tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wa kike wengi wa Tanzania kuongelea mapenzi, mahusiano na ngono zaidi inaashiria nini?

    Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono. Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa...
  3. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Siku ya jana Rais Samia wakati anahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi alitoa hotuba...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ni ajira gani ambazo wanaume wanalipwa zaidi ya wanawake?

    Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake. Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
  5. JamiiForums Tanzania Sio Tanzania tu, hakuna nchi yoyote Afrika yenye uwezo wa kupambana na Magharibi

    Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi. Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi. Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa ni dude kubwa linaloisumbua Tanzania, Afrika kwa ujumla.

    Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika zimelazimishwa kuzitumia katika kujitawala. Utamaduni huu umekuwa kaa la moto kwa viongozi wa kiserikali kwani...
  7. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha nyumba nyingi zinazojengewa Tanzania kubaki mapagala yaliyogeuka magofu?

    Katika mambo huwa yananishangaza na kunifikirisha sehemu mbalimbali za nchi hii ni uwepo wa majengo mengi ya nyumba za watu walionza kujenga kubaki bila kumaliziwa(mapagala) kwa muda mrefu sana na hatimaye kugeuka magofu. Tatizo huwa ni nini? Ni ujenzi wa kukurupuka? Ujenzi bila kuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Mahakama Maalum ya Katiba haijawahi kufanya kazi Tanzania?

    Nina swali kwa wadau wa JF. Ukisoma Ibara ya 125 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna mahakama Maalum ya Kikatiba ilianzishwa, ila mahakama hiyo haijawahi kufanya kazi au kusikiliza shauri lolote. Je, ni sababu gani inazuia mahakama hiyo Maalum ya Katiba kutowahi kusikiliza...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, Rais Samia na Tanzania

    Habari za jioni, nimekaa nimewaza lakini naona Samia utawala wake wote will always be compared na wa Magufuli, Ila sababu yeye bado yupo madarakani ana uwezo wakufanya makubwa sana kama akiwa na nia na uwezo wa kusimama imara maana vikwazo ni vingi sana na wengi hawataki kuona Tanzania imefika...
  10. JamiiForums Tanzania Ombi la kuimarisha usalama na kulinda amani ya wananchi dhidi ya vitendo vya utekaji Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. SAMIA SULUHU HASSAN, Kwa heshima na taadhima, napenda kukuandikia ujumbe huu nikiwa na imani na uongozi wako thabiti unaoongoza taifa letu la Tanzania. Tumekuwa tukisikia kwa muda sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Haya sasa Wakulima wa Mchele Tanzania Kazi Kwenu kwani Wanyarwanda wanavutiwa na Mchele wenu kuliko wa Kwao kutoka Bugarama

    Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno. Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu. Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
  12. JamiiForums Tanzania BAKWATA yataka uchunguzi huru mauaji, utekaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia. Kauli ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna data recovery centre?

    Nimekuja kuuliza tena hii ishu. Kuna data za muhimu sana zimekufa na hard drive. Je kuna hapa tuna data recovery centre? Centre ya wale wataalamu wenye maabara kabisa. Kama hawa jamaa. https://youtu.be/eyr14_B230o?si=snGt5qwNJNgUkj9q
  14. JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

    Mwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania? Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali, Utalii, Uchumi, Miundombinu bora
  16. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  17. JamiiForums Tanzania Mobile Apps (iOS & Android) and Website Designers in Tanzania

    In today’s fast-paced digital landscape, businesses need to establish a strong online presence to remain competitive. Whether it’s a dynamic mobile app or a visually appealing website, the digital face of a company significantly impacts customer engagement and brand reputation. Mobile apps and...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ichukue maamuzi magumu ijenge kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe

    Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa. Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua. Tanzania inaweza kuzalisha umeme...
  19. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…