tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania na mfumo wa madeni usio na thamani: Uchumi unavyoangamia kwa kusherekewa na bunge lisilo na fiscal discipline

    Ni jambo la aibu na fedheha ya kiuchumi kwamba deni la taifa limepaa kutoka TSh 55 trilioni hadi TSh 107 trilioni — ongezeko la zaidi ya 95% ndani ya kipindi kifupi, bila corresponding economic output au productive returns. Hili ni deni ambalo kimsingi limekuwa mzigo kwa taifa, kwani fiscal...
  2. Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
  3. Mwigulu: Namshukuru Rais kwa kunifanya Mnyiramba wa kwanza kusaini kwenye noti ya nchi. Nimetimiza Ndoto ya muda mrefu

    Mwigulu ajivunia kutimiza ndoto ya muda mrefu kusaini noti ya Tanzania "Kipekee nimshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuniamini kutumikia Taifa kwa nafasi ya Waziri wa Fedha tangu alipoingia madarakani. Huu ni uthibitisho wa imani kubwa aliyokuwa...
  4. Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
  5. M

    Ilikuwa Bandari zetu bara, sasa ni shirika la ndege nalo limejifia na Zanzibar kuipiku air Tanzania

    Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje? Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
  6. Tanzania kuadhimisha Siku ya Wachangia Damu Duniani Juni 14, 2025

    Serikali kupitia wizara ya afya imedhamiria kuadhimisha Siku ya Wachangia Damu Duniani kwa kufanya kampeni ya kitaifa ya uchangiaji damu, itakayofanyika tarehe 14 Juni 2025 katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wananchi kuchangia damu kwa hiari na kuongeza...
  7. Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  8. Rockets zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture rockets za aina mbalimbali

    Rockets za aina mbalimbi zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa ya kipee Zifuatazo ni aina za rockets zitakazokuwa zinatengenezwa Tanzania Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye sayari Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye nyota ambazo zipo...
  9. Tamko la kizalendo: Watakaosaliti Tanzania watalipa

    Siku moja kuna watu watalipa kwa damu na machozi. Mnaofurahia ufisadi kwenye rasilimali zetu — mtalipa, nawaambieni. Mnayefumba macho wakati waovu wanatenda kwa mikataba michafu, mnayeziba masikio wakati waonevu wanawapora wananchi wanyonge, na wale mnaoshangilia utekaji na mateso ya wengine...
  10. Profesa Mkumbo: Uchumi wa Dunia unashuka, ila Uchumi wa Tanzania unapanda

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu. Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka...
  11. Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
  12. Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  13. Huenda Lissu ni masihi (mkombozi) wa siasa za uongo Tanzania

    Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa. Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana...
  14. Simu zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture hio simu ya kipekee

    Simu hizo zitakuwa na sifa zifuatazo Zitakuwa zinatumia natural satellite kufacilitate mawasiliano Kwa mtu aliyeko duniani atakuwa na uwezo wa kuwasiliana na mtu ambaye yupo sayari ya mars au Pluto instantly Battery yake itakuwa na uwezo wa kujaa kwa mda wa dakika 5 na zisizozidi dakika 10 Kwa...
  15. R

    Chapa ya Made in Tanzania kuanza kutumika

    Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania === Mamlaka ya...
  16. K

    Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia BY Chat GPT

    Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia Katika jamii nyingi, wasomi hutegemewa kuwa mstari wa mbele katika kuendeleza demokrasia, haki za binadamu, na uwajibikaji wa serikali. Hata hivyo, hali ya mambo nchini Tanzania inaonyesha kuwa sehemu ya wasomi wanachangia kudidimiza...
  17. Waziri Kombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa waratibu wa utekelezaji wa maazimio ya FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
  18. Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

    Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi. Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu...
  19. B

    Ukaribu wa Mwalimu Nyerere na familia ya Freeman Mbowe

    Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe. Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu FREEMAN MBOWE ni mpinzani wa kisiasa. Hili si kweli. Ukweli ni kwamba familia hizi mbili ni marafiki wa...
  20. Utekaji na kupotea kwa raia umeyavua nguo majeshi ya Tanzania.

    Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…