tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

    Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania. Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu...
  2. JamiiForums Tanzania EU yaisifu TANZANIA kuwa kielelezo cha amani na kuitakia uchaguzi huru na wa Haki

    Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama hawa wananipa moyo wa kubaki Tanzania kusaidia maendeleo

    Habari wakuu Hizi hoja makini katika video hapo chini, zimenipa moyo wa kuendela kubaki Tanzania. Tupate wananchi wengi namna hii katika kuishauri serikali Muongeaji anaonekana kutoa maoni hayo katika kipindi cha TBC. Watanzania wenye maono na hekima wapo wengi, wasikilizwe. Muda si muda...
  4. JamiiForums Tanzania Brave Browser yakataa masharti ya TRA, hivyo hawatoi huduma Tanzania

    Kwa suala la taasisi kuwa na ofisi ndani ya Tanzania limeikubwa Browser ya Brave ambayo ina vitu vingi vizuri na inafanya kazi kama Chrome. Leo nimejaribu kuidownload ili nipate vitu vizuri nimekutana na ujumbe huu Angalia ujumbe huo hapa TRA Notice
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta

    Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini. Mazungumzo hayo, yaliyofanyika...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania na Cyprus zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano

    Dar es Salaam, 9 Julai 2025 – Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili. Hati hizo zimesainiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nikiangalia nembo ya Bibi na Bwana na hii ya 'Made in Tanzania', napata hisia kwamba Tanzania has stagnated across many fronts

    Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba zinaanguka. Hii tafsiri yake ni kwamba, wakati serikali yetu ikiendelea ku pump uchumi ukue kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Himaya ya Usultani inarudi Tanzania, hata wana CCM tunashangaa

    Siyo kila wazo la wapinzani ni baya. Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi. Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada. Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense. Viongozi waliopo sasa na waliopita...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuwq na maadili na heshima Tanzania hii!!

    Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu We fuatilia ndoa nyingi sana...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi UDOM aibuka mshindi kwa kubuni Nembo ya Made in Tanzania

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Shahada ya Awali ya Sayansi katika Mifumo ya Habari za Afya (HIS) kutoka Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), Lucas Allen Haule ameibuka Mshindi wa Kwanza wa bunifu ya Utengenezaji wa Nembo ya Made in Tanzania ambapo lilihusisha zaidi ya washiriki 80...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yatajwa kurejea nyuma kiutawala bora

    Tanzania imeonekana kurudi nyuma kiutawala bora kutokana na vipimo vinavyotolewa na Mpango wa pamoja wa Kujipima Kiutawala Bora (APRM), ikiwa na kuminywa kwa demokrasia, uhuru wa kujieleza na kuendelezwa kwa ndoa za utotoni. Hayo yamo kwenyue utafiti uliofanywa na (SAIIA) kwa kushirikiana na...
  13. JamiiForums Tanzania Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  14. JamiiForums Tanzania Huu utiriri wa wachina na umachinga wao unaashiria nini kwa Tanzania na Afrika?

    Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumerudishwa nyuma miaka 20. 2025 ya ni kama 2005 miundombinu mibovu

    I will be short Miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana, magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals hamna dawa. Shule mbovu, hali ya watu mbaya, pesa imeshuka kuliko 2005, Same problems kama hatuja fanya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani. Naomba mwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Made in TANZANIA, Fahari ya TANZANIA!

    Haya ni maneno yatakayotumika kuwakilisha bidhaa iliyozalishwa au kutengenezwa Tanzania. Hongera Rais Mwinyi kwa kuzindua nembo hii ya kihistoria. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yapoteza mechi ya kwanza WAFCON 2024 nchini Morocco

    Timu ya taifa ya wanawake Twiga stars wamepoteza mechi yao kwanza katika mashindano ya kombe la mataifa Afrika kwa wanawake yaani WAFCON dhidi Mali kwa goli 1-0
  20. JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…