tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kipenzi Changu

    Tanzania hii John ni Mmoja tu

    Anaandika John Heche. Kazi ya msajili ni kusajili vyama, kuvilea ili vikuze ushindani bora wa kisiasa ili Nchi yetu ipate maendeleo ya haraka .. Kwa kupata sera mbadala na kuwapa wananchi nafasi ya kuchagua mtu wanemtaka. Huyu bwana Mtungi kinyume chake ni kushambulia chama chetu kila siku...
  2. Tlaatlaah

    Kwasasa Tanzania imezikamata vizuri sana na kuziteka kabisa siasa za kimataifa.

    Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania...
  3. B

    TANZANIA na nchi za Afrika pamoja na Ghuba zatoa wito wa ulinzi imara zaidi kwa wafanyakazi wahamiaji - SADC

    08 October 2026 Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
  4. K

    A Fool Thinks Himself to Be Wise, But a Wise Man Knows Himself to Be a Fool": Je, Siasa za Tanzania Zinatekwa na Kiburi cha "Wajuaji" au Zinaongozwa n

    Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na kiburi cha kifikra cha wajuaji Mwandishi mashuhuri wa michezo ya kuigiza wa Uingereza, William...
  5. Eli Cohen

    Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  6. Zack Abdul

    Rais Samia kuwa kinara wa afya ya Mama na mtoto Afrika ni heshima kwa Tanzania

    Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
  7. Zack Abdul

    Na nyinyi wana JF mpige kura, hili ni suala la Kitaifa. Tanzania Kwanza

  8. M

    Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  9. Mla Bata

    Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    Wasalaam, Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu? Sisema tuige Marekani 100%. Lakini kuna principle moja ambayo nadhani inaweza kutumika. Mamlaka zaidi, rasilimali zaidi na...
  10. M

    Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  11. A

    Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  12. THE FIRST BORN

    Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  13. kavulata

    Dunia inaomba marais wote wangekuwa wanawake, Tanzania tumeitangulia dunia

    Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote. Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza. Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe...
  14. Etwege

    Nenda Wicknell Chivayo, mpaka sasa raia hatujui ulikuwa umewekeza nini Tanzania

    Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana. Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa...
  15. O

    # 💰 Bei ya Gari Sio Gharama Yote ya Kulifikisha Barabarani Tanzania

    Habari Umeona gari Japan kwa TZS 25 milioni na ukaamua kulinunua? Subiri kidogo. 🚨 Kabla hujafanya uamuzi, unahitaji kufahamu kwamba bei ya gari na gharama ya mwisho ya kulifikisha barabarani Tanzania ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na gharama kama: 🚗 Bei ya gari 🚢 Shipping 📑 Customs...
  16. Kaka yake shetani

    Kwa jinsi CCM inavyopeleka nchi ovyo ni rahisi ISS,al Qaeda ,M23 na makundi mengine kutumia mwanya huu kwa tanzania.

    Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi. Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele. Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
  17. F

    Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  18. Mohamed Said

    PITIO LA KITABU CHA MOHAMED KASSIM: MAISHA YANGU NA HARAKATI ZA KIISLAMU TANZANIA

    https://youtu.be/9mqRODTBwJA?si=qKZJ3qQZPDGI3hpe
  19. K

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  20. Troll JF

    Spika wa Bunge la Uingereza aipongeza Tanzania

    Kumekucha: Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa Kimataifa. Akizungumza katika mahojiano maalum pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa...
Back
Top Bottom