tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa wakati wa CHADEMA kuiteka mioyo ya Watanzania kipekee na kujisikima kuwa chama cha kipekee kabisa Tanzania!

    Ukweli ni kuwa CCM ipo ilipo kwa sababu ya vyombo vya dola. Na endapo leo hii vyombo hivi vikisema hatuiungi mkono tena CCM huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kuongoza Tanzania. Kwa upande wa vyama mbadala ni chama kimoja tu ambacho kwa muda mrefu sasa kimeweza kuonekana kuwa ndo mbadala sahihi wa...
  2. feyzal

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Tanzania kuna sehemu inaongoza kukatika katikaumeme kama mikwambe?

    Habari ndugu zangu,bila shaka wazima. Niende kwenye bandiko la swali langu, TANESCO hivi mnajua kua mna boa sana? Haiwezekani kwa siku mnakata umeme zaidi ya mara 30 mnataka kuunguza vitu ama vipi?. Wakuu nilikuja mikwambe Jumanne kuna kaka yangu ana umwa nikawa nimekuja kupoa nae ,ajabu sana...
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Watu kama Tundu Lissu hutokea mara chache sana Duniani. Tanzania imlinde ni Hazina ya Taifa

    Kidumu Chama cha mapinduzi. Nimeanza na salamu mapema ili ujumbe ufike vizuri kwa watu wote. Lissu ame na atasaidia sana Chama changu cha Mapinduzi. Ni kama kioo. Anahitajika mtu kama Lissu kuliko tunavyodhani. Ili nchi iendelee walitakiwa akina Lissu hata 5 tu tungekuwa sehemu flani pa...
  4. excel

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwa story za kuchangamsha genge tunaikaribia Kenya lakini kiuhalisia tumepigwa kanzu, Tulichowazidi labda ni muziki na mpira

    Balance of trade - Thamani ya pesa ya bidhaa zinazonunuliwa kutoka Kenya ni kubwa kuliko bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Kwa upeo mdogo wa kielimu watanzania wengi tumekomalia kwenye kuwauzia Mahindi lakini ukichunguza vizuri hapa kwetu kuna bidhaa nyingi sana za Kenya kuanzia kiwi...
  6. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Kenyan, Chinese among 15 arrested over Tanzania SGR vandalism

    At least 15 people have been arrested for allegedly vandalising standard gauge railway (SGR) and electricity infrastructure. Among those arrested are a Chinese national and a Kenyan, according to Railway Police Unit commander Gallus Hyera. Thirteen suspects have already appeared in court. The...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa vyakula vya mifugo umeongezeka kwa kiasi kikubwa Tanzania chini ya serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Umeme Tanzania Nzima, Kisa cha Engine ya Dizeli na Mradi Wa Stigler's HEP, matrilioni yetu Tumepigwa tena?

    Hii Nchi sasa inabidi ifanyiwe Factory Reset. La sivyo hakuna kitu kitasimama hata tujikakamue vipi. Ni lazima mnyororo na mkondo wa Mafisadi ukomeshwe. Nani wa kuukomesha? Mafisadi hawawezi kuukomesha. Likes dissolves like hii ni kanuni ya kikemia. Unachagua fisadi unamwingiza kwenye mfumo wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Namba msaada wa namna ya kufanya booking ya ndege: Air Tanzania au Precision Air

    Naombeni msaada wa namna ya kufanya Booking ya ndege : Precision Air au ATCL, Sababu baada ya kuchagua tarehe ya safari wakati wa kufanya Booking sioni sehemu ya kubonyeza ili niende katika hatua inayofuata.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajipanga kuvutia zaidi uwekezaji kutoka China

    Kwa muda wa miongo miwili sasa China imeendelea kuwa mmoja wa wawekezaji wakubwa nchini Tanzania, na takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa mwaka 2023 peke yake uwekezaji wa moja kwa moja (FDI) kutoka China kwenda Tanzania ulifikia dola za Marekani milioni 60.15, ambao uliongezeka kutoka...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambako Serikali inahudumia Law Soceaty, za huko Duniani zinajihudumia zenyewe

    Mpaka sasa nimekamilisha kupitia Law societies za nchi kadhaa ila zote nimekuta zinajiensesha zenyewe kwa michango yao, hi ni tofauti na TLS ambayo sasa ni semeu ya Serikali. Inafikirisha sana pale unapo ona Watu wanao tegemewa kwamba hawa ndio msaada wa mwisho au tumaini la mwisho, wanapo unga...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awa gumzo Duniani. Ripoti ya uchumi Duniani yaipa Tanzania ya Rais Samia Alama B+ ukuaji wa Uchumi

    Ndugu zangu Watanzania, DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika kukuza na kuupaisha Uchumi wa Tanzania utafikiri ndege za kivita. Rais Samia anaendelea kuteka...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania badilikeni huduma kwa wateja ni mbovu sana

    Moja kwa Moja kwenye mada husikq Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Namibia: Kampuni ya Simu inayomilikiwa na Serikali yadukuliwa, taarifa za Wateja zavujishwa, Tanzania tupo salama kiasi gani?

    Wakuu, Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi? Taarifa kamili hizi hapa chini: --- Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja...
  16. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

    Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo Wote ni maradical Wote ni wanachukia Rushwa Wote wanachukia uzembe , uvivu Wote wanamsimamamo mikali Wote wanahulka ya kusema ukweli. Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Syria wamegundua makaburi mengi ya halaiki. Hivi Tanzania hayapo kweli?

    Makaburi mengi yamegunduliwa yenye miili ya watu wengi walioteswa na kuzikwa pamoja kipindi Cha utawala wa Assad. Tanzania pia kipindi Cha nyuma kulikuwa na wimbi la watu kupotea na wengine kukutwa kwenye Viroba, Lakini pia kukawa na matukio ya kihalifu Kibiti. Serikali ikifanya uchunguzi...
  18. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful Rwandese woman for marriage in Tanzania

    Dear fellow Rwandese woman, I am looking for a woman with a good heart to bond together by establishing a very good family together. I am Tanzanian, government employee, 38 years old, Christian - roman Catholic, graduate from University (Tz and Europe) looking for a beautiful Rwandese woman who...
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

    Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania... Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Vurugu mechi ya Simba ni hujuma ya kukwamisha AFCON Tanzania

    Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia. Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu. Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio...
Back
Top Bottom