tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu Mnafiki kaandaliwa Dongo hilo na atajuta Kumchokoza mwenye Kisu chake Kikali na Kisiwa chake cha Kihistoria Tanzania

    Ajiandae Kisaikolojia kwani huyo Mtu kwa Madongo na Maneno ya Kuudhi kama siyo ya Kukera ya Kipwani Pwani hata Hawara yake Mkuu wa Bagamoyo anasubiri.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mafanikio yaliyopatikana kwa Tanzania kutoka nchini Cuba tangia Polepole awe Balozi au lolote la maana alilolifanya huko

    Nasubiria kuyasoma hapa hayo Mafanikio. Asanteni.
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  4. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
  5. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya na Unganda ziungane na kuwa nchi moja

    Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja, Naam ni nchi moja. Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,. Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa...
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU: Safari ya Mchoma Mwiba wa Mfumo, Msimamo Usioyumba, na Ndoto ya Tanzania Mpya

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake. Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu Mwanasiasa Maarufu zaidi Tanzania, Akifuatiwa na Kikwete then Samia

    Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania. Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc. Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni...
  8. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania Ziko Imara: Amani Kwanza, Siasa Baadaye

    Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuwekwa sawa ili kuepuka taswira potofu...
  9. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Alex Luambano ndiye sports anchor bora kwa Tanzania

    Ukizungumzia “Sports anchor” yaani muongoza kipindi cha michezo hakuna kama Alex Luambano wa Clouds FM. Jamaa kwanza ni mkongwe sana kwenye Tasnia, ana utulivu mzuri, sio mropokaji. Vilevile jamaa anajua kuanzisha mijadala motomoto ambayo huwapa nafasi wachambuzi aliokuwa nao kufunguka vizuri...
  10. Camo

    JamiiForums Tanzania Tutajenga Historia au Tutarithi Hofu? Wito kwa Matajiri wa Tanzania

    Salaam, mara nyingi nimekuwa mpenzi mtazamaji hapa JF, leo nkaona nidondoshe uzi kwa mara ya kwanza, nilipotaka weka uzi platform ikanitaka niwe a registered member basi nikafanya hivyo nakusubiri approval na siku ya leo ndio my JF ac imekua approved. Direct to the topic. Tanzania na Afrika kwa...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nitawashtaki Vodacom Tanzania kwa kosa la kunitamanisha

    Kila siku wananitumia SMS kwamba wana huduma inaitwa MGODI na wanaweza kunikopesha kiasi cha shilingi 530,000/= halafu wananipa menu ya huduma hiyo na kunitaka nikope haraka. Leo nimejaribu wananiambia "ndugu mteja huduma hii itakujia hivi karibuni" sasa nataka kuwafungulia mashtaka ya...
  12. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mizizi ya Dhambi Katika Uongozi wa Tanzania

    Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia. Tamaa ya madaraka...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Artificial satellite zitakuwa zinatengenezewa hapa Tanzania

    Nikiwa Rais wa Tanzania kwa mda huu ambao natural satellite bado hazijaanza kutumika ni vizuri tukaanza kuzalisha na kuuza natural satellite zenye uwezo mkubwa sana Ni kweli kuna uzi nilisema ntapiga marufuku matumizi ya man made satellite na kuweka msisitizo kwenye natural satellite...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tanzania kurusha chombo Angani kwa mara ya kwanza

    Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026. Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia. Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wanaolipwa Na Facebook Nchini Tanzania Waongezeka

    Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka katika Tovuti ya StatCounter iliyotolewa leo July 13, 2025, Mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya meta Umetoa Mialiko ya Watumiaji wa Tanzania zaidi ya 64,915 kujiunga na Programu yao Mpya inayoitwa "Content Monetisation" ambapo Mwenye Account ataweza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Abbott wasaini Makubaliano ya kuanzisha Uzalishaji wa Vipimo vya haraka vya Magonjwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na kampuni ya kimataifa ya huduma za afya Abbott, kwa lengo la kuchunguza uwezekano wa kuanzisha uzalishaji wa vipimo vya haraka vya magonjwa mbalimbali hapa nchini. Makubaliano hayo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  19. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Mjuaji Vs Mtaalam

    Mtaalam vs Mjuaji (Machino) (Chawa) Mtaalamu ni mtu mwenye ujuzi wa kitaalam katika eneo fulani, amepitia mafunzo rasmi, uzoefu wa kazi, au elimu ya kina. Mfano: mtaalamu wa afya, mtaalamu wa sheria. Mjuaji ni mtu ambaye anajua mambo mengi, lakini si lazima awe na elimu rasmi au ujuzi wa...
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Bilionea pekee kutoka Tanzania

    Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali In 1971 she married late Reginald...
Back
Top Bottom