tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: RwandaAir, Air Tanzania & Uganda Airlines Kuungana

    1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian). 2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali itumie Teknolojia mpya zinazoweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani nchi Tanzania,kuepuka matrafiki

    Serikali itumie teknolojia mpya ambazo zinaweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani: 1. Kamera za Ufuatiliaji: Kamera za kisasa zinaweza kuwekwa kwenye barabara na magari ili kurekodi matukio na kusaidia katika kutambua wahusika wa ajali. 2. Sistimu za Kusaidia Kuendesha (ADAS): Teknolojia...
  3. JamiiForums Tanzania Wazo: Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Tanzania kusini, Tanzania Kaskazini, Tanzania Magharibi na Tanzania Mashariki

    Wazo liko hivi; Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake. Tanzania kama shirikisho itakuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Kila la Heri Taifa Stars. WAPAPAMBANAJI WETU WA LEO.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Ubelgiji zakubaliana maendeleo sekta ya nishati

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko na Waziri wa Nishati wa Ubelgiji, Tinne Van Straeten wamekubaliana kishirikiana katika sekta hiyo hususani matumizi ya nishati safi ya kupikia. Katika kikao cha viongozi hao kilichofanyika Windhoek, Namibia, viongozi hao walikubaliana...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hili la kuweka vibao viwili Kwa Nchi Moja Tanzania na Zanzibar limekaaje?

    Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

    The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy. Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

    Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani. Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania One stop business center ya Ubungo ikijengwa itaua Kariakoo na kubadilisha mfumo mzima wa biashara Kwa Tanzania na nchi jirani

    Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tanzania kupitisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa watuhumiwa wa vitendo vya kikatili

    Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya binadamu(Mganga aliyepatikana na miili ya watu aliowazika hai), watu kupotea katika mazingira tatanishi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa vipengele vya tuzo za Tanzania music awards (TMZ)

    Hivi ndo vipengele vya Tanzania music awards 2024 (TMZ) 1, wimbo bora wa taarab wa mwaka . Malkia Leyla Rashid(watu na viatu), Mwasiti Mbwana(sina wema), Salha (dsm sweetheart), Mwinyimkuu(bila yeye sijiwezi), Amina kidevu(hatuachani) 2,Best male artist of the year. Marioo (shisha), Diamond...
  12. R

    JamiiForums Tanzania A Wake-Up Call for Public-Private Partnerships in Tanzania

    Introduction Almost a decade ago, Tanzania embraced the Public-Private Partnership (PPP) model, heralding it as a transformative approach to boost infrastructure development, spur economic growth, and improve public services. The PPP framework was codified into law, supported by a dedicated...
  13. JamiiForums Tanzania Utii wa sheria bila shuruti UMENAJISIWA na Polisi Tanzania? Wananchi tushtuke sasa kwani hatupo salama

    Nisiwachoshe sana. Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi. Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi Matukio ya watu kutekwa na vyombo vya dola kisha kutoweka ni mengi Matukio ya kutishia wakosoaji na kuwabambika...
  14. JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na kuhisi ninahujumiwa na hawa watoa huduma za ku "host" wavuti (website) wa hapa Tanzania

    Sina uhakika kama haya mambo wanafanya wakiwa wanajua uzito wa madhara wanayoweza au wamekua wakusababisha kwetu sisi wateja wao. Kwakweli leo hii nimehisi kukosa kabisa uvumilivu. Sijui hata niandike nini, niache nini lakini ninyi wajasiriamali wazalendo ambao kwa nia njema kabisa tunaamua...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wanahitaji hamasa kubwa katika kujituma kutafuta hela halali na kuacha uvivu

    Nimekutana na watu wazima kadhaa wenye ujuzi katika eneo fulani, tatizo kubwa ni kwamba watu hao ni wavivu na tegemezi. Fikiria unamuita mtu ili akufanyie kazi fulani ambayo utamlipa, halafu mtu huyo anakuomba umlipie nauli ya kuja eneo kazi ilipo. Hii ni halali kweli? Au ni utegemezi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya Madini ndani ya Nchi

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania. Mavunde ameyasema hayo leo Bali, Indonesia wakati wa majadiliano juu ya manufaa ya Madini Mkakati katika...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania needs to adhere to its NAM policy

    Tanzania needs to adhere to its non-alignment principles to maintain its sovereignty, integrity Delivering his speech at the inauguration of the Non-Aligned Inter-Regional Programme of Cooperation in respect of trade, industry and transport in Georgetown, Guyana:13thSeptember 1974, Tanzania’s...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa: 1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya jeshi la wananchi la Tanzania

    Historia ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi tarehe 1 Septemba 1964, baada ya kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika Rifles (TR) na vikosi vingine vya kijeshi. Hii ilifuatia uhuru wa Tanganyika kutoka kwa utawala wa Uingereza mnamo 1961...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Umri unaofaa kwa Rais wa Tanzania 2025 ni upi kati ya yafuatayo?

    Rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 ili awe na ufanisi zaidi awe na umri upi kati ya: 1. 18 hadi 25 2. 26 hadi 35 3. 36 hadi 55 au 4. 56 hadi 75? Umri wa Kiongozi yeyote ni muhimu sana katika ufanisi kwa kuwa na nguvu ya kutosha, kumbukumbu na fikra mpya katika ujenzi wa Nchi. Tujibu bila ushabiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…