tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kufungia Twitter (X) Tanzania: Je, Ni Suluhisho Sahihi kwa Changamoto za Kimaadili?

    Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM). Ninaamini kufungia mtandao huu sio suluhisho bora kwa changamoto za maadili tunazokabiliana nazo kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Mustakabali wa Tanzania Kielimu: "Tanzania Tuitakayo"

    Tanzania, taifa lililojaliwa kuwa na maliasili nyingi, utajiri wa kitamaduni, na uwezo mkubwa sana, linajikuta katika wakati muhimu katika safari yake ya kuelekea maendeleo na ustawi. Dunia inapoendelea kukua kwa kasi, ikisukumwa na kasi isiyo na kikomo ya maendeleo ya sayansi na teknolojia, ni...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa matumizi ya kompyuta na fani zake katika kujenga uchumi bora wa nchi ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10

    Utangulizi Katika dunia ya leo, maendeleo ya teknolojia yamekuwa msingi mkuu wa ukuaji wa uchumi wa mataifa mbalimbali. Tanzania, ikiwa ni moja ya nchi zinazoendelea, ina nafasi kubwa ya kuimarisha uchumi wake kupitia matumizi ya kompyuta na teknolojia za kidijitali. Katika kipindi cha miaka 5...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliyo bora: Tunahitaji sheria bora, inayosimamia na kuwajibisha

    Ili kujenga taifa tulitakalo na kufikia ndoto za wengi, ni lazima tukabiliane na matatizo yaliyomo ndani ya nchi yetu kwa kuboresha na kusimamia sheria. 1. Uwajibikaji wa viongozi katika kusimamia rasilimali za umma pamoja na uongozi. 2. Kuundwe sheria, au kuwe na utekelezaji wa sheria...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Ukombozi wa kiuchumi wa Tanzania upo mikononi mwetu

    Zaidi ya miaka sitini pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanyika bado uchumi wetu niwakujikongoja huku bado tukipambana na maadui wale wale aliowataja mwalimu Nyerere, Umaskini, ujinga na maradhi. Bado kungali na wimbi la umaskini miongoni mwa watanzania huku tukiachwa nyuma kimaendeleo na...
  6. JamiiForums Tanzania Studies zinaonesha Tanzania Tuna jamii ya mbilikimo/ Pygmies! sasa najiuliza ni kabila gan hilo?

    Wakuu mi huwa napenda kufatilia mambo ambayo hayafuatiliwi na watu wengine. Hii jamii ya pygymies inayopatikana tanzania ni ipi? Ndugu zangu waha mnisamehe nauliza tu maana waha wengi ni wafupi sana. Ni kwa ajili ya kujifunza Mfano jamii za pygmies kwene nchi mbalimbali Rwanda na Burundu...
  7. JamiiForums Tanzania Elon Musk ana gundu gani na Tanzania?

    Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 The future of goats and sheep in Tanzania

    According to the current trends in the market of sheep and goat sector, it shows that this business is at a critical stage in its development, and it is of utmost urgency to halt its decline, even if this means that some forms of support have to be re-evaluated. If no action is taken, the...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

    Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00: Mchezo umeanza 06: Tanzania 1-0 Zambia 10: Zambia 0-1 Tanzania 20: Zambia 0-1 Tanzania 30: Zambia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo

    Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nafasi kubwa ya maendeleo. Ili kufikia maendeleo endelevu na kujenga jamii yenye ustawi, ni muhimu kuanzisha miradi bunifu itakayowezesha...
  11. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ijumuishe mambo haya

    1. Kuwekeza katika elimu na mafunzo ya ufundi ili kuongeza ujuzi wa nguvu kazi. 2. Kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuboresha mazingira ya biashara. 3. Kuimarisha miundombinu ya usafirishaji na nishati ili kurahisisha biashara na maisha ya wananchi. 4. Kupambana na rushwa na kuhakikisha...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Punguzo la tozo namba za usajili maalum za magari katika kuongeza pato la Serikali Tanzania

    Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba] Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo vya miguu miwili au mitatu ] MC ambayo zina gharama za kawaida Ila serikaĺi imeweka utaratibu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Yenye Wananchi Walio Huru Kiuchumi

    JIWEKEE AKIBA UWE HURU KIUCHUMI Katika hali ya kawaida watanzania wengi hatuna tabia ya kuweka akiba. Hii imetokana na mazoea ya kawaida ya kuishi kutokana na kipato tunachopata. Tabia hii imejengeka kwa watu wa kipato cha chini hadi wale wenye kipato kikubwa, watu wasio na kipato rasmi hadi...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo, bila kilio cha ufaulu hafifu wa somo la hisabati kidato cha 4

    Utangulizi Somo la hisabati (mathematics) ni moja kati ya masomo yaliyoko kwenye mtaala wa masomo Tanzania kwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Kutokana na umhimu wake kwa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla, somo hili ni msingi kwa kila mwanafunzi katika ngazi hiyo kulisoma na kufanyiwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tunayoitaka ni ile yenye macho ya kuona kizazi cha tatu na cha nne kutoka hivi sasa

    Ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia pamoja na kiutamduni hatuna budi kuhakikisha baadhi ya mabadiliko katika mfumo mzima wa ajira kuanzia ngazi ya chini, mpaka ngazi juu yanafanyika, ili kufanya malengo ya taifa ya maendeleo ya muda mfupi, kati na muda...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want: Education especially Technical Education and Skills Development

    Education especially Technical Education and Skills Development Introduction Technical education and skills development are crucial for fostering economic development and reducing unemployment. For Tanzania to achieve sustainable economic growth and improve the quality of life for its citizens...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa liboreshe haya kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ilipata uhuru wake Tar 9 Desemba 1961, wakati huo ikijulikana kama Tanganyika. Zanzibar ikapta uhuru tar 9 Desemba 1963, na nchi hizi zikungana tar 26 Aprili 1964 kutengeneza nchi iitwayo Tanzania. Pamoja na kupata uhuru mapema lakini bado nchi haijaendelea vya kutosha, zipo sababu...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo:Maono ya kibunifu kwa uchumi endelevu wa tanzania na fursa kwa vijana

    Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania We Want: An Innovative Vision for Infrastructure

    The Tanzania We Want: An Innovative Vision for Infrastructure. Introduction The vision for Tanzania over the next 25 years is to develop world-class infrastructure that supports sustainable economic growth, enhances quality of life, and positions the country as a regional hub. This vision...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania We Want. An Innovative Vision for the Economy

    The Tanzania We Want: An Innovative Vision for the Economy Introduction The vision for Tanzania over the next 25 years is one of sustainable economic growth, innovation, and inclusive development. By harnessing technology, fostering entrepreneurship, and investing in key sectors...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…