tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

    Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC. Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Finland zasaini Hati ya Makubaliano kuendesha mashauriano ya Kisiasa

    Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kwa niaba...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

    Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
  4. JamiiForums Tanzania Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

    Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania bora ipo sasa

    Hivi majuzi nilikutana na mtu mmoja a kaniambia anaingojea Tanzania Bora Moyo wangu ukasikitika Sana kusikia hiyo kauli. Tanzania Bora IPO sasa Tanzania iliyojaa Amani furaha na utulivu. Tanzania yenye Barabara na iliyojaa shule.vyuo hospital na ulinzi kwa kila mtu Tanzania Bora IPO sasa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokamata mali za serikali ya Tanzania inaposhindwa kesi za madai imepitwa na wakati TLS liangalieni hili

    Habarini, Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho kinawanyima haki wananchi wengi wanaoidai. Kwa maana hiyo sheria hizo zimepitwa na wakati kwani...
  8. JamiiForums Tanzania Vuta picha, hiki kimbunga kingepiga mji wowote hapa Tanzania!

    Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe! Ukiona mpaka Rais anatoa tahadhari kwa raia wake kwa mamilioni kuhama mji, tafsiri yake kwamba kimbunga kitaleta...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani

    Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024 na kueleza kuhusu Tigo kuhusika na tukio lake la kushambuliwa Simulizi ya Tukio la kushambuliwa kwake "Ilichukua takribani wiki moja kama siku tisa (tangu Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  11. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Michael A. Battle: Kusema Tanzania haijafungamana, uhalisia haupo hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine. Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
  13. JamiiForums Tanzania Nini kikwazo cha wasanii Filamu Tanzania kutokwenda kimataifa?

    Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
  14. JamiiForums Tanzania Majadiliano ya kijamii kuhusu ununuzi wa magoli na athari zake katika soka tanzania

    Tupo na jamaa zangu kijiweni, tukifanya mazungumzo kuhusu soka. Ghafla mmoja wetu akatokea na kusema, "Unajua, mama anaupiga mwingi sana, hasa kwenye suala la kununua goli moja kwa milioni tano!" Mwingine alihitaji ufafanuzi, akahoji, "Anaweza kununua magoli kisha anayauzia wapi?" Kabla ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

    Kwanini hawafanyi kama wanavyofanya CCM, kuwaandaa vijana wao wa jinsia zote, na kuwapa fursa na nafasi tofauti tofauti za uongozi hata baada ya kuhudumu katika jumuiya za urika wao wa awali? Maskini ya Mungu, vijana wengi kwa mfano upinzani, wanaishia tu kwenye idara zao za nyakati za ujana...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Palestina mbona hamkupiga kelele watoto wa Yemen kufa na utapiamlo kutokana na vita ya Houthi?

    Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop. Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel. Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi. Hio inaprove unafiki na...
  17. JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  18. JamiiForums Tanzania Mahmoud Thabit Kombo: Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region

    Tanzania's Minister of Foreign Affairs Hon. Mahmoud Thabit Kombo Says Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region. The region has experience sporadic attacks by militants in that area. Kombo spoke to international news editor Sophie...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kuleta amani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
  20. JamiiForums Tanzania Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…