tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Damas Ndumbaro awataka wanasiasa wote kuheshimu na kulinda katiba ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania The "Icons" of Genuine Politics in Tanzania

    Sala Mungu Wabariki hawa Watu, Zibariki familia zao, Vibariki vizazi vyao hata cha 5 na cha 6, Bariki kazi za mikono yao. Hawa watu wameleta Upinzani wa kweli nchini Tanzania. Upinzani usioangalia maslahi binafsi bali maslahi ya Taifa na Wananchi wote. Upinzani wenye lengo la kuwakomboa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Diaspora ni Tanzania ambaye ameukana Uraia wake, kama hajaukana huyo ni Mtanzania tu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amechanganua Mtu ambaye anastahili kutambulika kuwa ni Diaspora kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Amesema Mtanzania yeyote ambaye yupo nje ya mipaka akiwa na Passport huyo ni Mtanzania kama wengine lakini...
  6. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania House for sale,located at Makumbusho,price Tsh950m, negotiable

    #sale LUXURY 4 BEDROOMS MANSION FOR SALE ☀ ASKING PRICE::: 950,000,000 Tshs ☀ PLOT SIZE : 456 SQM ☀ CLEAN DOCUMENT TITLE DEED ✨ Location:: MAKUMBUSHO ✔️ 4 Bedrooms Fully Ensuit ✔️ 2 Sitting Room Area ✔️ Kitchen ✔️ 2 Public Toilets ✔️ Private luku. ✔️ Dawasco Water Service Available ✔️...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kujiuzulu - Watanganyika hawapo tayari kumuona Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania

    Ni bora akajiuzulu na kuwakabidhi nchi yao ikiwa ipo salama kabla hawajachomana mikuki. Ni habari za mjini kutokana na hali ya Tanzania inavyoelekea nnavyoona hataki kubeba lawama huenda akaikabidhi Serikali kwa vyombo vya Jeshi hadi uchaguzi kuendesha uchaguzi na kupata Raisi Mpya. Na kila...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

    Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu. Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA. Mbali na...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tanzania is not a prison. Free the Damn People!

    Yo, what the hell is goin’ on in Tanzania, man? This ain't no damn movie — it's real life and sht’s gettin’ crazy. People out here gettin’ snatched up for speakin’ the fckin’ truth? For demandin’ their basic-ass rights? That’s some straight-up dirty play, no cap. Y’all in power actin’ like the...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa lengo la kuleta ushindani na mageuzi ya kiteknolojia natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii Tanzania

    Natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii nchini tanzania kwa lengo la kuchochea ukuaji wa kiteknolojia na kuleta ushindani dhidii ya Facebook, Instagram na Twitter pamoja na tiktok. Mitandao hii imekuwa ndio mitandao namba moja duniani kote ikiwemo Tanzania huku intagram, Facebook na Twitter...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) yasema Meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho

    Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Anslem Namala amesema meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho na kwamba hivi karibuni wanatarajiwa kutoa tamko juu ya chombo hicho cha usafiri kurejea kwenye ratiba zake kama kawaida. Ameeleza kuwa tamko rasmi...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tanzania haiko huru, ni koloni tupu la viongozi bure

    Bruh, let me tell y’all something real. Hii nchi haipo kwenye uhuru – tuko kwenye lockdown ya kiakili, kiuchumi na hata kielimu! Unadhani tumetoka kwenye koloni? Hell no! We’re still slaves, tumeachwa na mabeberu lakini sasa tunaongozwa na black colonialists – viongozi wa hovyo, wanaodhani...
  15. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Corner house for sale, located at Kinondoni Dar es salaam. Price tsh 1 billion

    ENEO LENYE FRAME ZA MADUKA LINAUZWA UKUBWA WA KIWANJA NI 400 SQM BEI NI BILLION MOJA,MAONGEZI KIDOGO YAPO NI CORNER PLOT,KARIBU KABISA NA KITUO CHA MWENDOKASI DOCUMENTS:TITLE DEED 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuianzisha kampuni Tanzania kwa uficho?

    Nimeona kwa wenzetu inawezekana. Vipi kwa huku kwetu? Labda unataka kufanya siri kwa lengo la kuepuka "umaarufu". Hutaki marafiki, ndugu zako, mkeo na watoto wako wajue mwanzoni, ingawa unaweza kuja kuwaambia huko mbeleni, labda ikiwa "imeshabreak even" Hufanyi hivyo kwa lengo la kukwepa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Chips mayai hazijaanzia Tanzania, ( Labda uwizi wa kura ) Hiki chakula tuliletewa na tulifundishwa

    Watanzania kuna mambo mengi sana hawajui, na wamekuwa wakidhani na kujisifu kuwa ni wagunduzi wa mapishi mbalimbali, jambo ambalo si la kweli, ila kwenye mapishi ya asili ni kweli hayo ni ya kwetu kabisa, na unaweza usiyaone nchi nyingine. Sisi watanzania tumekuwa tukijisifia sana kuhusu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha Watekaji Je, Ndiyo Hawa Hapa?.

    Niliwahi kusoma sehemu fulani na baadaye nikaambiwa kwa comment hili jambo. Habari ya jumapili ndugu Mtanzani. Hili jambo la wasiojulikana limezungumzwa sana kwenye majukwaa mbalimbali na hata JF. Nimejiuliza mara kadhaa na sijapata jibu kwa hili swali langu, je hawa watekaji ni sehemu ya...
Back
Top Bottom