tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa mawili wanasoka tumeyashuhudia Tanzania msimu

    Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka Kila mtu mtu ukimuuliza atakwambia nimeiona mtibwa sugar ikishuka daraja na Simba ikishika nafasi ya 3 Haya ni matukio makubwa...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ni muda wa Tanzania kupitisha sheria kuwa uzalendo liwe somo rasmi

    Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda, kuithamini na kupambania nchi yake.natamani miaka mitano na kuendelea tuzalishe jamii ya uzalendo wa kweli na kuithamini nchi yetu. Mapendezekezo yangu bunge litunge sheria kwa kila mgombea awe anaenda kula kiapo jimbo kwake mbele ya wananchi kwa mkataba wa...
  3. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  4. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ndani ya miaka 25

    ### Tanzania Tuitakayo Ndani ya Miaka 25 #### Utangulizi Tanzania ni nchi yenye maliasili nyingi, rasilimali watu yenye bidii, na utajiri wa utamaduni. Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, tunakusudia kujenga taifa lenye maendeleo endelevu, uchumi imara, huduma bora za kijamii, na mazingira...
  5. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo miaka mitano hadi ishirini na tano ijayo

    Sera ya elimu itaje na kusimamia ujuzi wa watoto kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu. Elimu ilenge kutoa wataalamu na wajuzi, watoto watambuliwe uwezo mapema katika ngazi za awali kielimu ili waanze kupewa mafunzo kulingana na sekta elekezi. Mfano, mwenye kipaji cha mpira apewe elimu ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya ndoto yangu niitakayo

    Tanzania niitakayo ambayo itatengenezwa na watanzania wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani wenye masharti na vigezo visivyo na ladha ya kitanzania. 1. Tanzania ya wakulima ambao wanalima kwa tija, wakulima ambao watapewa pembejeo za kilimo (mbolea, mbegu bora, mashine za kulimia na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya ujuzi wa kidijitali katika kuziba pengo la ajira nchini Tanzania

    Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii dawa ya kupunguza uzito inapatikana Tanzania?

    Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito. Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?

    Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za mchezo huo. Kwa kushindwa kuwepo kwa mkanda uliokuwa unashindaniwa pambano limeshindwa kuchezwa. Fedha...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Makala juu ya namna Tanzania inavyoweza kutatua changamoto mama katika sekta ya uvuvi nchini

    Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
  11. Pule

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuondoa umasikini kwa Watanzania wengi

    Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au kuondoa umasikini kabisa ni lazima serikali kupanga na kuweka mikakati iliyothabiti ilikuweza...
  12. MURUSI

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania

    Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania Mobhare Matinyi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. 🗓️ 31 Mei, 2024. 📍 Dar es Salaam.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

    Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania. ==== The concession agreement for 30 years has been signed...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo vyombo vya habari viache kuajiri watu wasio kuwa na ujuzi wa habari& utangazaji na uandishi

    Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatuwezi kuboresha Elimu ya Tanzania kama tutapuuzia mambo haya

    Serikali Na wadau wa elim wanajitahidi katika kuweka miundombinu wezeshi ili kuiboresha elim ya Tanzania kuweza kuendana Na Soko la Ajira Ambalo Kwa Kiasi Kikubwa bado Tanzania ipo Nyuma Ukilinganisha Na Nchi nyengine za Afrika. Pamoja na Jitihada hizi Haya Ndio mambo Ambayo Yataendelea...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  18. Juma jaibu kuhanga

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tindikali ya rushwa Tanzania

    Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo ambacho kinakawamisha maendeleo katika jamii yeyote hile kwani inazuia haki ya watu wengine. kuna mambo...
  19. w0rM

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni muda sasa Serikali kuweka mpango mkakati wa kupendezesha Miji kwa majengo yenye rangi na mazingira yanayofanana

    Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10) ifikapo mwaka 2030, nadhani kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia kwa ajili ya maendeleo ya Dar es...
  20. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo baada ya miaka sita kufikia 2030 ni kufuta mimba za utotoni na ndoa za utotoni

    TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
Back
Top Bottom