tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Soma hapa kupata uzoefu wa kukodisha Ardhi kwa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania

    Katika Tanzania, makampuni ya mitandao ya simu kama Vodacom, Tigo, na Airtel hutafuta ardhi kwa ajili ya kuanzisha minara ya mawasiliano ili kufikia wateja zaidi na kuboresha huduma za mtandao. Kukodisha ardhi kwa makampuni haya kumeleta fursa kwa wamiliki wa ardhi ambao wanaweza kufaidika...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

    Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10. Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45 Mawaziri wapo wachache Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4 nitoe pongezi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye muasisi wa Jina Tanzania

    Anaitwa Mohamed Iqbal Dar ni mtanzania anayeishi wingereza Mzee Mohamed Said shikamoo tunaomba mchango wako kwa hili
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

    Wanaukumbi. Watanzania waingia Gaza na misaada wakigawa chakula pamoja na maji ya kunywa kwa raia wa Palestina.
  6. JamiiForums Tanzania Guiness World Records wagoma kutambua rekodi ya Land Rover Festival ya Tanzania

    Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii iliyovunjwa na watu wa Arusha, ya msafara wa magari zaidi ya 1000. Mpaka hivi sasa hawajazungumza...
  7. JamiiForums Tanzania Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania TBC kipindi cha Duru za Siasa, ni unafiki mtupu. Mbona siasa za Tanzania mnazikwepa?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  10. JamiiForums Tanzania TBC KIPINDI CHA DURU ZA SIASA NI UNAFIKI MTUPU. MBONA SIASA ZA TANZANIA MNAZIKWEPA?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una biashara ukaamka huna biashara, refer ile case ya masoko kuungua. Au unalala una biashara yako, kesho...
  12. JamiiForums Tanzania Food4Thought: "The Magufuli Era: Transformation and Tension in Tanzania"

    "The Magufuli Era: Transformation and Tension in Tanzania" "Remember me," (00:31 - Siku moja mtanikumbuka.) pleaded Tanzanian President John Magufuli in his final public address in February 2021, just weeks before his death (Reuters, February 24, 2021). These words would prove prophetic, as his...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

    Toka nchi hii uanze kutekeleza miradi ya Maendeleo ni muda mrefu na miradi mingi ya kimkakati imetekelezwa ,ikiwemo pamoja iliyotekelezwa na wakoloni mfano mradi wa Reli ya Kati. Ukiachana na miradi iliyotekelezwa na wakoloni, nimejaribu kupima na kuangalia ukubwa na umuhimu wa miradi iliyowahi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania CYCA Tanzania led the "Go green, serve nature" camping and campaign in West Kilimanjaro-Tanzania

    The Go Green, Serve Nature camping and campaign event was successfully, marking a significant step in raising environmental awareness and promoting sustainability within Tanzania’s forest reserves. Held from October 25th to 27th in the breathtaking West Kilimanjaro area, the event brought...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

    1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans 2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakimmowa na Simba SC 3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji 4. Kiungo raia wa DRC, Harvey Onoya anatakiwa na Yanga 5.Kiungo Mbrazil, Bruno Gomez anaweza kurejea Singida...
  16. JamiiForums Tanzania Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Mashujaa VS Simba SC | NBC Premier League Uwanja wa Lake Tanganyika Tarehe 1 November, 2024
  17. JamiiForums Tanzania Made in Tanzania

    Made in Tanzania ina lengo la kuhakikisha asilimia 60 mpaka 70 ya bidhaa zinazotumiwa na mtu wa mwisho zinazalishiwa hapa Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna magashagwa mengi kuliko Kenya, anakosekana wa kuyaondoa tu.

    Kiongozi wa kitaifa hapaswi kufikiria na kutenda kikabila, kijimbo, kidini, kijinsia au kikanda maana watu wote (makabila, dini, majimbo, wilaya, mikoa, jinsia, kanda) kwenye taifa wanamtegemea. Unapomsikia na kumuona kiongozi wa nchi anafikiria, anatenda, anaagiza na kupeleka maendeleo kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kanuni Mpya za Benki Kuu ya Tanzania na Athari Zake kwa Soko la Fedha za Kigeni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanzisha kanuni mpya kwa ajili ya shughuli za kubadilisha fedha za kigeni, ikijumuisha uwepo wa masharti makali zaidi kwa ajili ya miamala inayozidi dola za Marekani 5,000. Kanuni hizi mpya zina lengo la kuimarisha uwazi, uwajibikaji, na usalama ndani ya soko la...
  20. JamiiForums Tanzania Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa

    Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…