tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

    Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
  2. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
  3. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Tanzania ya 10 bora kwa uchumi imara

    Chadema msipinge
  4. JamiiForums Tanzania Filamu za Kimkakati Kuandaliwa Kuelezea Utamaduni na Vivutio vya Tanzania

    FILAMU ZA KIMKAKATI KUANDALIWA KUELEZEA UTAMADUNI NA VIVUTIO VYA TANZANIA Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu @tanzania_film_board na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati madhubuti wa kuandaa Filamu tano ambazo zitaelezea utamaduni, vivutio vya ndani, historia na...
  5. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

    Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri! Inawezekana mkoa...
  6. JamiiForums Tanzania Upoteaji wa Watu, Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania

    Wakuu Salaam Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya. Pia kuna watu wanazikwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupiga kura Tanzania hauruhusu kuingiliwa na chama chochote, wenye hofu na mchakato wana hofu ya kushindwa

    Leo tujadili mchakato wa kupiga kura, kuhesabu kura, kutangaza matokeo na kutangaza mshindi ili tupate uelewa wa pamoja juu ya mchakato huo katika ukuaji na uimarikaji wa demokrasia ya nchi yetu. Kabla ya kujadli na kuhitimisha ni vema tukafahamu kwa uchache: Mchakato wa uchaguzi Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kutoka Karimjee: Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Linawapiga Msasa Wahariri Kutoka Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Karimjee, nikiwaletea live, kikao kazi cha Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, NEEC, na wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. kuhusiana na mambo ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ni Taasisi...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tusiwe mbali na BRICS, tutachelewa

    Kwa muda mrefu Tanzania tulijiweka katikati ya dunia kupitia siasa ya nje ya kutofungamana na upande wowote, sera hii imetuchelewesha sana kwakuwa hakuna anaetuamini kwa 100% badala yake tuko 50/50. Hii imesababisha kukosa fursa nyingi kutoka Magharibi na Mashariki na Asia (waisalamu). Kenya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tungekuwa mbali sana, Kikwazo ni CCM

    Ni wazi sasa Tanzania ingekuwa mbali sana kama tungekuwa na vyama pinzani ambavyo ni 50/50 kuliko sasa nchi yetu iko chini ya udikteta wa walarushwa nawabinafsi wa CCM. Tungekuwa mbele kwenye haya 1. Tungekuwa na katiba mpya ambayo inajali maendelo 2. Tungekuwa na mifumo isiyotegemea rushwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya wana SGR Train kali kuliko Tanzania

    Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona anaingia kwenye SGR train, kuona rangi ya behewa nikajua ni zile SGR zetu lakini wahudumu kidogo rangi...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji 6 International Airports kuwa mshindani kiuchumi East Africa

    Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa. Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aeleza Tanzania inavyojiandaa kuuza umeme nchi jirani na uwepo wa soko la uhakika

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inawakaribisha wawekezaji katika sekta ya nishati ili kuongeza kasi ya usambazaji, uzalishaji na unganishwaji wa nishati nchini Tanzania. Dkt. Biteko amesema hayo leo Oktoba 21, 2023 nchini Singapore wakati...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Afrobarometer zaonesha Tanzania inavyoongoza katika kupambana na umaskini Afrika

    Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri katika kuwaondoa watu kwenye umaskini, na kuiweka Tanzania kuwa miongoni mwa nchi mbili pekee za Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

    TANZANIA KUSHIRIKIANA NA IRAN SEKTA YA MICHEZO Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya Michezo. Makubaliano hayo yameingiwa Oktoba 19, 2024 Jijini...
  19. JamiiForums Tanzania Tuangalie Uwezekano wa Mfumo wa Kidigitali Katika Kupiga Kura Tanzania: Kwa Nini Tunahitaji Mfumo wa Kidigitali?

    Nimekaa na kuwaza... Hivi kweli haiwezekani tukaleta mapinduzi kwenye mfumo wa kupiga kura hapa Tanzania? Tunajua jinsi uchaguzi unavyochukua muda mwingi, foleni zisizoisha, watu wanaokata tamaa na kuamua kutojitokeza kabisa. Lakini mbona tuna teknolojia mikononi mwetu? Kwa nini tusibuni mfumo...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashinda Tuzo 4 za World Travel Awards

    Tanzania imenyakua tuzo 4 katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards na Marekani, usiku wa kuamkia Oktoba 19, 2024. Tuzo hizi zimetolewa jijini Nairobi nchini Kenya, huku Serengeti ikiendelea kuwa Hifadhi Bora ya Afrika kwa miaka sita mfululizo (2019, 2020, 2021, 2022, 2023, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…