tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde azindua taarifa ya chambuzi uongezaji thamani Madini muhimu Tanzania

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini. Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Tuna Bunge Jina, au Ni Bunge Halisi?

    Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi. Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi. Jambo la kujiuliza, hivi...
  5. JamiiForums Tanzania JTC yatembelea alama ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Zambia

    TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika. Mpaka wa Tanzania na...
  6. JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania na matajiri wake

    Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo. Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85. Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela. Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui...
  7. JamiiForums Tanzania Matengenezo ya magari na upatikanaji wa spare parts: Je, ni magari yapi yana gharama nafuu kuyahudumia Tanzania?

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya misaada ya maendeleo kwa Tanzania toka Ulaya kuanzia 2015-2025 na athari tutakazopata ikiwa itasimamishwa

    Kuna wabunge nimewasikia wanapayuka na nimeelewa kwamba hawajui kabisa kuwa misaada ya Ulaya imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania katika miaka kama kumi iliyopita. Tanzania inafanya jitihada kuelekea kujitegemea, lakini bado misaada ya Ulaya ikositishwa hali hiyo inaweza...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuongozwi na hatuwajibiki kwa Bunge la Ulaya. Tutalinda uhuru na heshima yetu kwa nguvu zetu zote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri labda sisi ni Makoloni yao. Napenda kuwaambia ya kuwa Tanzania ni Nchi huru na Taifa huru...
  10. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Je, Tanzania imedhibitiwa na Zanzibar?

    Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar? Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!! Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari? Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

    Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na...
  13. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola, Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
  15. JamiiForums Tanzania Core Values (Misingi) ya Vyama Vikubwa za Siasa Tanzania (On Paper Wanasimamia Nini)

    Nimejaribu kumuuliza bwana Google akisaidiana na AI, ili waende wakadukue huko na kule ili tuweze kupata misingi ya Vyama hivi vinasimamia Nini na Best Case Scenario kama wakifanya wanachokisimamia sisi kama Wenye Nchi tungependa / Tunakubaliana na yupi. Ingawa on Paper sioni Tofauti kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna mahali Tanzania hii wanatumia Internet ya 2G, kweli Mama hatukudai

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
  17. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

    Tanzania ni Sovereign State. Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili. Tanzania Ina Katiba yake Katiba imeweka Mahakama huru Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia. Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…