tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ukiachana na kuwa Mwafrika, kitu gani kingine unakichukia?

    Habari za humu wana JF, Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi imelaaniwa. Binafsi nakubaliana nao Kwa uafrika nina uchukia ila sio ngozi yeyote nyeusi imelaaniwa...
  2. TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

    Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
  3. January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  4. TAKWIMU ZA KAYA ZENYE VYOO NCHINI

    Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022.
  5. AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  6. Mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Simba SC yakaribia kumaliza kusuka upya kikosi chake

    Huu ususi mpya uliofanywa na Simba sijui tuuitaje, wasusi kina Kalpana na maras tulionao humu watatusaidia ila ni wazi hii ni Simba brand new tunaenda kuiona. Misimu miwili iliyopita niliwahusia viongozi wa Simba waanze mchakato wa kuisuka upya kikosi cha Simba ili baada ya misimu mitatu, tuwe...
  7. Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  8. Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

    Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine. Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2...
  9. Tanzania lacks organized and vibrant opposition

    that has completely no capability to check, advice and criticize the sitting government with alternative strategies and plans.. what can be done so that able, visionary and meaningful opposition in Tanzania be born?
  10. Tanzania Railway Cooperation (TRC) wanahitaji Electrical Tech II na Mechanical Tech II.

    Wakuu. Jana Tar 05 July wametangaza hizo nafasi. Waliosoma Diploma ya izo kozi mapambano yaendelee.
  11. Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  12. Wakati Tanzania watawala wanatishia kufungia X, Ruto asema ataendelea kuingia space X, ndio safari imeanza

    Ruto pamoja na jana kupewa makavu kule Space ila amesema ataendelea kuwepo Space ili kusikiliza raia zaidi. Kule watu wamemchana live kiasi kwamba ingekuwa ni kiongozi hata Mkuu wa wilaya Tanzania kachanwa vile, leo kungekuwa na jamm ya matamko na press conference zisizo kuwa na idadi...
  13. Router za 4G au 5G kutoka Tigo Tanzania, ni buure router

    Wakuu 1. Router ni bure 2. Router ni ya 5G 3. Tunakuletea popote 4. Vifurushi ni unlimited 5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100 Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo Kama ni mtu binafsi 1. Tin certificate 2. Nida ID 3. Pesa ya kifurushi Kama ni taasisi au kampuni uwe na 1. Nida...
  14. Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  15. Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  16. Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

    Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia. Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali. Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
  17. Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  18. Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

    Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali. ====== Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
  19. Research on the Legal Protection of Traditional Knowledge in Mainland Tanzania

    Hello everyone, I am currently doing a research on the Legal Challenges of the Protection of Traditional knowledge in Tanzania Mainland. In order to get valuable research findings I am asking for your help to take 5 minutes of time and fill out my online questionnaire: Legal protection of...
  20. Tanzania Tuitakayo: Mazingira bora na endelevu, na wito wa kila Mtanzania kushiriki katika safari ya kubadilisha nchi

    TANZANIA TUITAKAYO Katika ardhi ya Tanzania, kulikuwa na kikundi cha vijana wenye moyo wa kipekee na maono makubwa. Walikusanyika pamoja kwa lengo moja: kubadilisha mazingira na kuleta maendeleo ya kudumu kwa kutumia ubunifu wao, Greenfuse Charcoal. Baltazary, Gabriel, Veronica, Dorah, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…