tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

    Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga. Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoboa Tanzania hakikisha uchawi na ushirikina

    Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri. Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye mageuzi katika sekta hizi ili kujiimarisha

    Tanzania ni nchi iliyozaliwa miaka 60 iliyopita baada ya muungano wa Serikali mbili, serikali ya Tanganyika na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibari mwaka 1964. Tokea Muungano mpaka sasa nchi yetu imeongozwa na awamu sita za viongozi (maraisi 6) wakiwemo maraisi watano wakiume na mmoja mwanamke...
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya: Mambo ambayo tunapaswa kuyafanyia mageuzi

    ELIMU: Tunajua kuwa elimu ni kitendo kinachohusishaa masuala mazima ya mabadilishano au urithishwaji wa maarifa, mawazo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwinginee ay jamii moja kwenda kwenye jamii nyingine. Katika TANZANIA tuitakayo tunatakiwa kubadlishaa mfumo wa elimu kuwa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kenya inatumika sana kwa tanzania sema ujasusi umelala kwa ufupi

    Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa. kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko. Umoja wa afrika mashariki...
  6. JamiiForums Tanzania Aliyesema tanzania IQ yetu ni ndogo ni kweli

    Ni kweli kabisa na siwezi kumpinga ili kuhusu IQ yetu tulivyo watanzania.Watanzania kuna sehemu wakoloni wakati wanatugawa waliona akili zetu sio za kongo kuimba mziki wala kenya ubinafsi na kibaraka. Kiukweli ukiishi nje ya nchi ndio unaona kuwa IQ zetu bado zinatatizo mfano utendaji wetu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo utakaoboresha ukusanywaji wa kodi na nchini (Tanzania)

    Utangulizi Takwimu za mapato yakuswanyayo na shirika husika (TRA) katika maeneo/shughuli mbalimbali, zimeonekana kupaa juu siku hadi siku na hii imechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika kutoa elimu kwa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa/huduma mbalimbali,,,, Sambamba na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

    Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo. Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa. Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  11. JamiiForums Tanzania Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 THE TANZANIA WE WANT: Amina Success Story during Education Summit 2024

    “It was the morning” Once upon a time in the vibrant and diverse landscape of Tanzania, there existed a young woman named Amina. Amina hailed from Katunguru a remote village found in Kibondo District in Kigoma Region where educational opportunities were scarce, and dreams often succumbed to the...
  13. JamiiForums Tanzania Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

    uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana. kwamba, kama nchi tupo...
  14. JamiiForums Tanzania Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama Biashara 1. Dar es Salaam Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote. Kwenye Biashara ina points 9...
  15. JamiiForums Tanzania Wabongo wanapiga pesa YOUTUBE

    Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin ! Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

    Habari mwanajukwaa la michezo, Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana. Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kujenga Tanzania mpya ambayo sio ndoto za wanasiasa walio wengi

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Karibu kwa maada yangu. Awali ya yote, niwashukuru wote kwa kufika hapa leo. Acha nianze kwa kusema maneno machache kuhusu mustakabari wa ujenzi wa Taifa nikiangalia mitazamo ya vijana, wanasiasa na wananchi kwa jumla. 1. Elimu: Elimu ni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania itumie takwimu za mifugo kudhibiti mafuriko

    Nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania zimeingia kwenye historia ya kukumbana na athari mbaya za mafuriko ambazo hazijawahi kushuhudiwa kwa miongo mingi iliyopita. 2023 hadi 2024 baadhi za nchi za Afrika hususani kusini mwa jangwa la sahara zimepoteza mamia ya watu, makazi, mifugo na miundombinu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Bunge Mbadala kwa ukomavu wa kidemokrasia nchini

    Utangulizi Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi hizi zinafanana. Ni mfumo wa miaka mingi ambao chanzo chake ni tawala za kifalme za nchi ya...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15 na 25

    Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto nyingi za miundombinu, ikiwa ni pamoja na barabara mbovu, madaraja mabovu, na ukosefu wa usafiri wa kuaminika. Changamoto hizi zimekuwa zikichangia maafa na vifo, haswa wakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…