tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania, teknolojia ya habari, vijiji na miji kuimarika

    Tanzania tuitakayo. Miaka kadhaa sasa Tanzania inatakiwa kubadili mfumo mzima wa elimu kwa wanafunzi lakini pia kukabiliana na ubunifu wa watoto ili miaka ijayo tusiwakose wabunifu wetu wenyewe kutokana na kutowafanyia bidii mapema. Na hii ikikamilika Tanzania itakadiriwa kuwa na watu mahiri...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhakika na Usalama wa Chakula nchini Tanzania

    Utangulizi Nazi, Pilipili, Karafuu, Iliki, Uji Lishe, Maziwa, Kisamvu, Mihogo, Mahindi, Mchele, Samaki Wakubwa, Visamaki Vidogo (dagaa na uono), Asali, Sukari, Kuku wa Asili, Nyama ya Ng'ombe Mbuzi na Kondoo, Mayai, Matembele, Mchicha, Machungwa, Mananasi, Maboga, Mboga ya Maboga, Maembe...
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna siri ipi iliyojificha kuwa mgombea Urais kupitia vyama vya upinzani Tanzania?

    Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja. Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa wagombea wa Urais kupitia upinzani huku kwa hali halisi unaona wazi level zao ni kupambania ubunge...
  4. COARTEM

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maneno ya Hekima ya Maendeleo kutoka kwa Rais Museven wa Uganda yafaa kutekelezwa Tanzania

    Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
  5. NYANOHA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye mandhari nzuri, muonekano safi na utunzaji wa mazingira

    Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi hizo. Kwa ushirikiano wa serikali, wawekezaji na jamii nzima kupitia sera zenye maono na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Kesho itajengwa na betting?

    BETTING KUUA TAIFA LA KESHO Michezo ya kubahatisha maarufu kama 'kubet' ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ukiacha aina mbalimbali za michezo hiyo zilizokuwepo kwa miaka mingi na katika maeneo maalumu kama vile kasino, hivi karibuni imeibuka ile ya kutabiri michezo na mashine za kutumia sarafu...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshwaji wa maendeleo ya Tanzania miaka kumi ijayo

    Nchi yetu Tanzania ni moja ya nchi inayoendelea kwa sasa.ili kuhakikisha inafika katika hali ya juu zaidi kimaendeleo kuanzia mwaka 2024 mpka 2025 vitu vifuatavyo inabidi nifanyie Kuboresha viwanda na kilimo kwa jumla, hii itasaidia kuepukana na ukosekaji wa ajira kwa vijana na pia...
  9. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania siyo bure, CCM someni alama za Nyakati

    Watanzania wamesoma, miaka takribani 60 Sasa toka uhuru .sio wajinga kwakuwa ni wakimyaa wanaopenda kushughulikia na mambo yao yasiohusu siasa,japo maisha yenyewe ni siasa. Ni jambo la Hatari kufikiria mtu aliyekaa kimyaa kuwa ni Mjinga. Watu wanaonufaika pakubwa na chama na Serikali ni familia...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Night Clubs kufa sio kwa Tanzania tu, Dunia nzima night club culture inakufa kwa sababu kizazi Z hakipendi Clubs

    Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs. Sababu nyingine ni...
  11. Ketoka

    JamiiForums Tanzania Siku akitokea Mzanzibar mwenye hila mbaya akawa Rais wa Tanzania, nani atalinda maslahi ya Tanganyika?

    Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na...
  12. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo ni ile itakayojengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu

    Tanzania Tuitakayo ni ile ambayo inajengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu. Ni Tanzania ambapo vijana wanatumia elimu yao kama nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya, wakihoji na kushiriki kikamilifu katika siasa na maendeleo ya jamii. Tanzania yenye vijana waonajiamini na walio...
  13. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Nisaidie kutoa pesa kuleta kwenye account yangu tanzania

    Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to withdraw i have $70 i need it to pay some stuffs
  14. RASHID ELLY KENAN

    JamiiForums Tanzania SoC04 JamiiForums ijitanue katika utetezi wa watu wenye uhitaji maalum

    Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa. Jamii Forums miaka sita...
  15. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  16. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Maboresho makubwa yafanyike idara ya elimu kwani hii ndio idara mama

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo jema....lakini kumekua na changamoto nyingi kiasi cha kushindwa kufikia malengo kwani pamoja na kwamba kila mtu...
  17. Yuzzo01

    JamiiForums Tanzania SoC04 The Vision for Tanzania: Building a Sustainable Future

    Introduction: Tanzania stands at a pivotal moment in its history, poised to shape its future for generations to come. As we embark on this journey, it is imperative to envision a Tanzania that thrives in all aspects of life – education, health, technology, economy, environment, infrastructure...
  18. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufikia ndoto ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za kubuni mbinu mbadala za maendeleo

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii. Hata hivyo, ili kufikia ndoto yetu ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za kubuni mbinu mbadala za maendeleo. Hapa, ninapendekeza mawazo yenye ubunifu ambayo yanaweza kuleta...
  19. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Enhancing quality education in Tanzania coming 10 years

    Introduction: Education is fundamental for the growth and development of any nation. In Tanzania, despite significant progress in increasing access to education, challenges persist in ensuring quality education for all. This proposal aims to address key issues in the education sector and suggest...
  20. Mtambuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
Back
Top Bottom