Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Yakubu amekutana na kufanya mazunguzo na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu wa Rais Mwenye Dhamana ya Wizara ya Ulinzi nchini Comoro. Lengo la mazungumzo hayo ilikuwa ni kujitambulisha na kugusia mikakati ya kuimarisha ushirikiano...
Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi....
1kg ya Gesi = 13.6kwh (units)
Kwenye...
Natamani mnijibu kwamba hawa watu wanaojidhalilisha hivi wanafanya bure Kwa ujinga wao. Lakini mkisema hawa watu wanalipwa kufanya huu upuuzi, basi kweli kuna shida kubwa.
Ethiopia ni moja ya nchi bora africa kwa barabara zenye viwango ambazo Tanzania huwezi zikuta.. Tamroad jifunzeni.
Najiuliza wakati mnajenga barabara mfano ya kimara to kibaha kwanini hamkuwaza wapi mtaweka taa. Kwanini msinge acha nafasi katikati nfio taa zikakaa. Nasikia eti tanroad...
Thread hii ni maalumu ya kutambulisha muziki huu ambao juhudi za kuukwamisha zimeshindikana na sasa unachukua sifa duniani kote.
Katika thread hii tunaweza kupakia(upload ) na kusikiliza singeli za ndani ndani uswahilini ambazo ukisikiliza kwa makini utapata ujumbe murua na muhimu ndani yake...
Yaani kuongoza Tanzania ni kazi nyepesi sana ingawa tunaaminishwa kuwa ni kazi ngumu, jambo kubwa ni upate madaraka kwa njia yoyote Tanzania wekeza sana kwenye Simba na Yanga, tengeneza machawa wa kutosha.
Hayo hapo yanatosha kuwafanya Watanzania wakaongozwa kama kondoo sijajua kama ni kukata...
Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Lissu amewataka Watia nia...
Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake.
Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu?
Na haya ndiyo...
Chanzo cha picha,Reuters
Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa
Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai.
Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni
Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu...
Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati.
Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE...
Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji.
Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
Mwanamuziki wa Marekani, P Diddy amekumbwa na makosa mengi ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo sexual trafficking. Aliwasaidia baadhi ya watu kwa yeye kujifaidisha kwanza.
Tuna watu hapa Tanzania ambao wameibuka kiuchumi from no where ambao huenda wamepitia magumu ya P Diddy na wenzake wa aina...
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.