa na kiherehere...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BASATA Watangaza kusitisha Shughuli za Sanaa na sherehe katika kumbi 504 Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA. Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani ya siku 14 kwa wadau wote ambao hawatatimiza vigezo vya kuhuisha vibali vya kufanya shughuli za...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
  13. Tanganyika1

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya Gesi ya kuendesha vyombo vya moto (CNG) inasuasua Tanzania?

    Nimejiuliza sana swali hili bila kupata majibu. Nini kinakwamisha maendeleo ya biashara ya gas ya KUENDESHA VYOMBO vya moto hata nchini? Baadhi ya maoni ya wadau ni kwamba Serikali haijatilia mkazo kwakuwa haipati Kodi kubwa kama kwenye mafuta. Wengine wanasema wafanyabiashara wakubwa wa...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Fainali ya Ligi kuu ya mbio za mabasi Tanzania (Sauli vs New Force/ Golden Deer) na lori la mafuta, serikali imejifunza nini?

    Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi Tanzania kati ya New Force/ Golden Deer vs Sauli. Maafa tumeanza kuyaona, leo mabasi yamegongana na Lori...
  15. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Top Ten viwanja vya ndege vinavyohudumia Abiria wengi Tanzania

    Passenger traffic 1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam 2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar 3 Kilimanjaro International Airport 4 Mwanza Airport 5 Arusha Airport 6 Songwe Airport Mbeya 7...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mamelod Sundowns have touched down safely in Tanzania

    Wametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu. Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  20. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Haki ya usawa nchini Tanzania

    Wadau leo wacha nianze na hii story fupi kisha nitaingia moja kwa moja katika kuconnect story hii na mada tajwa hapo juu . Ok let's start:), Ilikua ni jioni tulivu katika kijiji cha Mazingira Salama, mkutano wa jamii ulikuwa umepangwa kujadili haki za wananchi chini ya Katiba ya Tanzania. Mzee...
Back
Top Bottom