tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na ujuzi alioupata darasani?

    Habari za leo Wanajamiiforums? Kwanza kabisa niwashukuru madaktari kwa Kazi nzuri mnayoendelea kufanya🙏. Ila challenge yangu ni hii.Je, Kuna daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na ujuzi alioupata darasani? (Namaanisha ana tafiti yoyote ambayo amefanya inayoweza kuleta impact...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu

    Mahakama ya Afrika ya Haki ya Binadamu na Watu Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, (Sura ya 16) ndani ya mwaka mmoja kutokea leo tarehe 5/2/2025. Maamuzi hayo yametolewa na Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu, Arusha katika kesi ya Ladislaus Chalula dhidi...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

  4. JamiiForums Tanzania KUTOKA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    Kumekuwa na michango Mizuri kutoka kwa wabunge wetu,lakini pia kumekuwa na michango ya wabunge ambayo aijeng na aiwasaidii wapga kura wao,hivyo nimeona hapa tuwe na jukwa huru kuleta mawazo tofauti kutoka kwa wabunge ili watu wasome na kuweza kuchakata ni nini wamekifanya katika Miaka 5 hasa...
  5. JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

    Zilianza kama tetesi: Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais
  7. JamiiForums Tanzania Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania haina mufti!Tanzania haina sheikh mkuu

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania haina Mufti, Tanzania haina sheikh mkuu!

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  11. JamiiForums Tanzania Rwanda vs Tanzania Military system what in public makes Rwanda Stronger vs Tanzania and why Rwanda shouldn't try it.

    Guys Leo nimeona nizungumzie kuhusu air defense system ambazo Rwanda Wana deploy. Asilimia kubwa ya system ambazo ziko public Rwanda anazinunua zinatoka Russia lakini watz wengi wamekua na hofu kwamba Rwanda anakuwa more strong zaidi ya Tanzania na kubwa ambacho pia wengi hawaelewi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania bila wachaga ingekuwa nyuma sana kimaendeleo

    Habarini! Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao hao kwa kiasi kikubwa wanachangia kwenye mzunguko wa hyo biashara kwa kufanya manunuzi ya Hali ya...
  13. JamiiForums Tanzania Starlink inasimikwa lini Tanzania? Tuungane kwa pamoja

    Wasalaam! Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania. Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba makampuni ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Nchi karibu zote Afrika tayari...
  14. JamiiForums Tanzania 2025 Strongest Millitary Rank: Tunazidiwa vipi kijeshi na Msumbiji?

    Wakuu kwema? Sielewi, nimepitia Millitary Ranks za Africa kwenye Website kadhaa naona Tanzania tuko nyuma sana. Wataalam wa hii ishu eb nisaidieni, naona hadi Sudan wanatuzidi Kijeshi. Kwani tunafeli wapii? Siku ya uhuru nikiona wale makomandoo wanaopigwa na matofali nawaza tuko vizuri sana...
  15. JamiiForums Tanzania National Interest: Kuna nini nyuma ya pazia na watu hawa, kwanini hawaipendi Tanzania, why? Usalama wetu ni salama kiasi gani?

    Ndugu zangu Umofia kwenu, Tanzania kama ilivyo nchi nyingi duniani ina wahamiaji wasio halali ( nachelea kusema harama kwa kuwa binadamu hawez kuwa haram) Tofauti na nchi nyingine, pengine watu hawa wameachwa wakawa na sauti sana katika jamii yetu, uthibitisho? Matendo na maneno yao.. Hawa...
  16. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tanzania tuwe na miji mikuu miwili ya nchi, Dodoma na Dar es Salaam

    Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni mji muhimu sana kwa sababu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alishaamua na kuelekeza uwe ndio mji mkuu wa...
  17. JamiiForums Tanzania KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

    Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia.. Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kupigana vita ya kiuchumi? Inahitaji kufanya hivyo?

    Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
  20. JamiiForums Tanzania Napendekeza Tanzania iwe nchi ya kifalme. Tuanze na Malkia Samia

    Halafu Abdul aoe binti wa kisukuma kudumisha muungano.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…