tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT amkabidhi Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu (Jenerali Sarakikya) gari jipya la kisasa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwanza mstaafu Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya gari jipya la kisasa aina ya Toyota VXR nyumbani kwake Arumeru nje kidogo ya Jiji la Arusha. Akiongea muda mfupi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 0 -0 South Afrika, mechi ya kirafiki kimataifa

    06 June 2025 Peter Mokaba Stadium Pietersburg (Polokwane) South Africa Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia uwanjani leo kuvaana na Afrika Kusini 'Bafanabafana' kwenye uwanja wa Mokaba stadium. Mchezo upo dakika 60 bado milango ni migumu kwa timu zote...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

    Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote? Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yawezekana Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wakawa waongo, ila Mbunge aliyesema "Walitakiwa warudishwe wakiwa kwenye gesi" kachukuliwa hatua gani?

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania. Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo. Lakini hata kama...
  5. JamiiForums Tanzania Barabara za Tanzania zitakuwa na ubora mkubwa na mwonekano mzuri sana

    Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa nzuri kwa mwonekano
  6. R

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania, rekebisha tabia ya kuandika vitabu kukiri "unyama" mlio watendea wananchi mnapotoka madarakani . Tenda haki muwapo madarakani.

    1. Nyerere alikiri kuwa kosa kubwa alilolifanya ni kumnyonga Mwamwindi 2. Mwinyi................................................ 3. Mkapa akijutia mauaji ya Zanzibar 4. Kikwete.................................................................... 5...
  7. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

    Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
  8. JamiiForums Tanzania EU yapiga marufuku mashirika ya ndege yaliyothibitishwa Tanzania na Suriname kufanya kazi eneo lake

    Brussels – Umoja wa Ulaya (EU) umepiga marufuku ndege zilizosajiliwa Tanzania na nchi ya Suriname kutokana na upungufu wa usimamizi katika usafiri wa anga kwa mujibu wa taarifa ya EU iliyotolewa Juni 3, 2025. Hatua hiyo imefuatia Tume ya Ulaya kusasisha orodha ya usalama wa usafiri wa anga ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

    Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima. ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
  11. JamiiForums Tanzania 1,714 Teachers Jobs at MDAs & LGAs Tanzania – June 2025

    Join the Future of Education: Exciting Teaching Opportunities with MDAs & LGAs in Tanzania Are you passionate about shaping young minds and contributing to Tanzania’s educational landscape? The Ministries, Departments, and Agencies (MDAs) and Local Government Authorities (LGAs) in Tanzania are...
  12. JamiiForums Tanzania Ni bahati njema tu kwamba Tanzania si miongoni mwa nchi zilizopigwa Travel Ban to USA

    Niliona orodha ya nchi zilizopigwa marufuku kuisogelea USA viza. Aidha Trump anaamini nchi ambazo zinania ya kuitishia usalama wa marekani hawezi iruhusu watu wake waingie marekani. NB. Marekani Ina wabongo wengi wanaojionesha mitandaoni. Nawashauri waendelee kuiomnea nchi maana ikinuka hata...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vile Chuki ya Tanzania kwa Kenya was Institutionalized

    By Meshach Yobby (Facebook post) I think this will be my last post on Tanzania, and why their hatred for us was institutionalised. I'll try to summarise. Before independence, Nyerere wanted Kenya, Uganda, Tanganyika, Zanzibar, to form the East African Federation. He knew it would be easier to...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

    Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae. Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm...
  15. JamiiForums Tanzania Blow to Tanzania as European Union bans all air carriers over deficiencies in oversight

    The European Union has officially banned all air carriers certified in Tanzania from operating within its airspace due to serious safety oversight deficiencies The decision was announced on June 3, 2025, following a technical safety audit that flagged critical issues within Tanzania's civil...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyeo / kazi nje ya siasa lakini maisha yake ni kama peponi Tanzania

    Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers) Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu wafanyakazi...
  17. JamiiForums Tanzania Tujenge "Green Space Garden City" kwa Majiji yote Tanzania

    Habari Tanzania ! Je, tunaweza kuwa na eneo au maeneo katikati ya Miji yalibuniwa vizuri, kupandwa na kuwekwa bustani za maua hasa kwenye haya Majiji yetu sehemu ambazo wananchi watapumzika na kuvuta hewa safi ? Ni sehemu ipi kwa hapa Tanzania yenye hali ya hewa nzuri, joto dogo na yakuvutia...
  18. JamiiForums Tanzania Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Tanzania ishtakiwe kwa mutumia VPN

    Kusajili vpn gharwma zake na taratibu zikoje
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…