tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kassim Majaliwa: Tanzania inajiandaa kurusha Setelaiti

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza wa Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga za juu utakaoiwezesha Tanzania kurusha satelaiti. Amesema kuwa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam imepata mradi wa Utafiti wa kuwezesha urushaji wa satelaiti...
  2. Mini Research Report: Distribution of Registered Medicines Manufactured in Tanzania Homeland, SANITIZERS takes the lead!

    These results reflects the way things are as of today October 17, 2024. This report provides a breakdown of medicinal products registered in Tanzania, focusing on the product categories and performance of key manufacturers. The data highlights significant trends in the production of...
  3. Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

    Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
  4. Hapa! Nimemkubali Tulia Akson! Mkuu wa mabunge yote duniani kutoka Tanzania

  5. Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  6. PreGE2025 Human Rights Watch: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Taarifa iliyotolewa Jumatano na shirika hilo, imeeleza kuwa tangu mwezi...
  7. Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa Afrika Wafanyika Tanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia ilivyokuwa na mahusiano mazuri ambayo yamefungua milango...
  8. Yericko Nyerere anadhani Israel ni Tanzania

    Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza. Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu. Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni...
  9. M

    Dr Tulia akumbana na maswala mazito bunge la kimataifa tofauti na bunge la Tanzania

    Msikilize Na bunge letu lingalikuwa kama hili tungalikuwa tupo mbali sana kimaendeleo Cc Peter Msigwa Lucas
  10. R

    Mjadala wa Diaspora Tanzania umefia wapi? Tunao kweli wanadiaspora Duniani au ukanjanja mwingi?

    Nawatafuta wanadiaspora watueleze kwanini hawana mchango chanya kwa nchi yao. Kwanini hawana vitu vyakuonekana vinavyoweza kusaidia kusukuma Agenda yao mbele ya wanasiasa na watoa maamuzi nchini? Mhe. Rais ameonyesha nia njema yakusupport Movement zao lakini wao huko Duniani wamegawanyika kila...
  11. Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama...
  12. Tanzania ni nchi 2 zinazoshindwa kutoa wachezaji 11 bora AFCON

    Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi? tumerogwa?
  13. Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

    Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi. Dakika, 2 Stars...
  14. Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  15. 4Rs za Serikali ya Rais Hassan wa Tanzania ni nini na kwa ajili ya nini na ili iweje kutokana na nini? Lipi anaweza kujivunia hadi sasa?

    Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho. Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi? Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake...
  16. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  17. Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

    Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao. Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
  18. S

    Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

    Ona pia Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara? Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
  19. PreGE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…