tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa Zimbabwe Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

    Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao. Mimi Lord...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

    Tunaweza kusema kumekucha Uchaguzi Mkuu 2025. Iko hivi. Kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. TUNDU ANTIPAS LISSU na kufunguliwa kesi ya UHAINI na KUZUILIWA KWA CHADEMA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 kuna tetesi jumuia za Kimataifa na baadhi ya nchi zinapanga kuikomesha...
  4. JamiiForums Tanzania Katika Tanzania ambayo ni Jamhuri ya Kidemokrasia, hoja zenye ushahidi thabiti hazipaswi kupigwa mabomu ya machozi, wala kupigwa virungu

    Nembo Asilia ya Taifa lililoasisiwa mwaka 1961 na Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere, maarufu kama "Nembo ya Bibi na Bwana" Nembo Mpya ya Taifa linaloongozwa na Rais Samia tangu 17 Machi 2021, ikiwa haina picha ya Bibi na Bwana, bila hata maelezo kwa nini mabadiliko haya yamefanyika I...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kwa hapa kwetu Tanzania naweza soma Master's degree in sign language interpretation

    Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ccm mmeamua kumsaliti mdau wa maendeleo Justin kimodoi na kushindwa kuuleta Mwili wake Tanzania ili uzikwe!

    Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi . Changamoto kubwa ni pesa. Hii ndo Ccm
  7. JamiiForums Tanzania Zaidi ya miti milioni 226 imepandwa Tanzania nzima

    ZAIDI YA MITI MILIONI 226 IMEPANDWA TANZANIA NZIMA Kupitia kampeni ya kitaifa ya upandaji miti millioni 1.5 kwa kila Halmashauri nchini, jumla ya miti milioni 226.97 ilipandwa kwa mwaka 2023/2024 ambapo miti milioni 211.81 ndiyo ilistawi ikiwa ni sawa na asilimia 76%. Tathmini ya miti...
  8. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipongeze Chadema kuwa vibaraka wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm) Rejea mada tajwa. Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anguko la Chadema kwenye Medani za Siasa za Tanzania hukukukiwa na mgawanyiko mkubwa kuelekea Uchaguzi, nani wa kulaumiwa?

    Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe. Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa? Ni G55 au ule upande wa no reform no elections? Je, ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya baadhi ya mafisadi wa Tanzania tangu 2000 nakuandelea

    Orodha ya mafisadi wakubwa waliowahi kutajwa au kuhusishwa na kashfa kubwa za ufisadi Tanzania tangu mwaka 2000 ni ndefu na imejumuisha wanasiasa, wafanyabiashara na watendaji wa serikali. Zifuatazo ni baadhi ya kashfa na watu waliotajwa kuhusika: 1. Kashfa ya EPA (External Payment Arrears) –...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inaenda kutangazwa rasmi Taifa la Kidikteta?

    Mataifa kadhaa Duniani yamepitia nyakati ambazo Tanzania inapitia kwa sasa, ambapo mifumo yote ya haki za wananchi huangamizwa na watawala. Kwenye utawala wa kidikteta, hakuna mifumo ya haki ambayo huwa inafanya kazi. Utawala wa kidikteta hupora mifumo yote ya utawala na haki, na kuiweka chini...
  12. JamiiForums Tanzania Sauti za Farao zinarudi: Tanzania katika kioo cha Misri ya kale

    Queen Cleopatra Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya kale. Misri haikuwa tu nchi, ilikuwa moyo wa ustaarabu. Kwa karne nyingi, walitawala kwa fahari, farao...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  14. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  15. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania fanyeni kitu juu ya ushoga kwa kutoa nyimbo au maigizo ya kikataza ushoga

    Ni ajabu nchi inakumbwa na janga la ushoga alafu watu wetu wa sanaa ambao ni kioo cha jamii wapo tu kimya? Tulitegemea kipindi cha majanga ya namna hii tungeskia nyimbo na maigizo mengi juu ya ushoga lakini wapo kimya,! Kuna wimbo mmoja wa Jay combati unaitwa sio mwana, Unapendwa sana...
  16. JamiiForums Tanzania Hongereni Tume HURU ya Uchaguzi Tanzania

    Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
  17. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu azidi kutabiriwa kama mjumbe wa Mungu kuikomboa Tanzania!

    Sikiliza huu unabii kutoka kwa mchungaji maarufu hapa Tanzania: Note: anayeshindana na lissu atakwenda na maji
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  20. JamiiForums Tanzania Business Manager at First Housing Finance (Tanzania) Ltd April 2025

    Job Advertisement: Business Manager Company: First Housing Finance (Tanzania) Ltd Department: Business Reports To: Chief Executive Officer Company Description: First Housing Finance (Tanzania) Ltd is the leading housing finance company in Tanzania, committed to providing long-term housing...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…