Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kutokana na picha ya satelaiti ya eneo la Afrika Mashariki, Tanzania inaonekana kuwa mgombea bora wa uzalishaji wa mazao ya kilimo kutokana na mambo kadhaa ya kijiografia na kimazingira yanayoonekana kwenye picha:
1. Eneo Kubwa la Ardhi
Uchunguzi: Tanzania ina eneo kubwa la ardhi ukilinganisha...
Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana.
Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana uchungu na Taifa hili, hana cha kupoteza katika Maisha yake hapa Nchini.
Hana Damu inayoweza kumuuma...
Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya.
My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
Salaam!
Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi.
Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla.
Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia...
Introduction
Since 2000, Tanzania has undertaken significant reforms to strengthen its governance and public administration frameworks. The tax sector was no exception. The enactment of the Tax Revenue Appeals Act (Cap. 408) led to the establishment of a Unified Tax Revenue Appeals Tribunal...
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.
Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
Nchi za kenya na Tanzania, zimetahadharishwa na wataalamu wa masuala ya anga za juu kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa mabaki ya kifaa cha anga za juu (roketi).
Shirika la Anga la Kenya (KSA) limethibitisha hilo na kutoa tahadhari kwa wananchi wa nchi hiyo kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa kifaa...
Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina.
Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
Kupitia harusi ya Jux kule Nigeria nimepata somo kubwa sana.
A:
1. Nigeria 🇳🇬 wanaheshimu sana mila
2. Nigeria 🇳🇬 ni wachangamfu sana
3. Nigeria 🇳🇬 wana vibe kubwa
4. Nigeria 🇳🇬 kwenye Sherehe watu wote wamechangamka , wana furaha na tabasamu.
B:
1. Tanzania 🇹🇿 mila ni kwa kiasi kidogo...
Hata huko China wameamua moja kwamba jamani sisi Demokrasia hatuna hivyo hivyo huko Russia
Kakini hata Malawi, Zambia, Kenya, Botswana, SA wamechagua kwamba nchi zao ni za demokrasia
Wenzetu wa Uganda na Rwanda ni mfumo wa familia na uongozi wa mtu mmoja
Tanzania hatueleweke mara demokrasia...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
14 Mach 2025
Dar es Salaam, Tanzania
IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO
https://m.youtube.com/watch?v=01B057JdTR0
Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza...
Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm..
Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia.
Bongo Sina future napo.
Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii
https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s
Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata...
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake.
Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu...
Ex president huyu naona kama kawa mfalme sasa kwenye nchi hii.
Uwezi kusema umetumwa na raisi hata kenya yenyewe kasongo ajawai kumtuma kenyata.
Tokea utawala huu jamaa kawa kama mfalme mkubwa sana
Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu.
Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...