tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

    Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni. Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ndio uongo wa Kampuni ya tiGO Tanzania

    Hebu angalia Tangazo lao Halafu angalia walichokifanya nusu saa kabla ya muda Hii ni Aibu kwao na Mamlaka zinazowasimamia Nimeweka ushahidi huu ili kuondoa uongo uongo kwenye masuala ya msingi, hizi hela tunazoweka humu si zao ni zetu wajaribu kutuheshimu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree" Source: EATV CCM kuna Burudani sana 😂 ==== Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tunge-host Formula 1 kwa mara ya kwanza

    Tanzania bara na (au) visiwani tulikua katika moja ya nchi za Africa zilizopendekezwa au zilizofikiriwa kuhost Grand Prix. Ikumbukwe kwa Africa ni South Africa tu waliwahi host F1 GP, first time ilikua 1934 na last time ilikua 1993. Lewis Hamilton, amewahi sikika akisema ktk moja ya interview...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want: A Roadmap for Inclusive Growth in Tanzania

    Fellow Tanzanians, we stand at a pivotal moment. Our nation is brimming with potential, a land of fertile soil, vibrant people, and a youthful energy eager to build a better future. But to truly thrive, we need to bridge the gap between aspiration and reality. We must forge a path towards...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want: Embracing the Power of AI to NIDA Cards

    The National Identification Authority (NIDA) card is a cornerstone of Tanzania's identity management system. National identification allows people to confirm their identity, which is required for accessing social protection services including healthcare, education, and social welfare programs...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania We Want: A Free Hydrocephalus Nation (A Practical Approach)

    In 2016, Furaha gave birth to a daughter called Upendo. Instead of expressing delight, her husband, Mashaka reacted angrily, beating Furaha until he chased her out. This is because Upendo developed meningitis shortly after birth, resulting in Hydrocephalus, a disease in which fluid accumulates...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili

    Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili Utangulizi Afya ya akili ni sehemu muhimu ya afya na ustawi wa jumla. Hata hivyo, nchini Tanzania, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa au kudharauliwa. Hii imesababisha pengo kubwa la huduma, na kusababisha mateso yasiyo ya lazima...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Mfumo wa Haki Usio na Uonevu

    Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa katika mfumo wetu wa haki. Watu wasio na hatia mara nyingi hufungwa jela, wakati wahalifu wanakimbia...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want: Election of Public Servants from Citizens

    In Tanzania, the President appoints many public servants. This article argues that a shift towards an elected public service is necessary for robust democracy, increased accountability, and improved service delivery. While presidential appointments offer some advantages, the benefits of a...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya RCH 1 card, kuimarisha afya za watoto na kukomesha ongezeko la udumavu Tanzania

    Chanzo: Adequate spacing between births may reduce stunting in children, Study Utangulizi: Afya ya watoto ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, tatizo la watoto wafupi limekuwa changamoto kubwa nchini Tanzania. Watoto wafupi wanaweza kukumbwa na matatizo ya...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania we want: CSR for Sustainable Education

    Tanzania faces a significant challenge, as there is a substantial gap in educational access and quality as it has been seen since Independence. While the government strives to improve the educational system, there's a crucial role for businesses to play. Corporate Social Responsibility (CSR)...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya yenye mabadiliko ya maendeleo na kujali raia wake

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa amani katika nchi yetu ya TANZANIA pia nawashukuru JAMIIFORUMS kwa kuweza kuandaa hili shindano ambo litaleta mawazo ya kufikia kwenye TANZANIA TUITAKAYO miaka ya mbele. Pili katika kuzungumzia mjadala wa TANZANIA TUITAKAYO napenda...
  16. JamiiForums Tanzania Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania iamue kati ya kuwa maskini sasa na kuwa tajiri baadae au iwe tajiri sasa na kuwa maskini baadae

    Afrika na Tanzania imepokea maelekezo na misaada mingi sana kutoka nchi na mashirika kutoka nchi za Magharibu lakini umaskini bado umegandamana na ngozi zetu. Hii inaonyesha kuwa hii sio misaada ya kweli bali ni mitego/chambo tu katika kuporwa rasilimali zetu, sio misaada ya kutukwamua. Tuamue...
  18. JamiiForums Tanzania Unafahamu kwanini matajiri wa Tanzania wanaogopa kumiliki ndege binafsi

    Matajiri wetu TZ wanaangalia hasara kwanza itakayotokea, halafu ndege ina umri wa kutumika. Rick Ross ndege yake imezingua
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

    Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga. Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…