tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful Rwandese woman for marriage in Tanzania

    Dear fellow Rwandese woman, I am looking for a woman with a good heart to bond together by establishing a very good family together. I am Tanzanian, government employee, 38 years old, Christian - roman Catholic, graduate from University (Tz and Europe) looking for a beautiful Rwandese woman who...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

    Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania... Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa...
  3. JamiiForums Tanzania Vurugu mechi ya Simba ni hujuma ya kukwamisha AFCON Tanzania

    Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia. Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu. Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio...
  4. JamiiForums Tanzania Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure

    15 December 2024 Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0 Na Musonda Mwewa ZNBC Timu ya madaktari maarufu wa kimataifa wamewasili nchini Zambia kufanya upasuaji wa kuokoa maisha ya watoto 25 wanaougua matatizo ya...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  9. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Kuna watu wanapotosha kuwa ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Rais na akitaka anakuondoa muda wowote

    Wakuu, Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote. Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni...
  10. JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Great thinkers. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane. Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko.. Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kutana na nyumba zinazohamishika zinazotengenezwa nchini Tanzania

    Mfanyabishara wa mbao anayefahamika kwa jina la Peter Stephano mkazi wa Maji ya chai wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ameanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza nyumba za kisasa zinazoweza kuhamishwa kwa madai ya kutaka kuendana na maendeleo dunia ya sasa. Peter akizungumza na GADI TV wilayani...
  12. JamiiForums Tanzania Air Tanzanià Yapigwa Marufuku Kuruka Juu Ya Anga La Umoja Wa Ulaya.

    https://simpleflying.com/european-union-air-tanzania-ban/
  13. JamiiForums Tanzania Hivi hili joto ni Ruangwa tu ndio limetuzidia au Tanzania nzima?

    Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania) Jana mchana temperature ilifika 37°C...
  14. JamiiForums Tanzania Kipindi Cha LIVE NA G cha EAST AFRICA RADIO ni miongoni mwa vipindi bora vya Radio Tanzania

    Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA. Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba nitoe ushauri huu kwa serikali kuhusu wasanii wa Tanzania.

    Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time. First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo Hili wazo sio baya Ila napendekeza mjaribu kuliboresha kwa kuhakikisha wasanii wote ambao wanajihusisha na sanaa...
  16. JamiiForums Tanzania Filamu ya "Tantalizing Tanzania" Yazinduliwa Rasmi Nchini India

    FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA Na Happiness Shayo - Mumbai, India Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

    Hizi ndio gari wauzaji wanasema ndio chaguo Lao kwasasa.
  18. JamiiForums Tanzania Air Tanzania ikizuiwa Ulaya, tuzuie zao pia. Jeuri hatuna?

    Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya. Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona watawaliwa mpaka Leo. Sisi waafrika tunashida gani? Huu ni muda wa kuelekeza nguvu zetu Africa, Asia, Urusi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mbilia Abel atua Tanzania.

    https://fb.watch/wsOtDrl5Cu/?mibextid=ff4enFATZKjxhjKN Msanii Mkongwe wa Muziki wa Rhumba Africa Mwana Mama Mbill Abel @mbilia.bel amewasili Tanzania kwaajili ya Tamasha la Bibi Titi Memorial Festival ambalo linafanyika Ikwiriri Rufiji Mkoa wa Pwani lilianza Dec 12 na litamalizika kesho Dec 14...
  20. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetangaza kutoa matibabu bure ya moyo kwa Wasanii wa Tanzania

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao. Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…