tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

    Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi. Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano Peter Kibatala John Mallya Dickson Matata Tundu Lissu Peter Madereka...
  2. L

    JamiiForums Tanzania TANZANIA: Siasa, Uongozi na Utawala

    Hiki ni kitabu kinachohusu Historia ya Tanzania: Siasa, Uongozi na Utawala. Hiki sio kitabu cha kukosa, kina madini ya kutosha. Kwa watakaohitaji wawasiliane na mwandishi kwa namba 0686396946 na utatumiwa popote ulipo.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali ya Tanzania kuibana Serikali ya Israel kutuambia miili ya Watanzania ipo wapi?

    Wanaukumbi. Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas. Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba wa watu wenye Akili haiwezekani .

    Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele. Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania Kuanzisha Biashara ya wa Bangi kwa Nchi Zilizohalalisha Matumizi Yake

    Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu! Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
  7. JamiiForums Tanzania "Vision X Tint Studio" walikua ndio Authorized Dealer wa 3M Tint kwa Tanzania. Jamaa walikua wanaweka tint kali na quality sana.

    Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri. Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka...
  8. JamiiForums Tanzania Diamond awatukana vijana wa Tanzania; 'wana njaa'!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga asema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndio maana Yanga wametolewa

    Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki w
  10. JamiiForums Tanzania Tazama mabasi mapya ya kifahari ya CCM, hakika CCM ni chama kikubwa na mkombozi wa Tanzania

  11. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tanzania tunahitaji Kuwa na Serikali Tatu

    Tanzania ni nchi yenye historia ndefu na utajiri wa tamaduni mbalimbali, zinazochangia umoja wa taifa. Hata hivyo, kuna hoja inayozidi kujitokeza kuhusu ufanisi wa mfumo wa utawala wa sasa wa nchi, hasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ni suala la wazi kuwa Muungano huu umeleta...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tungekuwa tuna uchaguzi huru na tungekuwa tunafanya uchaguzi wa kumuangalia mtu sahihi basi Lissu angekuwa Rais

    Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati Mbaya Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu. Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa MKAPA, JPM
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa boarding jiheshimuni! Serikali inaweka kumbukumbu za wanafunzi wote Tanzania. Msijiharibie future

    Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika kwa scrutiny kubwa sana.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Janga la Malaria, Typhoid na UTI

    Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au maabara hasa hizi ndogo ndogo za mtaani. Magonjwa haya kwa mujibu wa repoti za ‘ndomo’ na takwimu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatuonyesha Hakuna Mbadala wa CCM Katika Siasa za Tanzania

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Kwa miaka mingi...
  16. JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ianzishwe Labour Court of Appeal Tanzania

    Serikal ilipoanzisha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (Commission for Mediation and Arbitration - CMA) na sheria mahususi ya Ajira na Mahusiano Kazini Sura 366 ya mwaka 2019 pamoja na Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi ilikuwa na lengo kuu la kuhakikisha mashauri yanayohusu ajira, wafanyakazi na waajiri...
  18. JamiiForums Tanzania Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

    Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia. Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt Elizabeth Sanga: Serikali ya Tanzania Ieleze Ukweli Visa vya Ugonjwa wa Marbug

    SERIKALI YA TANZANIA IELEZE UKWELI VISA VYA UGONJWA WA MARBUG ACT Wazalendo tunaitaka Wizara ya Afya ya Tanzania, kueleza ukweli kuhusu mlipuko wa ugonjwa hatari wa Marbug, na itangaze hatua za tahadhari kuzuia kuenea ugonjwa huo Mkoani Kagera. Kufuatia taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…