tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ni muda wa silver revolution nchini Tanzania

    Kwa Sasa CCM na serikali yake dhalimu wamezidi dharau nyingi. Wanafanya udhalimu wa wazi mchana peupe wakijua hakuna wa kuwafanya chochote. Chaguzi ndio njia pekee ya kukabidhiana madaraka kwa amani. Pale ambapo uchaguzi hauheshimiwi na kura za wananchi hazipewi uzito unatakiwa basi njia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia Tanzania iliondoka na Mzee Kikwete. Kwa sasa uchaguzi imebaki maigizo tu

    Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa. Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania to Uphold Adani Container Terminal Deal Despite Allegations

    Tanzania will maintain its agreements with an Adani Group subsidiary despite the recent indictment of Gautam Adani, the group’s billionaire chairman, on charges of bribery and fraud, a senior ports authority official confirmed. Last week, Adani and his nephew faced fraud charges and arrest...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania imejitosheleza kwa idadi na ubora wa Vyuo kuzidi Kenya, Uganda na Rwanda?

    Wakati fulani mtu fulani alihoji humu sababu ya Kenya na Uganda kuwa na raia wengi walio ughaibuni na baadhi ya wadau wakadai ni kwa sababu nchi zao hazina fursa kama Tanzania. Kuna taarifa inayoonesha kuwa Kenya, Uganda, na Rwanda zina raia wake wengi wanaosoma vyuo vya nje kuzidi Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wengi kuendelea kuugulia kisiri na kufia India kinaashiria huduma za afya Tanzania bado ni duni na haziaminiki!

    Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa. Taifa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Bank inaendeshwa kama Saccos iliyoko kwenye majaribio

    1. Leo salary advaance/pension advancy /mikopo iko, kesho inaondolewa kesho kutwa inarudishwa! majaribio! You cannot plan anything with this Saccos! 2. Most of the time ATM ni out of order Wapo wapo tu nadhani hawana dira, wanafanya wanalolifikiria leo!
  7. Q

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Saa 12 asubuhi yamekutwa mabox matatu tayari yamejaa kura. Hii ndio Tanzania.

    https://x.com/godbless_lema/status/1861661004586983644
  8. JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  9. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Zanzibar yataifanya Tanzania kuwa tajiri kama Libya?

    Kuna matumaini kuwa huenda mafuta yakagundulika Zanzibar. Ni habari njema! Hilo likitukia, Tanzania itakuwa tajiri kama Libya ilivyokuwa kabla ya kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi? Sina uhakika kama Gaddafi alikuwa na Maalmasi, Matanzanite, Madhahabu, na Mamikaa ya mawe kama Tanzania, lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Kuandaa World Travel Awards 2025 kwa Bara la Afrika - Dkt. Abbasi

    Na John Mapepele Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inakwenda kuandaa Tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards, WTA) kwa Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Dkt. Abbasi ametoa kauli hiyo leo Novemba 26, 2024 wakati akiongea na Vyombo vya Habari mara baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Shifting Roles of Media in Tanzania: From Development Communication to Watchdog Journalism

    Due to the government's control over mainstream media in Tanzania, individuals now turn to social media to access alternative perspectives on government affairs, allowing them to openly challenge and criticize the administration. The...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

    Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology (Elimu) yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
  14. JamiiForums Tanzania NI ushindi mkubwa kwa timu za Tanzania kufungwa CAF

    Kwanza wanaongea Sana, midomo mingi, captain WA timu anasema tutapawapiga tano Yani anaongea kama anaharisha, Bora wamefungwa Kodi zetu watanganyika zimepona, maana wangeshinda wangemwagiwa hela nyingi Sana Tuombe na WA kesho wafungwe.
  15. JamiiForums Tanzania WAJIBU WA VIJANA WA TANZANIA

    Kwanini vijana wa Tanzania hawajadili mambo muhimu? Ni swali linalopaswa kutafakariwa kwa kina hasa tunaposhuhudia kundi kubwa la vijana likitumia muda na rasilimali zao kuwasifia viongozi pasipo kutathmini kwa kina viashiria vya moja kwa moja vya utendaji wao wa kazi unaolenga kuboresha maisha...
  16. JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

    Habarini ndugu, Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom? Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo? (Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

    Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi. Malengo siku moja, sisi wanachama...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TASAC imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa 7 wa Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri Majini Barani Afrika

    TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA (7) WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI AFRIKA Dodoma. Wizara ya Uchukuzi inautaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri majini kuwa Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Simba ndiyo club iliyokomaa zaidi kimpira Tanzania

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…