tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa kama nyumba ya mjane

    Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema! Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA. Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge letu, inusuru Tanzania

    Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni. Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao. Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu. Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya sh. Bilioni 28 kujenga kituo cha upandikizaji figo Tanzania

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo pamoja na utoaji mafunzo kwa madaktari bingwa ambacho kitakuwa ni kikubwa katika ukanda wa Jangwa la Sahara. Kituo hicho ambacho kitajengwa kwenye Hospitali ya Kanda ya...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limepoteza heshima na mvuto kabisa

    Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu. Bunge la Tanzania. Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na...
  7. JamiiForums Tanzania Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania kwa mujibu wa ChatGPT

    Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania unaweza kuangaliwa kwa misingi mbalimbali kama vile mfumo wa vyama vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari, historia ya kisiasa, na utekelezaji wa demokrasia. Hapa chini ni baadhi ya tofauti kuu: --- 1. Mfumo wa Vyama vya Siasa Kenya: Ina mfumo wa vyama...
  8. JamiiForums Tanzania Tuchambue kwa Heshima – Kozi Zipi Zinafaa Tanzania 2025?

    Leo napenda kuanzisha mjadala wa kiungwana kuhusu kozi tatu maarufu sana kwenye dunia ya teknolojia. Tafadhali changia kwa heshima na adabu, tukilenga kusaidiana. 1. Computer Science Faida: Hii ndiyo msingi wa kuwa programmer wa kweli. Unajifunza algorithms, data structures, na programming...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ina watekaji na watekwaji. Hatuko pamoja

    Kuna wanao taka kusema Wakenya wanatutukana sio kweli! Wanatukana watanzania watekaji sio watanzania watekwaji. Tumeona wabunge wanataka utekaji, mauaji na ubakaji uendelee. Hawa sio wenzetu ni watekaji Kuwa sisi ambao wakati wowote wewe, ndugu yako yeyote anaweza kutekwa, kubakwa, kuuliwa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Affiliate Marketing Tanzania

    Amani ya Mungu iwe juu yenu wanafamilia wa Jamii Forum. Je, kwa Tanzania kuna uwezekano wa kufanya Affiliate marketing? Kama ndio, Tafadhali mwenye ujuzi anifundishe kama inawezekana from zero level beginners . Naamini sio mimi tu nitafaidika pia vijana wengine watapata fursa. Shukran za dhati.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  13. JamiiForums Tanzania Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  15. JamiiForums Tanzania Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

    Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua. 1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka. 2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vya ubovu wa Magari Tanzania na Suluisho l

    Vyanzo vya Ubovu wa Magari Tanzania na Suluhisho Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la magari barabarani nchini Tanzania. Hili ni jambo linaloashiria maendeleo, lakini pia limeambatana na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa ni ubovu wa magari. Watu wengi wanapambana na magari...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kujua kusoma na kuandika ndio sifa ya kitaaluma inayomtosha mtu kuwa Mbunge, katika Tanzania ya sasa?

    Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
  18. JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  19. JamiiForums Tanzania Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwanza movement inazaliwa soon!

    Naona taratibu tunaelekea kuzuri na tutafika. Tanzania kwanza movement inatangaza haki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…