tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nchi ya tanzania kila kitu uzinduzi

    Baada ya uzinduzi wa kutakuwa na sheree ya mchana na usiku tutamuita msanii kuburudisha
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Muswada wa Marekani kuhusu Tanzania Wazi!

    Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist). Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho. Ukweli...
  3. JamiiForums Tanzania Ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?

    Wakuu Baada ya kuangalia perfomance ya The Mother na Malkia wa Majukwaa ya Kombe la Dunia 'Shakira', The African Giant 'Burna Boy', Tyla kwenye ufunguzi wa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, unadhani ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?
  4. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, Prince Charles (ambaye ni mfalme sasa) alikuja Tanzania 1970?

    Wakuu nimekutana na hii taarifa uhalisia ni upi? "Hii picha ni ya mwaka 1970 mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles ambae kwa sasa ndio Mfalme wa Uingereza aliposhuka uwanja wa ndege wa Njombe kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako kwenda Songea uliokuwa ukijengwa kipindi hicho kwa msaada wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania FY 2026/27 Budget Highlights: A Practical View of Growth, Infrastructure Expansion, and Economic Transition

    The FY 2026/27 budget is essentially Tanzania trying to push its economy into a more “production and infrastructure first” phase, rather than consumption and aid dependency. At the core, the government is working with a very large budget (around the 60+ trillion TZS range), and most of it is...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naona Ukakasi kusema Mahakama Tanzania, tuiite jina gani, maana hakuna Mahakama in the real sense of what a Mahakama should be!

    Naona kuna ukakasi kutumia neno ‘Mahakama ya Tanzania’—ni sahihi kuitaje vipi kwa mtindo rasmi wa kisheria?” MAHAKAMA ni moja kati ya KICHAKA cha Ma CCM kutekelza maovu yao yaani wanakitumia kama wanavyowatumia GREEN GURD na UVCCM ROSTAM alisema .. Huezi kua na CHOMBO kikubwa Ki KATIBA kama...
  7. K

    JamiiForums Tanzania "Soft Censorship" Inavyonyonga Uandishi Huru Tanzania: Pascal Mayalla Kama Mfano wa Kifani (Case Study) wa Udhibiti Mpya wa Kiutawala

    Mvutano wa kijenetiki kati ya uandishi wa habari huru na mamlaka za dola nchini Tanzania unaendelea kushika kasi mpya, ukionyesha mageuzi makubwa ya kimbinu. Uhusiano huu wenye migogoro sasa unajidhihirisha wazi kupitia hatua za hivi karibuni za kiutawala dhidi ya mwanahabari, mchambuzi mkongwe...
  8. JamiiForums Tanzania Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni yake

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema kampuni kubwa za kimataifa za Moody’s na Fitch Ratings zilifanya tathmini ya awamu ya kwanza ya uwezo wa nchi kukopa na kulipa madeni kwa mwaka 2026. Matokeo ya tathmini yalionesha kuwa Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Watanzania Masikini wamepungua kwa 25%

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha umaskini wa mahitaji ya msingi Nchini Tanzania Bara kimeendelea kupungua kwa miaka ya hivi karibuni kutoka asilimia 34.4 (mwaka 2007) hadi asilimia 25.1 (mwaka 2025). Akiwasilisha Bungeni taarifa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Air Tanzania (ATCL) wanaogopa kuliweka shirika lake kwenye Hisa DSE?

    Soko la hisa ni system inayowawezesha wadau wengine kumiliki kuwa na umiliki wa kampuni. Wakati shirika la Precious Air limeweka kampuni yake kwenye soko la hisa, shirika kongwe zaidi halionekani likisogea wala kuthubutu kufanya hivyo! Swali linabaki KWANINI? Ni linahofia nini? Linaogopa nn sasa?
  12. JamiiForums Tanzania Uchumi, Elimu, Nishati: Nguzo za Maendeleo Tanzania

    Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Can the Tanzania & Singapore Relationship Become a Strategic Gateway for Trade, Investment, and Economic Transformation?

    Relationship between Tanzania and Singapore has significant strategic potential, even though it is not yet as deep or visible as Tanzania's relationships with countries such as China, India, or United Arab Emirates. From an economic and development perspective, Singapore offers several lessons...
  14. JamiiForums Tanzania Revealed: Mbinu Mpya ya Kushinda Uchaguzi Tanzania.. Must read

    Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania.. Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕ KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA Hatua ya kwanza: Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi. Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
  15. JamiiForums Tanzania What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

    Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea. Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
  16. JamiiForums Tanzania FALSE President of Tanzania Samia suluhu arrested for crimes againsty humanity

    There has been recently post circulation on lines, especially Facebook articulating that the president of the United Republic of Tanzania has been arrested because of crimes against humanity The post further alledgy that This woman killed thousands of innocent Tanzanians during their elections...
  17. JamiiForums Tanzania Tender za Usafi, Maintenance na Fumigation Tanzania – Post Hapa Fursa Zote

    Karibuni wanajamii, Nimefungua thread hii kwa ajili ya kukusanya na kushirikishana taarifa za Tender, Zabuni, RFQ, RFP na fursa mbalimbali zinazohusiana na: • Usafi (Cleaning Services) • Maintenance za Majengo na Miundombinu • Fumigation & Pest Control Services Thread hii ni kwa ajili ya...
  18. JamiiForums Tanzania House for sale Kibada Kigamboni

    House for sale Kibada Kigamboni 8 rooms and only 2 rooms are self contained. Plot size Sqm 1460. Price is TSH 520m/- negotiable. Just 500 meters from the tarmac road. 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale..
  19. JamiiForums Tanzania Singapore na Dubai kilikuwa kichaka cha pirate wa Naijeria,urusi leo Tanzania msije shangaa pesa zote ziko huko

    Mengine ni magumu kusema .Maana mpaka kuna watu wametengenezewa studio na ofisi wanaweza kucomment mtandao wa meta au TCRA ukafungiwa au kupotezwa kwa ushenzi wa watawala hawa wizi nje nje kisha muwazomee wakiwa na polisi nyie na mawe. BBc ijataka kuweka wazi Urusi na miamala ya kupeleka...
  20. JamiiForums Tanzania Dk Godwin Mollel: Miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja kwa Tanzania

    Nimesikiliza hili kauli hadi nikatokwa na machozi, i can't imagine kwamba hawa ndo watengeneza dira ya 2050? Kwamba we are too slow in such way miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja? kwani huyu watoto wake wanasoma wapi? Kuwa na wabunge kama hawa ni hasara kubwa sana kwa taifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…