tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  2. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya kitoto toto! Hatuku makini kama zamani

    Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
  4. JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana. Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake. Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah...
  5. JamiiForums Tanzania Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Women's Bank iliishiaga wapi?

    Benki pendwa hii iliishiaga wapi? Bongo ukifa maskini umetaka mwenyewe.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Muslim & Youth Association (TAMSYA) toeni tamko yanayoendelea Lebanon

    Watukufu Viongozi wa TAMSYA, Assalam Aleikum. 1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote? 2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini? 3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
  8. JamiiForums Tanzania Kuna anayefahamu kanisa la Shincheonji hapa Tanzania?

    Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania. Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma kwenye center yao. Suala ni kwamba naona ni kama sielezwi kwa uwazi baadhi ya mambo. Kiukweli nina...
  9. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT), leo September 28, 2024

    https://www.youtube.com/live/xHd53cbsmoA?si=Rm1YGprC9EkHdvry Zoezi la Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) linaendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ndiye Mgeni Rasmi akimuwakilisha Spika Tulia Ackson...
  10. JamiiForums Tanzania Sales and Marketing Officer at infinity brands Tanzania Limited

    Job Overview SALES AND MARKETING OFFICER– INFINITY BRANDS TANZANIA LIMITED Infinity Brands Tanzania Limited- is a Company offers online business growth training,capital sources and development for Employed,unemployed business owners,small entrepreneurs,retired,university students and graduates...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ili kuleta Umoja nchini Tanzania nashauri Mh. Rais awakutanishe Israel na Hamas na Hezbollah kuwapatanisha.

    Naona kabisa kumekuwa na mpasuko nchini kuna ambao wameamua kushabikia au kuunga mkono Hamas na Hezbollah na wengine ambao wanaunga mkono Israel. Huu mpasuko si mzuri kwa nchi. Inabidi kuangalia namna ambavyo Rais wetu anaweza kuwakutanisha hawa watu akawapatisha. Sababu ni rais anayesikilizwa...
  13. JamiiForums Tanzania SACCOS kubwa zaidi Tanzania mpaka Disemba 2023

    1.Ngome SACCOS - Bilioni 150.84 2. URA SACCOS – Bilioni 136.43 3. TRA SACCOS- Bilioni 88.64 4. TANESCO SACCOS- Bilioni 71.53 5. ELCT ND SACCOS- Bilioni30.35 6. TPS SACCOS- Bilioni 30.09 7. Hazina SACCOS- Bilioni 28.29 8. Bandarini SACCOS- Bilioni 22.58 9. JKT Staff SACCOS- Bilioni 18.51 10...
  14. JamiiForums Tanzania Thamani ya Uwekezaji Tanzania Yafikia Dolla za Kimarekani Bilioni 1.6

    Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 hadi kufikia dola bilioni 1.61 katika robo iliyoishia Juni...
  15. JamiiForums Tanzania My vision for Tanzania High Speed Railways ipite uku kote

  16. JamiiForums Tanzania Tanzania Religious figures

    Tanzania Religious figures Tanganyika 85% Pagan/ Non Religious/ Atheist 7.4% Christian 5.2% Islam 1.5% Hinduism 0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions Zanzibar 84% Islam 9% Christianity 5% Hinduism 2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
  17. JamiiForums Tanzania Hiki 'Kijembe' cha maana Ali Kiba kamtupia nani hapa Tanzania?

    "Nasikia P Diddy ana Mafuta mengi na Kitanda Kikubwa" Mnaojua masuala ya Vijembe tafadhalini tusaidieni pia Sisi tusiojua ili tuweze Kuelewa ni nani amelengwa hasa hapa.
  18. JamiiForums Tanzania Je huu mkakati wa kusambaza mitungi ya gas ya LPG sio mpango wa kuhujumu matumizi ya gas ya NPG inayopatikana Tanzania?

    Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
  19. JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    WARAKA WA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN. Mheshimiwa Rais Awali ya yote ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Rais kupitia kipande hiki cha maandishi napenda kuongea na wewe mambo machache yanayolikumba taifa...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu achagiza Wafanyabishara wa Anjouan kuagiza bidhaa Tanzania

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amekutana na Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kisiwa cha Anjouan na ujumbe wake na kuwahimiza kuzidisha uagizaji wa bidhaa toka Tanzania kwa kuzingatia ukaribu wa kijiografia na uhusiano wa kihistoria uliopo. Balozi Yakubu ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…