tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania haina tatizo la ajira, ina tatizo la vipaumbele vya tuliowapa dhamana ya uongozi

    Nimefanya utafiti binafsi nimegundua hakuna tatizo la ajira nchini Bali tatizo la kifikra na kimaslahi la viongozi tuliowapa dhamana. 1. SEKTA YA KILIMO MIFUGO Hii ndio UTI wa mgongo wa taifa letu, katika watu milioni 60 waliopo nchini karibu million 30 ni wakulima waliopo mijini na vijijini...
  2. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kanda ya Kaskazini ingelikuwaje endapo utawala wa kimajimbo /Kikanda ungeruhusiwa Tanzania?

    Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu. Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika. Ingawa yote hayo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

    Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo kutimia.Muda mfupi baadae nchi ikapata msiba mkubwa wa meli ya MV Bukoba kuzama.Vita ikashika kasi...
  4. JamiiForums Tanzania M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC. ===== Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Human Trafficking, Biashara ya Vigogo Tanzania?

    Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL. Siamin kama CCM imefikia hapa, nachoamin CCM imevamiwa na Majizi!!. Nimalizie kwakusema, Wakati wa JPM hayakuwepo...
  6. G

    JamiiForums Tanzania The biggest tragedy in Tanzania is that all our complaining toward bad governance add up to 0 without courage, i just see darkness each day going by

    There are numerous admirable traits that a good Tanzanian may possess – honesty, integrity, compassion, among others – but there is one trait that very few good Tanzanians have: courage. One of the great tragedies of Tanzania is that all the positive critiques toward bad governance amount to...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Anayejua sheria za ubebaji mimba (surrogacy contract/laws) Tanzania

    Teknologia imebadilika sana. Hivi karibuni. Kwa ukuaji wa teknologia siku hizi mwanamke anaweza kubebeshwa mimba kwa kuwekewa "embryos" yai la mwanamke mwingine na mwanaume ambalo lime stawishwa kwa kiswahili changu kibaya. Sasa Mbebeji wa mimba anakuwa hana DNA yeyote zaidi ya kwamba yeye ni...
  8. JamiiForums Tanzania TMA: Kupatwa kwa Jua hakutakuwa na athari zozote kwa Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema leo Aprili 8, 2024 dunia inatarajia kushuhudia tukio la Kupatwa kwa Jua Kikamilifu ambapo Mwezi utazuia kabisa Mwanga wa Jua, hata hivyo tukio hilo halitakuwa na athari zozote kwa upande wa Tanzania TMA imesema nchi zitakazoshuhudia zaidi tukio...
  9. JamiiForums Tanzania Internship Opportunities at ADC Tanzania Limited April, 2024

    Are you ready to dig deep into the world of agriculture and consulting? Join our internship program and cultivate your skills with us! We’re on the lookout for passionate recent agricultural graduates to join our dynamic team. Whom are we looking for: Bachelor’s degree in Rural Development...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

    Habari ndugu zangu wa JF, Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno. Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natamani Tanzania Bara tungekuwa na Mahakama iliyo huru na yenye maamuzi thabiti kama iliyopo Zanzibar

    Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania tuna cha kujifunza kwenye upigaji wa penati

    Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki, Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati. Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya penati tunahesabu kuwa tumeshatolewa tayari na mara nyingi tunashinda pale ambapo kipa atasave mikwaju...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  16. JamiiForums Tanzania Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT)-Kipo?

    Kuna nyuzi na mabandiko kadhaa ya masuala ya ufugaji hapa Jukwaani. Na kwa wingi wa maelezo ya wafugaji hapa jukwaani na kwenye mitandao mingine nauona umuhimu wa kuwa na Chama cha wafugaji nchini ili wasemewe mahitaji Yao na mapendekezo Yao hasa katika kuimarisha umoja na Amani baina Yao na...
  17. JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  18. JamiiForums Tanzania Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  19. JamiiForums Tanzania Smart TV yenye DVB T2/S2 Ina Faida gani Kwa Soko la Tanzania ikiwa Channels zimezuiliwa kuonekana kwa kutumia builtin Decorder? Wizara Husika?

    Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali. Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
  20. JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…